Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Hahaha ila ww🤣Mbona hukuna Cha ajabu tunasaidian na kuoneana huruma tuu
Mim mwenyewe najishangaa mademu wananikubali ila nilivyo unawez Cheka ufeeHahaha ila ww🤣
Mwanamke akiwa na tako anajiamini kuliko mwenye degree. Ni hayo tuu.Mambo yamekua mengi wanawake wanapenda hela, wengine wanajenga nyumba za siri, wanaume wanakataa ndoa na walio ndani ya ndoa wanachepuka, kila kona ni vurugu.
Wewe huyo bebi wako uliyenaye 2025 ulimchagua kwa kigezo gani?
Nini kilikuvutia, na je bado yuko vile vila au amebadilika?
View attachment 3235584
Acha basi mbona una ji- underrate mkuu😁Mim mwenyewe najishangaa mademu wananikubali ila nilivyo unawez Cheka ufee
Njooni kumekucha ukuuMwanamke akiwa na tako anajiamini kuliko mwenye degree. Ni hayo tuu.
Kadhi haujajibu, ulimpendea nini waifu, au ndo tako tu lilikupagawisha?Mwanamke akiwa na tako anajiamini kuliko mwenye degree. Ni hayo tuu.
Mmh hapo umenidanganya bhnKueleza sababu ya kumpenda mtu ni kama kumsimulia kipofu uzuri wa dunia..
Nikaandamane nipigwe virungu na polisi niharibu hii sura yangu niliyopendewa nayo. Akuuuuuuu!Mtoa mada tukaandamane mafisadi wamechukua bandari ya bagamoyo.
Ni kweliMmh hapo umenidanganya bhn
Full package, safi 👌🏼Sura nzuri, na Kazi na mtonyo usiokauka. Familia bora, alitunzwa vyema. Ila shepu anayo, tabia nzuri anayo.
Pengine alipenda vidole na Wala sio sura maana wanawake wenye vidole virefu tunasiri zenu gethooNikaandamane nipigwe virungu na polisi niharibu hii sura yangu niliyopendewa nayo. Akuuuuuuu!