Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Mi nilihofia usalama wa watumiaji wa mtandao...maana shambulio limekuja wakati wa taharuki ya maandamano sa nikajua kimeshawaka huku.
Hata hvyo shambulio la jana limekaa kisiasa sana, why jana??
 
Mi ni redditor pia so nlitumia zaidi reddit wakti jf haipo ingawaje nilishatarajia hili mapema
 
Salama jamani yaan jana kwenye acc ya jf insta nimekuta members wa jf wanalalamika yaani nilitamani tu kuwajua jamani
Hahaha uonisha majina...mbona unawatambua kirahisi tu,,,,yani kama wew huku shunie kule nikiona shey lee kalalama najua kabisa ni wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha uonisha majina...mbona unawatambua kirahisi tu,,,,yani kama wew huku shunie kule nikiona shey lee kalalama najua kabisa ni wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahhaha wala mm tofauti kabisa na username yangu ya insta sema kuna mmoja alikuwa analalamika kamiss jukwaa lake wazee wa kubet nikamfananisha na usser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…