Ulimbukeni wa wakenya wa kupanga Budget kubwa wakati hela hawana.

You've been playing that same side of the old record for too long my friend, flip it up to hear what the other side is about...
 
What can a poor man from a poor country tell Kenya?. A country that can't even finance its budget but only depends on grands from other country. A country that Kenya gives a donation of ksh 100m. A country that is professional in being lazy and killing albinos and a sorcery level next to none.[/QUOTE]Hahahahaha, umezungumza kwa hasira sana, pole sana jirani.
1) Tanzania tunajenga Electric train kwa pesa za ndani, Kenya hata diesel train mumeshindwa kujenga.
2) Tanzania tumenunua ndege 8 kwa mpigo kwa pesa ya ndani, Kenya baada ya miaka 50 ya kufanya biashara KQ ina ndege 3 tu.
3)Tanzania inajenga Super high way kwa pesa ya ndani, Kenya mlikopa hamna uwezo kujenga kwa pesa yenu.
4)Tanzania inajitoshekeza kwa chakula na kuweza kuwauzia nchi zaidi ya 10 ikiwemo Kenya. Hadi Leo Kenya inapokea msaada wa chakula.
4) Tanzania ina the best public Hospitals, wakenya wanavuka mpaka kuja kutibiwa cancer na MOYO.
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
 
Hapo point no (2) Ndege zitakuwa 11, kuna Airbus nyingine 2 na moja ya mizigo zinawekewa down payment this financial year. Hahahahaha, umezungumza kwa hasira sana, pole sana jirani.
1) Tanzania tunajenga Electric train kwa pesa za ndani, Kenya hata diesel train mumeshindwa kujenga.
2) Tanzania tumenunua ndege 8 kwa mpigo kwa pesa ya ndani, Kenya baada ya miaka 50 ya kufanya biashara KQ ina ndege 3 tu.
3)Tanzania inajenga Super high way kwa pesa ya ndani, Kenya mlikopa hamna uwezo kujenga kwa pesa yenu.
4)Tanzania inajitoshekeza kwa chakula na kuweza kuwauzia nchi zaidi ya 10 ikiwemo Kenya. Hadi Leo Kenya inapokea msaada wa chakula.
4) Tanzania ina the best public Hospitals, wakenya wanavuka mpaka kuja kutibiwa cancer na MOYO.
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.[/QUOTE]
 
49% ya budget mnalipa nayo deni.... Sasa iyo deni ilitokea wapi.. Wacha kutofikiria na kufuata fuata CCM [/QUOTE]
 
Zungumzia hili la kupanga bajeti kubwa nje ya uwezo wenu mkitegemea kukopa, ninyi ni failed state kabisa
Wewe comments na posts zako zote hapa about Kenya huwa na machungu sana. Hatuwezi kuwa na small budget vitu mob zisimame, we got salaries to pay, roads to upgrade, etc. Uko na mentality ya poverty.
 
merci
 
Hahaha kumbe huko ndio mlitoa hii kitu ya failed state. Hio 'failed' actually ni mispelling by journalists au alifanya on purpose kuuza magazeti.
The ranking is called 'Fragile state ranking'.
Poleni, mumekua mkitumia mispelling kuita Kenya failed state. Report ni juu ya political elections pekee hakuna kitu kama debt au health au infrastructure humo. Only reason Tanzania iko ranked better than Kenya ni mnaogopa rais hata hamwezi ongea kura ikiibiwa

The International Monetary Fund and World Bank plus UNDP all rank Tanzania an LDC country .Hii Kenya imewashinda mbali in military budget,national budget ,life expectancy ,Human Development Index na zinginezo.
Sawa mmetuzidi kila kitu wakenya mpo juu kinyama..
NB: NDUGU ZANGU WATZ HEBU TUWAACHE NA WAO WALALE LALE JAMANI TUSIWAAMSHE MAPEMA MAANA WAO KUSOMA HAWAJUI ILA MBAYA ZAIDI NA PICHA HAWAIONI..
 
Wewe comments na posts zako zote hapa about Kenya huwa na machungu sana. Hatuwezi kuwa na small budget vitu mob zisimame, we got salaries to pay, roads to upgrade, etc. Uko na mentality ya poverty.
Kukopa pesa kujazilizia budget sio kosa BT wakenya hebu kuweni serious na viongozi wenu wanaiba mno afu bado mnachekea si wenzenu tunajua madhara ya kucheka na kima ilibaki kidogo bagamoyo tufanyiwe umafia BT thanx kwa mkuluu..
So na nyie majirani msije kuja kuamka mambo yakiwa yameharibika kabisa fanyeni kitu now kuhusu rushwa na ufisadi vingnevyo ea yote tutapata hasara maana wote tunategemeana... Yeyote kati ya nchi za ea akidrop bas ujue na majirani zake kwa percentage flani nao watadrop ... Tupunguze utoto humu mda mwingne tuwe tunawaza for the sake of our block
 
Najua sio rahisi kukubaliana na ukweli mchungu, hasa kwa watu wenye tabia ya kupenda SIFA za kijinga kama ninyi, bado upo katika "denial stage", wenzako wengi walipinga mwanzoni, ila kwasasa wamegundua ukweli na wameshalibaliana na huu ukweli japo ni ngumu sana kukubali.
Soma kwa makini hii article hapa chini, itakusaidia kukubali kwa urahisi kwamba Kenya is a failed state.
 
EAST AFRICA COUNTRIES BUDGET 2019/2020
1. KENYA - Tsh 69.3 trillion
2. TANZANIA - Tsh 33.1 trillion
3. UGANDA - Tsh 19.6 trillion
4. RWANDA - Tsh 7 trillion
5. BURUNDI - Tsh 3.1 trillion

Umejifunza nini hapo?
 
Yani umeleta article to prove my point that such ranking dont make sense. Even if you say they do, same article says all Africa countries were ranked as failed, so if Kenya is a failed state, that means Tanzania too au vipi? Na mbona unaleta vitu za 2011 hapa.
Our politics is more unstable than Tanzania, but every else we are better, acha denial pia
 
Hahahahaha, umezungumza kwa hasira sana, pole sana jirani.
1) Tanzania tunajenga Electric train kwa pesa za ndani, Kenya hata diesel train mumeshindwa kujenga.
2) Tanzania tumenunua ndege 8 kwa mpigo kwa pesa ya ndani, Kenya baada ya miaka 50 ya kufanya biashara KQ ina ndege 3 tu.
3)Tanzania inajenga Super high way kwa pesa ya ndani, Kenya mlikopa hamna uwezo kujenga kwa pesa yenu.
4)Tanzania inajitoshekeza kwa chakula na kuweza kuwauzia nchi zaidi ya 10 ikiwemo Kenya. Hadi Leo Kenya inapokea msaada wa chakula.
4) Tanzania ina the best public Hospitals, wakenya wanavuka mpaka kuja kutibiwa cancer na MOYO.
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.[/QUOTE]Tanzania imesamehewa madeni...kenya bado wanaendelea kulipa yao....

Tanzania wamejenga mijengo hewa tu ya hospitali wakati madaktari kwao ni kiduchu...washukuruni wahindi kwanza..

Aliyekopa na kununua gari hana tofauti na yule aliyelichukua lile gari kw mkopo
..inagawaje mmoja atakuwa amelilipia cash kw kutumia hela alizokopa...ila yule mwnye kakopa lile atalipa deposit na kuendelea kulilipia pole pole...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na bado hao failed state ndo role model wenu east afrika...mnataka kuwa km wao lkn haiwezekeni ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Punguza hasira....role model wa tanzania ni kenya....[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]
Duu humu ndani moderators muwe mnaweka na umri wa member kwenye profile zao ili tuwe tunachagua nani wa kumjibu na nani wa kumwacha bila kumjibu maana duuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…