Ulimbukeni wa wakenya wa kupanga Budget kubwa wakati hela hawana.

Kweli kabisa, ili siku moja nasisi tuwe failed state Kama ninyi, au tuwe na tribalism na corruption Kama ninyi.
Huyo jamaa mgumu sana kumwelewesha hata umwambie ukweli vipi ye anataka league tuu... Sitakuja kujishughulisha comments zake humu maana haelewi vitu hata vidogo dogo utadhan anamiaka 18 dawa yake ni kutomjibu tuu
 
Bado ni katoto kadogo, acha tukakomaze.
 
Kawe kanajiongeza basi kaaa yaani utadhani unamwelezea mtoto wa primary school bwana kanaboa
Wakenya wengi wapo hivyo, ndio sababu wanabaguana Sana, wanajifanya kujua kila kitu wakati vichwani hawana lolote
 
Wakenya wengi wapo hivyo, ndio sababu wanabaguana Sana, wanajifanya kujua kila kitu wakati vichwani hawana lolote
Halafu ndio wanataka tuwaachie wawe wanakuja huku kwa vitambulisho tuu kwa hizi akili zao???wasahau bora wapite kwa vitambulisho wakongo sio hizi jamaa
 
Wanaliwa na USA hao, watapewa na trump kwa uhakika.
 
Sawa mmetuzidi kila kitu wakenya mpo juu kinyama..
NB: NDUGU ZANGU WATZ HEBU TUWAACHE NA WAO WALALE LALE JAMANI TUSIWAAMSHE MAPEMA MAANA WAO KUSOMA HAWAJUI ILA MBAYA ZAIDI NA PICHA HAWAIONI..
Well TEMLO ,nyinyi pia mmetuzidi eneo la ardhi ,mamilioni ya watu,madini na ufuo wa bahari kwa hivyo ..... you can't win in everything kwa hii dunia.
 
Hahahahaha, umezungumza kwa hasira sana, pole sana jirani.
1) Tanzania tunajenga Electric train kwa pesa za ndani, Kenya hata diesel train mumeshindwa kujenga.
2) Tanzania tumenunua ndege 8 kwa mpigo kwa pesa ya ndani, Kenya baada ya miaka 50 ya kufanya biashara KQ ina ndege 3 tu.
3)Tanzania inajenga Super high way kwa pesa ya ndani, Kenya mlikopa hamna uwezo kujenga kwa pesa yenu.
4)Tanzania inajitoshekeza kwa chakula na kuweza kuwauzia nchi zaidi ya 10 ikiwemo Kenya. Hadi Leo Kenya inapokea msaada wa chakula.
4) Tanzania ina the best public Hospitals, wakenya wanavuka mpaka kuja kutibiwa cancer na MOYO.
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
[/QUOTE]
The last time I checked Tz borrowed money to built the berret tireini lenye alina hats station, The last time checked Tz build their roads using grands and donations, The last time I checked Kenya had a higher life expectancy than Tz. So all those you have listed or are opaque and void.
 
So kawaida yangu Ku argue kwa matusi ila naomba unijulishe Tz ana budget kiasi gani kilimo. Na Kenya wametenga kiasi gani sekta hiyo
Matusi ni dalili ya empty head unashindwa hata kusoma budget? Pole yako usiejua kitu zaidi ya matusi. Sasa ukitukana unaondoa ukweli kuwa Kenya wana budget kubwa ya kilimo.? Wewe shuleni uliambulia matusi tu ? Huwezi kujenga hoja. Haya tukana tena nitakuletea figure za kilimo za kila nchi mwaka huu.
 
wakenya hamna kitu kazi kujidai kuongea kingereza,kingereza chenyewe kibovu hatari hawa ni maskini wenzetu tu ila wanajitutumua,kingereza hawajui wala kiswahili hawajui pengine wajaribu kisomali
 
Kweli kabisa, ili siku moja nasisi tuwe failed state Kama ninyi, au tuwe na tribalism na corruption Kama ninyi.
Hhhhhh!!we upinge,ukatae,uruke ruke....tanzania east africa wanataka kuwa km kenya...ndio manake hupenda kujifurahisha na mabaya ya kenya ndio east africa wanaonekane ya kwamba wako ligi moja na kwanya kw kuangalia mabaya...

Anyway..hata nyerere pia analijua hilo...magu nae pia ana uporomosha uchumi wenu kisa anataka kufanya vitu ndio awe level moja na kenya...
 
Kwanza ningependa uniambie nini unataka kufikia katika huu mjadala, kwasasa hata sikuelewi unazungumzia nini.

Wewe umesema Kenya wametoa kipaumbele katika KILIMO kwa kutenga bajeti kubwa, hii maana yake unaangalia % ya KILIMO katika bajeti ya Kenya, sasa utasemaje unataka kulinganisha pesa zilizopelekwa kwenye KILIMO Kenya na Tanzania?.

Unachoweza kulinganisha ni % za bajeti ya KILIMO kati ya Kenya na Tanzania, ile yenye % kubwa ndio inayotoa kipaumbele katika kilimo , huwezi kulinganisha pesa kwasababu bajeti azilingani.
 
Huyo jamaa mgumu sana kumwelewesha hata umwambie ukweli vipi ye anataka league tuu... Sitakuja kujishughulisha comments zake humu maana haelewi vitu hata vidogo dogo utadhan anamiaka 18 dawa yake ni kutomjibu tuu
Tulia weweeee...siku zote ukwel unauma.....anyway...katulie tu
 
Wakenya wengi wapo hivyo, ndio sababu wanabaguana Sana, wanajifanya kujua kila kitu wakati vichwani hawana lolote
Hhhhhh!!!kumbe mlikuwa mnaniongea...wafanya mchezo na kunyoroshwa wewe..yaonyesha iliwauma
 
wakenya hamna kitu kazi kujidai kuongea kingereza,kingereza chenyewe kibovu hatari hawa ni maskini wenzetu tu ila wanajitutumua,kingereza hawajui wala kiswahili hawajui pengine wajaribu kisomali
Umeshindwa na hoja sio....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…