Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ahsante mkuu... na imani soon na wewe utapata hitaji lako la moyo....

So mimi na mcute wangu Rebeca 83 tunakuombea upate unae endana nae.....
Humu siwezi kupata. Mapenzi ya humu shuruti ujue kizungu. Nami niliishia LA saba, kizungu sijui. Wacha nipambane na walima viazi wenzangu tu maana hakuna namna
 
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Nawapenda wote nimewamiss

Hata skujua kama kuna shambulio la Jf.
Niko ktk wakati mgumu sana naumwa .
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Pole mno demiss.
Mungu akujaalie upone haraka
 
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Nawapenda wote nimewamiss

Hata skujua kama kuna shambulio la Jf.
Niko ktk wakati mgumu sana naumwa .
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Pole sana jamani
 
Hahaaaa. Tungehisi zimekuruka [emoji85] [emoji85] [emoji85] sababu sio kwa kuongea vile peke yako.

Haya kawaquote uliowadhamiria sasa maana ishakaa sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
love is a beautiful thing,

I'm overwhelmed with your love,

promise to love you forever, my baby.....🙂
Thank you bebe love.....

One thing bebe love " Your natural beauty " [emoji5] [emoji5] Gives you a quality of a queen yaani uko kama vile umeshushwa mzima mzima kutoka kwa nyota [emoji7] [emoji7] ....
 
Humu siwezi kupata. Mapenzi ya humu shuruti ujue kizungu. Nami niliishia LA saba, kizungu sijui. Wacha nipambane na walima viazi wenzangu tu maana hakuna namna
[emoji12] [emoji12] [emoji12] tena hao wanakuwaga wazuri kweli.... yaani unaletewa na gunia la viazi Mungu akupe nini tena [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom