Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Mambo yamekua mengi wanawake wanapenda hela, wengine wanajenga nyumba za siri, wanaume kataa ndoa wanaongezeka na walio ndani ya ndoa wanachepuka, kila kona ni vurugu.
Wewe huyo bebi wako uliyenaye 2025 ulimchagua kwa kigezo gani?
Nini kilikuvutia, na je bado yuko vile vile au amebadilika?
Wewe huyo bebi wako uliyenaye 2025 ulimchagua kwa kigezo gani?
Nini kilikuvutia, na je bado yuko vile vile au amebadilika?