love b
JF-Expert Member
- Aug 27, 2017
- 2,155
- 3,162
Hapana. Usifanye hivyo Shem. Mwache JJ aendelee kufurahia maisha kwa yeye pekee kuwa naweUsilie bana...ukilia sana nitaongea na bebe jj tubadili dini then .......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana. Usifanye hivyo Shem. Mwache JJ aendelee kufurahia maisha kwa yeye pekee kuwa naweUsilie bana...ukilia sana nitaongea na bebe jj tubadili dini then .......
nimesolve dadaHahaaa. Leo simu yako sijui inaquote vipi mdogo wangu?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]nimesolve dada
Pole sana Demiss. Mungu mwenyezi akuponye[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Nawapenda wote nimewamiss
Hata skujua kama kuna shambulio la Jf.
Niko ktk wakati mgumu sana naumwa .
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
nashukur kwa kunikumbuka rafikNakusalimia
HahahaHapana. Usifanye hivyo Shem. Mwache JJ aendelee kufurahia maisha kwa yeye pekee kuwa nawe
Niliona hyo comment nilicheka sanaKuna jamaa huko instergram akasema basi sie tunataabika hapa jingalao anafurahiaaaa,
Mwingine akaongeza sio jingalao peke yake hata cocochanel na rutashobolwa nilicheka sana.
Jamii forums idumu aisee
acha kabisa dadDavet , ukhuty, Mlima simba Mwifwa njooni na nyie mseme mlichokumbana nacho sababu vile vilikuwa zaidi ya vituko jana. Lol
Niliona hyo comment nilicheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji12] [emoji12] [emoji12] tena hao wanakuwaga wazuri kweli.... yaani unaletewa na gunia la viazi Mungu akupe nini tena [emoji85] [emoji85]
hahahha kumbe kuna wahenga wanaotaka namb za hajarHahaha haya sasa wale mnaotaka namba za hajar mchekini ukhuty huko paulo makonda(pm) yake
Acha kabisa chief....nilikua naangalia game ya UEFA alafu natamani kuingia humu kusoma comments nakuta naambiwa sijui makorokocho gani aaah!Jana hata vyupa vilikua havipandi kabisa
Pole sana mdogo angu..Mungu akuponye[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Nawapenda wote nimewamiss
Hata skujua kama kuna shambulio la Jf.
Niko ktk wakati mgumu sana naumwa .
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
hahaha nilitia huruma haswaa tenaHahaaaaa. Pole mdogo wangu.
Sio kwa unyonge ule jamaani.
Jamani, sisi wengine ni masingo by professional. Mnatutesa mnapotuonyesha mahabati yenu (Ila hongereni)
hahaha i had the same thinking [emoji23][emoji28][emoji23]Wasi wasi wangu ni kwamba JF imejiattack yenyewe kuiogopa government.
Leo mnahasira naona mnapiga miguu yote yote kila sehemu mpo