Ulimwengu mikononi mwa Freemason, Satanism na Paganism

Mkuu kuhusu namba ni kweli kabisa

Mwaka ukiwa haugawanyiki Kwa mbili unakuaga Una mitetemo ya juu Sana na ukiseti masafa yako yanakamata Kwa wepesi

Hii nimeifanyia tafiti binafsi tangu 2009/2011/2013/2015/2017/2019/2021/2023.

Kwakuwa human being ni spiritual creature kujifunza ni muhimu na Ku-experience mambo tofauti tofauti.
 
Kwakuwa human being ni spiritual creature kujifunza ni muhimu na Ku-experience mambo tofauti tofauti.💪🏿📌🔨

 
Haya uloelezea yanatokea huko kwingine,lkn kamwe uwezi yapata katika uislamu,, mwenye ushahidi aniambie,kwa mifano ya hapahapa tz,uko nje sijui.
 
Mkuu ungeelezea kidogo kwa Freemasons hapo......
Freemason ni shirika la kidini linalofundisha maadili, upendo, na utii wa sheria. Ingawa sio taasisi ya Kikristo, imepokea upinzani kutoka kwa dini zilizopangwa, haswa Kanisa Katoliki la Roma.
Hapa kuna baadhi ya vipengele vya mafundisho ya Freemasonry:

Imani
Freemasons lazima waamini katika kiumbe mkuu(mighty being) na kutokufa kwa roho.

Fadhila
Freemasons hujitahidi kukamilisha fadhila za ujasiri, busara, kiasi, na haki.

Freemasonry ni shirika la kindugu ambalo lilianzia Enzi za Kati kama chama cha waashi na wajenzi wa makanisa makuu:

Asili
Freemasonry ilianza kama chama cha waashi waliosafiri kufanya kazi kwenye makanisa makuu huko Uropa. Walitumia mishiko, maneno, na ishara ili kuonyesha sifa zao na kujitofautisha na wajenzi wasiostahili.

Freemasonry ya kisasa
Mnamo 1717, Grand Lodge ilianzishwa nchini Uingereza, ikipokea wanachama ambao hawakuwa waashi wa mawe. "Waashi hawa wanaokubalika" walitumia "uashi wa kubahatisha", ambao ulisisitiza kanuni za maadili kama vile hisani, haki, ukweli na ubinadamu.

Uanachama
Freemasonry kwa ujumla ni shirika la wanaume pekee, lakini baadhi ya nyumba za kulala wageni huruhusu wanawake kujiunga. Ili kuwa Freemason, mwombaji lazima awe mwanamume mtu mzima anayeamini kuwa kuna mtu mkuu na kutokufa kwa nafsi.

Imani
Freemasonry sio dini, lakini wanachama wanaamini katika nguvu ya Juu inayoitwa "Msanifu Mkuu wa Ulimwengu". Kanuni kuu za Freemasonry ni Upendo wa Ndugu, Usaidizi, na Ukweli.

Jamii ya siri
Freemasonry inachukuliwa kuwa jumuiya ya siri kwa sababu inaficha baadhi ya mila, desturi, au shughuli zake kutoka kwa umma. Freemasons wana kiapo cha siri na kupeana mikono kwa siri.

Umaarufu
Uamasoni ni maarufu zaidi katika Visiwa vya Uingereza na nchi zingine ambazo hapo awali zilikuwa sehemu ya Milki ya Uingereza.
Wanachama mashuhuri
Wengi wa waanzilishi wa Marekani walikuwa Freemasons, ikiwa ni pamoja na George Washington na Teddy Roosevelt.
 
Haya yote yalitabiriwa, ujio wa mpinga Kristo, atakuja kwa mbinu nyingi, Kuna hata wanaotulipua mabomu na kuchinja Wakristo.
 
Haya yote yalitabiriwa, ujio wa mpinga Kristo, atakuja kwa mbinu nyingi, Kuna hata wanaotulipua mabomu na kuchinja Wakristo.
We Mluya ndugu yake na Pozee comments zako zimekaa kishari shari tu😀😀😀😀😀.

Hivi kwanini Kiingereza hakijawatoa ushamba na kuwafanya mustaarabike nyie Waluya?
 
Uko sahihi, kwa imani yangu inayoniongoza hizi ni dalili za siku za mwisho:

1. watu watapenda pesa
2. kiburi kitainuka hata wazazi hawataheshimiwa tena
3. Upendo wa wengi utapoa
4. Tetesi za vita kila mahali
5. Mafundisho ya uongo kutoka kwa manabii wa uongo

Mwana wa Adamu tu karibu
 
Dunia inaenda ikibadilika. Na kila kitu duniani kinaenda kikibadilika. Hakuna kitu chochote kwenye dunia ambacho hakitakuwa na mabadiliko.
 
Haya uloelezea yanatokea huko kwingine,lkn kamwe uwezi yapata katika uislamu,, mwenye ushahidi aniambie,kwa mifano ya hapahapa tz,uko nje sijui.

Uislamu ndio usipime, ndio dini yenye maovu yanayomzidi shetani, leo hii Dunia haikaliki kisa uchafu na ugaidi wa kiislamu, ukizingatia muasisi wa uislamu yule muarabu alikuwa anagegeda katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa pamoja na mauchafu yake mengine.
Uislamu ndio mpinga Kristo haswa aliyetabiriwa ujio wake utasababisha machafuko ya kila aina.
 
Umenena ile kweli..
Lakini niongeze kitu kidogo hapo..
Kwenye hizo imani tatu ulizoorodhesha mkubwa wao ni satanism... yaani.. satanism matawi yake ni freemason, Illuminat, Paganism na nyinginezo ambazo hapa siwezi kuzitaja..
 
Hakuna unachoelewa mkuu,unachoongea hapo ni kashfa tupu!!,, ndivyo ulivyokaririshwa na dini yako,,unaweza ukaniambia ugaidi ni nini.
 
hii ni anguko kuu la taasisi nyeti kama kanisa na tutegemee matukio mengi ya kutisha ndani ya jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…