Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok Asante kwa elimuFreemason ni shirika la kidini linalofundisha maadili, upendo, na utii wa sheria. Ingawa sio taasisi ya Kikristo, imepokea upinzani kutoka kwa dini zilizopangwa, haswa Kanisa Katoliki la Roma.
Hapa kuna baadhi ya vipengele vya mafundisho ya Freemasonry:
Imani
Freemasons lazima waamini katika kiumbe mkuu(mighty being) na kutokufa kwa roho.
Fadhila
Freemasons hujitahidi kukamilisha fadhila za ujasiri, busara, kiasi, na haki.
Freemasonry ni shirika la kindugu ambalo lilianzia Enzi za Kati kama chama cha waashi na wajenzi wa makanisa makuu:
Asili
Freemasonry ilianza kama chama cha waashi waliosafiri kufanya kazi kwenye makanisa makuu huko Uropa. Walitumia mishiko, maneno, na ishara ili kuonyesha sifa zao na kujitofautisha na wajenzi wasiostahili.
Freemasonry ya kisasa
Mnamo 1717, Grand Lodge ilianzishwa nchini Uingereza, ikipokea wanachama ambao hawakuwa waashi wa mawe. "Waashi hawa wanaokubalika" walitumia "uashi wa kubahatisha", ambao ulisisitiza kanuni za maadili kama vile hisani, haki, ukweli na ubinadamu.
Uanachama
Freemasonry kwa ujumla ni shirika la wanaume pekee, lakini baadhi ya nyumba za kulala wageni huruhusu wanawake kujiunga. Ili kuwa Freemason, mwombaji lazima awe mwanamume mtu mzima anayeamini kuwa kuna mtu mkuu na kutokufa kwa nafsi.
Imani
Freemasonry sio dini, lakini wanachama wanaamini katika nguvu ya Juu inayoitwa "Msanifu Mkuu wa Ulimwengu". Kanuni kuu za Freemasonry ni Upendo wa Ndugu, Usaidizi, na Ukweli.
Jamii ya siri
Freemasonry inachukuliwa kuwa jumuiya ya siri kwa sababu inaficha baadhi ya mila, desturi, au shughuli zake kutoka kwa umma. Freemasons wana kiapo cha siri na kupeana mikono kwa siri.
Umaarufu
Uamasoni ni maarufu zaidi katika Visiwa vya Uingereza na nchi zingine ambazo hapo awali zilikuwa sehemu ya Milki ya Uingereza.
Wanachama mashuhuri
Wengi wa waanzilishi wa Marekani walikuwa Freemasons, ikiwa ni pamoja na George Washington na Teddy Roosevelt.
Wafanyao hayo ni kwamba wamekengeuka mkuu, uislamu unataratibu zake dahali na dahali,kama ambavyo Quran itaendelea kua ile ile kote duniani,atae badili ata erufi moja atajulikana haraka maana atakuwa amebadili alichosema Allah.Kaswida siku hizi hazina tofauti na kwaya
Mafuta ya upako
Matumizi ya password
Sherehe za ndoa nknk
Kwanini huwezi kuzitaja mkuu?Umenena ile kweli..
Lakini niongeze kitu kidogo hapo..
Kwenye hizo imani tatu ulizoorodhesha mkubwa wao ni satanism... yaani.. satanism matawi yake ni freemason, Illuminat, Paganism na nyinginezo ambazo hapa siwezi kuzitaja..
Ooh kumbe........ nisije lizwaTanganyika wapo wa mchongo sikushauri kabisa
Tupe ilim tufanye majaribioMkuu kuhusu namba ni kweli kabisa
Mwaka ukiwa haugawanyiki Kwa mbili unakuaga Una mitetemo ya juu Sana na ukiseti masafa yako yanakamata Kwa wepesi
Hii nimeifanyia tafiti binafsi tangu 2009/2011/2013/2015/2017/2019/2021/2023.
Kwakuwa human being ni spiritual creature kujifunza ni muhimu na Ku-experience mambo tofauti tofauti.
Huyo Msanifu Mkuu wa Ulimwengu?! Kibiblia ndiye mungu wa dunia.Freemason ni shirika la kidini linalofundisha maadili, upendo, na utii wa sheria. Ingawa sio taasisi ya Kikristo, imepokea upinzani kutoka kwa dini zilizopangwa, haswa Kanisa Katoliki la Roma.
Hapa kuna baadhi ya vipengele vya mafundisho ya Freemasonry:
Imani
Freemasons lazima waamini katika kiumbe mkuu(mighty being) na kutokufa kwa roho.
Fadhila
Freemasons hujitahidi kukamilisha fadhila za ujasiri, busara, kiasi, na haki.
Freemasonry ni shirika la kindugu ambalo lilianzia Enzi za Kati kama chama cha waashi na wajenzi wa makanisa makuu:
Asili
Freemasonry ilianza kama chama cha waashi waliosafiri kufanya kazi kwenye makanisa makuu huko Uropa. Walitumia mishiko, maneno, na ishara ili kuonyesha sifa zao na kujitofautisha na wajenzi wasiostahili.
Freemasonry ya kisasa
Mnamo 1717, Grand Lodge ilianzishwa nchini Uingereza, ikipokea wanachama ambao hawakuwa waashi wa mawe. "Waashi hawa wanaokubalika" walitumia "uashi wa kubahatisha", ambao ulisisitiza kanuni za maadili kama vile hisani, haki, ukweli na ubinadamu.
Uanachama
Freemasonry kwa ujumla ni shirika la wanaume pekee, lakini baadhi ya nyumba za kulala wageni huruhusu wanawake kujiunga. Ili kuwa Freemason, mwombaji lazima awe mwanamume mtu mzima anayeamini kuwa kuna mtu mkuu na kutokufa kwa nafsi.
Imani
Freemasonry sio dini, lakini wanachama wanaamini katika nguvu ya Juu inayoitwa "Msanifu Mkuu wa Ulimwengu". Kanuni kuu za Freemasonry ni Upendo wa Ndugu, Usaidizi, na Ukweli.
Jamii ya siri
Freemasonry inachukuliwa kuwa jumuiya ya siri kwa sababu inaficha baadhi ya mila, desturi, au shughuli zake kutoka kwa umma. Freemasons wana kiapo cha siri na kupeana mikono kwa siri.
Umaarufu
Uamasoni ni maarufu zaidi katika Visiwa vya Uingereza na nchi zingine ambazo hapo awali zilikuwa sehemu ya Milki ya Uingereza.
Wanachama mashuhuri
Wengi wa waanzilishi wa Marekani walikuwa Freemasons, ikiwa ni pamoja na George Washington na Teddy Roosevelt.
Tupe ilim tufanye majaribio
Tufungulie code "kuseti masafa" ni masafa ya namna gani? Au ulimaanisha nini kwenye neno masafa?Mkuu wapi haujaelewa ili tuongezee
Nimekupata vema.. Kuhusu password soma hapaWafanyao hayo ni kwamba wamekengeuka mkuu, uislamu unataratibu zake dahali na dahali,kama ambavyo Quran itaendelea kua ile ile kote duniani,atae badili ata erufi moja atajulikana haraka maana atakuwa amebadili alichosema Allah.
Hapo kwenye password ndo sijakuelewa nini wamaanisha.
Uislamu huu ambao umeanzishwa na roman Catholic?Haya uloelezea yanatokea huko kwingine,lkn kamwe uwezi yapata katika uislamu,, mwenye ushahidi aniambie,kwa mifano ya hapahapa tz,uko nje sijui.
Hata Ukristo una taratibu zake ,lakini Illuminati wameingia kama kwenye uislamuWafanyao hayo ni kwamba wamekengeuka mkuu, uislamu unataratibu zake dahali na dahali,kama ambavyo Quran itaendelea kua ile ile kote duniani,atae badili ata erufi moja atajulikana haraka maana atakuwa amebadili alichosema Allah.
Hapo kwenye password ndo sijakuelewa nini wamaanisha.
Hata Ukristo una taratibu zake ,lakini Illuminati wameingia kama kwenye uislamuWafanyao hayo ni kwamba wamekengeuka mkuu, uislamu unataratibu zake dahali na dahali,kama ambavyo Quran itaendelea kua ile ile kote duniani,atae badili ata erufi moja atajulikana haraka maana atakuwa amebadili alichosema Allah.
Hapo kwenye password ndo sijakuelewa nini wamaanisha.
Asili inachukua mkondo wake.. Dini zilizotegemewa kama kimbilio la kumuokoa mwanadamu kiroho sasa zinashuhudia anguko kubwa kuliko wakati mwingine wowote ule
Kwasasa dini nazo ni mateka wa imani za siri za kidunia.. Na hapa namaanisha dini zote zinazomuabudu Mungu moja
Kwasasa dini zetu
. Ni dini za biashara.. Pesa zikiwa ndio kipaumbele kikubwa
. Ni dini za miujiza na mazingaombwe
. Ni dini za mipasho na ulaghai
. Ni dini zinazobeba majukumu ya waganga wa kienyeji walozi na wachawi
. Ni dini za kufanyiana fitina, majungu na kugombea vyeo na madaraka
. Ni dini kwa ajili ya wenye nacho hasa matajiri, wanasiasa, wasanii wakubwa, watu maarufu na hata wauaji wa kuogopeka
. Ni dini zenye kutanguliza maslahi binabsi ama maslahi ya watawala ama kundi fulani la watu
Tuna dini zisizofundisha uhalisia ama zisizojua kufundisha uhalisia ama kutafsiri maandiko na misahafu.. Tuna dini za kuhubiri vitu vya kufikirika zaidi na mifano mfu ya kufunga
Haya mambo yamesababisha ombwe kubwa kwa naamini na waumini wake huu ya uelewa, ufahamu na mikanganyiko mingi kunakopelekea anguko kubwa...!
Vyama vya siri vyenye kutoka mafundisho ya ufahamu na kujitambua, vyenye mikakati na maono ya mbali sasa ndio vimeziteka dini zoote na ndio vinaendesha dunia
Bila kuwa na uelewa binafsi
Bila kuwa na maarifa binafsi
Bila kuwa na imani thabiti na binafsi yako mwenyewe, juuu ya yale unayoamini na kwanini unayaamini.. Juu ya ithibati mbali mbali.. Umekwisha!
Asili inachukua mkondo wake.. Maana dini zimefeli..zimejaa mafundisho yanayohitaji ufafanuzi wa kina .. Lakini hao wafafanuzi sasa! Ni majanga..
Dini zetu zinatufundisha tusiue.. Lakini hatujafafanuliwa tusiue nini na kwa sababu gani.. Huu ni Mfano mmoja tu rahisi kabisa!
Dini zetu zinatuambia kuhusu nambari ya siri inayotawala na inavyotawala dunia lakini hakuna wafafanuzi wa haya maarifa.. Matokeo yake nambari hiyo imepenya mpaka kwenye dini zenyewe maana ndio mahitaji ya nyakati
Kuna wajenzi huru(Freemasons) wapembuzi yakinifu waliojawa maarifa, wanaoweza kujibu kila swali tata.. Wenye elimu pana na kubwa na maarifa kuhusu, dunia, ulimwengu na imani zake.. Hawa ni mabingwa wao mipangilio ya tarakimu.. Wanakuambia ulimwengu unaendeshwa na tarakimu (nambari za siri)
Kuna Satanism (imani za kishetani) zimepewa jina baya lakini zimejaa maarifa mengi na yenye nguvu sana .. Mengine yanatisha kwakuwa yana connection ya moja kwa moja na nguvu za asili.. Hawa ni wababe wao mambo ya kiroho
Paganism.. Wasiamini katika chochote bali imani hao😀.. Wenye kutafuta uwiano kati ya hao wengine Wote.. Wasiojua chochote kuhusu nambari za siri, wasuojua chochote kuhusu ulimwengu wa roho.. Wasiojua chochote kuhusu asili..
Waamini wa kwamba kila kitu kipo kwa sababu kipo(bila kufafanua sababu yenyewe) hakuna mwanzo na hakuna mwisho.. Hakuna Mungu, hakuna miungu wala hakuna roho! Wakizaliwa wanezaliwa na wakifa wamekufa!
Wakipata wamepata na wakikosa wamekosa! No more reasoning.. Hawa ni stress free species .. Hawajisumbui kwa lolote lile!
Hitimisho: colabo ya hawa watatu umezifanya dini zetu zote kuwa mateka wao na mafundisho yao kwa sehemu kubwa ndio yanatawala mahubiri ya kila siku kwenye nyumba za ibada zenye kumwamini Mungu mkuu..View attachment 3192798
We kilaza sana. Unauliza swali la kuonesha ulivyo kilaza. Mshana anajua nini katika hayo mambo?Kaka mshana
kuna uhusiano wowote kati ya freemansons (illuminant) na wale wajanja walioficha taarifa sahihi kumhusu muumba?
Kanisa katoliki kuanzia miaka ya 1600/1700 au kabla ya hapo, waliiona hatari. Na waliweka wazi, mtu yeyote anayejiunga na hizi secret societies, automatically anakuwa excommunicated.Shida ya Freemasons, kile wanachokiongea hawakimaanishi. Ni watu wa sura mbili mbili na hawaaminiki kabisa. Kwao ni power na mali tu, wakisema wazi kuwa hakuna maisha mengine zaidi ya haya tunayoishi. Kwahiyo suala la kuabudu Mungu ni mchezo wa maigizo.
Kwa mfano, toka uasi wa Martin Luther kwa kanisa katoliki, Freemasonry kimkakati, waliamua kulibomoa kanisa na kuunda dini moja ambayo wao ndio watairatibu. Martini Luther aliwapa confidence kubwa ya kuwa inawezekana. Kumbukeni enzi hizo, kanisa lilitawala uongozi wa siasa na wa imani.
Na walichoanza nacho ni kutoa elimu ya kiliberali...secular education, ambayo haina uhusiano wowote na elimu ya dini waliyokuwa wanaitoa kanisa.
Kulikuwa na mpambano mkali wakati Freemasons walipoanza kuipigia debe evolution ya Charles Darwin. Kanisa likisema inakinzana na elimu ya Mwenyezi Mungu. darwin anasema hakuna Mungu ila kuna evolution.
Hawa jamaa hawaamini katika uwepo wa Mwenyezi Mungu, ingawa wanaenda kwenye nyumba za ibada na kufuata yale dini zao zinasema. Ni mababa na mafundi wa ghiriba zote za wazi au za kificho duniani.
Kwa sababu ya kuogopa influence ya ukristu, hasa ukatoliki, wao ndio waanzilishi wa huu ukristu wa mwendo kasi. Nia yao ni moja tu, kuhakikisha hakuna kitu kinaitwa dini fulani. Sisi wote tuwe na dini yao moja, waliyoiunda wao.
Kanisa katoliki kuanzia miaka ya 1600/1700 au kabla ya hapo, waliiona hatari. Na waliweka wazi, mtu yeyote anayejiunga na hizi secret societies, automatically anakuwa excommunicated.
Hivi mnajua hata ndani ya kanisa Tanzania kuna baadhi ya wakubwa ni members? Na ukiona wanaongea huwezi kuhisi hawaamini katika yale wanayoyasema.
Shida za dunia, kuanzia vita kuu, iwe ya kwanza, ya pili au hata ya tatu...ukomunisti...ubepari na elite life zisizojari uwepo wa wanadamu wengine....biashara ambazo mara nyingine ikibidi hata kupoteza mamilioni ili ifanyike...the list goes on and on.
Hivi wananufaika na nini? Mbona wote tunaenda huko chini kama tulivyokuja?
Inanikumbusha maisha yetu yalivyo na huwa tunaishiaje kwa zaburi hiyo hapo chini
Zaburi ya 49:6-14
6. Watu waovu hutegemea mali zao, hujisifia wingi wa utajiri wao.
7. Lakini binadamu hawezi kamwe kujikomboa mwenyewe; hawezi kumlipa Mungu bei ya maisha yake,
8. maana fidia ya maisha ni kubwa mno. Hawezi kutoa kitu chochote kinachotosha,
9. kimwezeshe aendelee kuishi daima, asipate kuonja kaburi.
10. Yeye afahamu kuwa hata wenye hekima hufa, wapumbavu hali kadhalika na watu wajinga. Wote hao huwaachia wengine mali zao.
11. Makaburi ni makao yao hata milele; ni makao yao vizazi hata vizazi, ingawa hapo awali walimiliki ardhi.
12. Binadamu hatadumu katika fahari yake; atakufa tu kama mnyama.
13. Hayo ndiyo yawapatao wanaojiamini kipumbavu, ndio mwisho wa wale wanaojivunia mali zao.
14. Wataongozwa kama kondoo hadi kuzimu, kifo kitakuwa mchungaji wao. Watashuka moja kwa moja kaburini.
Miili yao itaozea huko, Kuzimu kutakuwa makao yao.
Hawa jamaa hawaamini katika uwepo wa Mwenyezi Mungu, ingawa wanaenda kwenye nyumba za ibada na kufuata yale dini zao zinasema. Ni mababa na mafundi wa ghiriba zote za wazi au za kificho duniani.Shida ya Freemasons, kile wanachokiongea hawakimaanishi. Ni watu wa sura mbili mbili na hawaaminiki kabisa. Kwao ni power na mali tu, wakisema wazi kuwa hakuna maisha mengine zaidi ya haya tunayoishi. Kwahiyo suala la kuabudu Mungu ni mchezo wa maigizo.