komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwahyo unapinga au unakataa...Duu humu ndani moderators muwe mnaweka na umri wa member kwenye profile zao ili tuwe tunachagua nani wa kumjibu na nani wa kumwacha bila kumjibu maana duuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo unapinga au unakataa...Duu humu ndani moderators muwe mnaweka na umri wa member kwenye profile zao ili tuwe tunachagua nani wa kumjibu na nani wa kumwacha bila kumjibu maana duuu
Kweli kabisa, ili siku moja nasisi tuwe failed state Kama ninyi, au tuwe na tribalism na corruption Kama ninyi.Punguza hasira....role model wa tanzania ni kenya....[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]
Huyo jamaa mgumu sana kumwelewesha hata umwambie ukweli vipi ye anataka league tuu... Sitakuja kujishughulisha comments zake humu maana haelewi vitu hata vidogo dogo utadhan anamiaka 18 dawa yake ni kutomjibu tuuKweli kabisa, ili siku moja nasisi tuwe failed state Kama ninyi, au tuwe na tribalism na corruption Kama ninyi.
Bado ni katoto kadogo, acha tukakomaze.Huyo jamaa mgumu sana kumwelewesha hata umwambie ukweli vipi ye anataka league tuu... Sitakuja kujishughulisha comments zake humu maana haelewi vitu hata vidogo dogo utadhan anamiaka 18 dawa yake ni kutomjibu tuu
Kawe kanajiongeza basi kaaa yaani utadhani unamwelezea mtoto wa primary school bwana kanaboaBado ni katoto kadogo, acha tukakomaze.
Wakenya wengi wapo hivyo, ndio sababu wanabaguana Sana, wanajifanya kujua kila kitu wakati vichwani hawana loloteKawe kanajiongeza basi kaaa yaani utadhani unamwelezea mtoto wa primary school bwana kanaboa
Halafu ndio wanataka tuwaachie wawe wanakuja huku kwa vitambulisho tuu kwa hizi akili zao???wasahau bora wapite kwa vitambulisho wakongo sio hizi jamaaWakenya wengi wapo hivyo, ndio sababu wanabaguana Sana, wanajifanya kujua kila kitu wakati vichwani hawana lolote
Wanaliwa na USA hao, watapewa na trump kwa uhakika.Bajeti ya Kenya ya mwaka huu wa fedha 2019/2020 ni Kshs 3.1Trl, wakati nakisi ya bajeti(Deficit) ni 607.8B. Hii ni kusema kwamba 20% ya matumizi wanayopanga wakenya wanategemea kutembeza bakuli, kuomba wahisani.
Hii tabia ya wakenya kupanga kutumia pesa nyingi kuliko uwezo wao, imekua ikijitokeza kila mwaka, huku nakisi ya bajeti nayo ikiendelea kuwa kubwa mwaka hadi mwaka.
Jambo la kushangaza ni kuona wakenya wakishabikia nchi yao kupanga matumizi makubwa nje ya uwezo wao, matokeo yake nchi inaendelea kuzama kati Lindi la mafeni , na wananchi wakizidi lukamuliwa kodi na kusababisha hali ya maisha ya mkenya wa kawaida kuzidi kuwa mbaya.
Swali ninalotaka kuwauliza wakenya, hivi kweli ni busara kupanga bajeti kubwa zaidi ya uwezo wenu na kuendelea kuitumbukiza nchi katika madeni, au ni bora kupanga bajeti inayoendana na kipato chenu?
Well TEMLO ,nyinyi pia mmetuzidi eneo la ardhi ,mamilioni ya watu,madini na ufuo wa bahari kwa hivyo ..... you can't win in everything kwa hii dunia.Sawa mmetuzidi kila kitu wakenya mpo juu kinyama..
NB: NDUGU ZANGU WATZ HEBU TUWAACHE NA WAO WALALE LALE JAMANI TUSIWAAMSHE MAPEMA MAANA WAO KUSOMA HAWAJUI ILA MBAYA ZAIDI NA PICHA HAWAIONI..
Sawa Brazee kweli....Well TEMLO ,nyinyi pia mmetuzidi eneo la ardhi ,mamilioni ya watu,madini na ufuo wa bahari kwa hivyo ..... you can't win in everything kwa hii dunia.
Hahahahaha, umezungumza kwa hasira sana, pole sana jirani.What can a poor man from a poor country tell Kenya?. A country that can't even finance its budget but only depends on grands from other country. A country that Kenya gives a donation of ksh 100m. A country that is professional in being lazy and killing albinos and a sorcery level next to none.
So kawaida yangu Ku argue kwa matusi ila naomba unijulishe Tz ana budget kiasi gani kilimo. Na Kenya wametenga kiasi gani sekta hiyoUnaumwa na mavi wewe, hujui lolote unalozungumza kazi yako kupiga kelele tu, angalio KILIMO kilivyodharauliwa kwa kyoewa pesa kidogo wakati tayari Kenya imeshakumbwa na njaa, wakenya wanalalamika kutokana na pesa kidogo iliyopelekwa ktk kilimo eti wewe unapayuka hovyo, rudi ktk forum za udaku, huku sio mahali pako
Mmeshapata mgao wa bajeti vijana wa ldc...au bado haujatoka
Hahahahaha, mnawaza kukopa hata kabla budget haijaanza. Failed state ninyi.
Hhhhhh!!we upinge,ukatae,uruke ruke....tanzania east africa wanataka kuwa km kenya...ndio manake hupenda kujifurahisha na mabaya ya kenya ndio east africa wanaonekane ya kwamba wako ligi moja na kwanya kw kuangalia mabaya...Kweli kabisa, ili siku moja nasisi tuwe failed state Kama ninyi, au tuwe na tribalism na corruption Kama ninyi.
Kwanza ningependa uniambie nini unataka kufikia katika huu mjadala, kwasasa hata sikuelewi unazungumzia nini.So kawaida yangu Ku argue kwa matusi ila naomba unijulishe Tz ana budget kiasi gani kilimo. Na Kenya wametenga kiasi gani sekta hiyo
Matusi ni dalili ya empty head unashindwa hata kusoma budget? Pole yako usiejua kitu zaidi ya matusi. Sasa ukitukana unaondoa ukweli kuwa Kenya wana budget kubwa ya kilimo.? Wewe shuleni uliambulia matusi tu ? Huwezi kujenga hoja. Haya tukana tena nitakuletea figure za kilimo za kila nchi mwaka huu.
Tulia weweeee...siku zote ukwel unauma.....anyway...katulie tuHuyo jamaa mgumu sana kumwelewesha hata umwambie ukweli vipi ye anataka league tuu... Sitakuja kujishughulisha comments zake humu maana haelewi vitu hata vidogo dogo utadhan anamiaka 18 dawa yake ni kutomjibu tuu
Hhhhhh!!!kumbe mlikuwa mnaniongea...wafanya mchezo na kunyoroshwa wewe..yaonyesha iliwaumaWakenya wengi wapo hivyo, ndio sababu wanabaguana Sana, wanajifanya kujua kila kitu wakati vichwani hawana lolote
Umeshindwa na hoja sio....wakenya hamna kitu kazi kujidai kuongea kingereza,kingereza chenyewe kibovu hatari hawa ni maskini wenzetu tu ila wanajitutumua,kingereza hawajui wala kiswahili hawajui pengine wajaribu kisomali