Ulimbukeni wa wakenya wa kupanga Budget kubwa wakati hela hawana.

Hizi tambo eti Tanzania inajenga na kununua vitu kwa pesa yake bora mustop wimbo usioakisi hali halisi. Tunakusanya bilioni 1350 kila mwezi na kati ya hizo bilioni 700 tunalipa madeni nje ya Tanzania ,ya ndani tumekataa kulipa kisngizio ni uhakiki Wa madeni halafu bilioni 600 ni mishahara ya wafanyakazi .sasa kwa hesabu hii Tz anabaki na hela gani kujenga na kununua kwa pesa yake.? Ukweli tunakopa kwenye mabenki ya kibiashara . hivi mnaoimba Tz anatoa huduma nzuri ulishauguliwa ukaenda hospitali ya mkoa au rufaa au hata zahanati , hujaambiwa kanunue dawa Fulani na Fulani mgonjwa aendelee na matibabu. Hata aliyesema Tz can be a donor country siku hiyo statement hajairudia mumebaki jesters Wa mfalme ndio mnauimba. Tz bado sana aisee pagara LA umaskini tumo tu. Tz anakopa kwenye mabenki ya biashara nasisitiza hana hela. Kenya may be a failed state kwa ukosefu Wa Amani lakini na sisi tunaingia kuwa failed state kwa ukosefu Wa huduma za kijamii maana nayo ni sifa mojawapo ya failed state . hivi Tz ingekuwa Jirani na Somalia asingekuw kama failed state mbayosema ,Refer Congo tumeweza kuwatoa waasi hadi Jana wameua watu 150 na ni mwaka Wa NNE majeshi yetu yako huko mwaka Wa NNE. Acheni upofu wenu. Huwezi kufight guerilla insurgents ambao mchan ni RAIA usiku ni wauaji. Huwzi!!!
 
Umeshindwa na hoja sio....
hamna,nataka kufanya research kuna wakenye wangapi JF ,mpaka sasa nimempata mmoja ambao ni wewe nadhani wengine watajitokeza sio mda wakiwa wamejawa mapovu machungu
 
Kwahiyo hata Zitto Kabwe pia anadanganya?. Akili yako ndogo ya kukosa ufahamu haiwezi kubadilisha ukweli. Wewe kwa akili yako ndogo unachukua mapato ya mwaka mmoja kisha unatoa matumizi ya miaka mitatu.

Nani aliyekuambia pesa ya Ujenzi wa hii miundombinu inalipwa katika makusanyo ya huo mwaka mmoja?, au hayo madeni ya wafanyakazi yanalipwa ndani ya makusanyo ya mwaka mmoja?. Jaribu kuelewa mambo kwa undani kabla ya kuzungumza. Msikilize Zitto kwa makini utaelewa
 
hamna,nataka kufanya research kuna wakenye wangapi JF ,mpaka sasa nimempata mmoja ambao ni wewe nadhani wengine watajitokeza sio mda wakiwa wamejawa mapovu machungu
Basi kw research hyo...utapata mpka watanzania wenzako...
 
Kwn anayepongezwa hakopi
 
mm hili naliona Tanzania zaidi kuliko Kenya

Kwanza nakushauri ungeanza na nyumbani
Nambie ni lini Bajeti ya Tanzania ilitosheleza?
tuanze na hapo kwanza? kenya mbali sana japo pia wana uhaya wao
 
Tatizo joto LA jiwe matusi mno , na ni ishra ya how uncivilized , uncouth you are. Sasa joto LA jiwe kama kwa mwezi serikali inabakiwa na bilioni mia moja , hivi kwa miaka 3 inaweza ikawa na balance kiasi gani . na kwa taarifa yako serikali haijawahi na kwa miaka mingi ijayo haitaweza kufinance miradi mikubwa kwa pesa yake , kwani haina na hata ikiamua kukusanya pesa yote ya mwezi huo ikanunua ndege basi ujue inafidia kwa kukopa ila wapiga filimbi mtadai ni pesa yake, kumbe ni matter of reallocation na misallocation ya public funds. Lakini inatosha niishie hapamaana naongea na MTU aliyekula imprest unaretire. Pole ,uzuri kikaango cha shida hakina mwenyewe tutaungua Mimi na wewe bila kujali mapenzi binafsi ,kwaheri siwezi kumpigia mbuzi gita, hatacheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…