Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Kwakweli kuna wale watu wa pm bila kupeana mawasiliano mbadara ndio walikua na stress sana, nahisi Mwifwa hajafanya makosa leo kishachukua vyake
Kuna mtu mmoja aliandika ile usiku nilimmiss mpenzi wangu angalau jf imerudi nichat naye ila kwa sasa ameshalala. Nikacheka sana lol

Nikajisemea mapenzi gani hayo ya Pm pekee.
 
Ewaaaaa

Cc@Asprin
upload_2018-4-26_19-31-3.jpeg
 
Kuna mtu mmoja aliandika ile usiku nilimmiss mpenzi wangu angalau jf imerudi nichat naye ila kwa sasa ameshalala. Nikacheka sana lol

Nikajisemea mapenzi gani hayo ya Pm pekee.
Hahah!!

Hayo yanaitwa mapenzi ya ndani au domestic love bado hayajavuka boda kua ya kimataifa

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom