Ulimkatiaje bima mkeo na cheti cha ndoa hauna?

Ulimkatiaje bima mkeo na cheti cha ndoa hauna?

Mke hlf hamna cheti ungesema unamkatiaje bima nwanamke unayeishi nae
Cheti Huwa mnaakiamini sana.

Kwetu sheria inasema mkishakaa tu miezi Sita nyuma Moja. Inatosha kuwa mke.

Pia watoto wanatosha.
 
Kuna sehemu ya kuweka uhusianao kama ni mke mtoto mzazi other utachagua hizo option nyingine but zote vyedi vyao vya kuzaliwa ni lazima uambatanishe

Cc Smart911
 
Cheti Huwa mnaakiamini sana.

Kwetu sheria inasema mkishakaa tu miezi Sita nyuma Moja. Inatosha kuwa mke.

Pia watoto wanatosha.
Hiyo hiyo sheria. Nenda kwenye mirathi utaambiwa leta cheti cha ndoa.
 
Kwan maana ya mke ni nini??
Na cheti nani anatoa?
ndoa ya kimila ina cheti?
Ukitoa mahali unapewa cheti na nani?
Nini maana ya mke kwa mujibu wa sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Hayo ya kimila Mimi sijui kwa tamaduni zenu mnatafsiri vipi maana ya ndoa.
 
Back
Top Bottom