Ulimwengu mikononi mwa Freemason, Satanism na Paganism

Ok Asante kwa elimu

Nikitaka kujiunga huko kwa Tanzania inakuaje?
 
Kaswida siku hizi hazina tofauti na kwaya
Mafuta ya upako
Matumizi ya password
Sherehe za ndoa nknk
Wafanyao hayo ni kwamba wamekengeuka mkuu, uislamu unataratibu zake dahali na dahali,kama ambavyo Quran itaendelea kua ile ile kote duniani,atae badili ata erufi moja atajulikana haraka maana atakuwa amebadili alichosema Allah.
Hapo kwenye password ndo sijakuelewa nini wamaanisha.
 
Umenena ile kweli..
Lakini niongeze kitu kidogo hapo..
Kwenye hizo imani tatu ulizoorodhesha mkubwa wao ni satanism... yaani.. satanism matawi yake ni freemason, Illuminat, Paganism na nyinginezo ambazo hapa siwezi kuzitaja..
Kwanini huwezi kuzitaja mkuu?
 
Tupe ilim tufanye majaribio
 
Huyo Msanifu Mkuu wa Ulimwengu?! Kibiblia ndiye mungu wa dunia.
 
Nimekupata vema.. Kuhusu password soma hapa
 
Haya uloelezea yanatokea huko kwingine,lkn kamwe uwezi yapata katika uislamu,, mwenye ushahidi aniambie,kwa mifano ya hapahapa tz,uko nje sijui.
Uislamu huu ambao umeanzishwa na roman Catholic?

Huu ambao una symbols nyingi tu za masonia ?

Uislamu huu ambao wanaabudu jiwe jeusi ya maka ?

Uislamu huu ambao umegawanyika katika madhehebu zaidi ya 70?
 
Hata Ukristo una taratibu zake ,lakini Illuminati wameingia kama kwenye uislamu

Mwezi ,Nyota ni alama za uislamu zilizoingizwa na illuminati
 
Hata Ukristo una taratibu zake ,lakini Illuminati wameingia kama kwenye uislamu

Mwezi ,Nyota ni alama za uislamu zilizoingizwa na
 

Shida ya Freemasons, kile wanachokiongea hawakimaanishi. Ni watu wa sura mbili mbili na hawaaminiki kabisa. Kwao ni power na mali tu, wakisema wazi kuwa hakuna maisha mengine zaidi ya haya tunayoishi. Kwahiyo suala la kuabudu Mungu ni mchezo wa maigizo.

Kwa mfano, toka uasi wa Martin Luther kwa kanisa katoliki, Freemasonry kimkakati, waliamua kulibomoa kanisa na kuunda dini moja ambayo wao ndio watairatibu. Martini Luther aliwapa confidence kubwa ya kuwa inawezekana. Kumbukeni enzi hizo, kanisa lilitawala uongozi wa siasa na wa imani.

Na walichoanza nacho ni kutoa elimu ya kiliberali...secular education, ambayo haina uhusiano wowote na elimu ya dini waliyokuwa wanaitoa kanisa.

Kulikuwa na mpambano mkali wakati Freemasons walipoanza kuipigia debe evolution ya Charles Darwin. Kanisa likisema inakinzana na elimu ya Mwenyezi Mungu. darwin anasema hakuna Mungu ila kuna evolution.

Hawa jamaa hawaamini katika uwepo wa Mwenyezi Mungu, ingawa wanaenda kwenye nyumba za ibada na kufuata yale dini zao zinasema. Ni mababa na mafundi wa ghiriba zote za wazi au za kificho duniani.

Kwa sababu ya kuogopa influence ya ukristu, hasa ukatoliki, wao ndio waanzilishi wa huu ukristu wa mwendo kasi. Nia yao ni moja tu, kuhakikisha hakuna kitu kinaitwa dini fulani. Sisi wote tuwe na dini yao moja, waliyoiunda wao.

Kanisa katoliki kuanzia miaka ya 1600/1700 au kabla ya hapo, waliiona hatari. Na waliweka wazi, mtu yeyote anayejiunga na hizi secret societies, automatically anakuwa excommunicated.

Hivi mnajua hata ndani ya kanisa Tanzania kuna baadhi ya wakubwa ni members? Na ukiona wanaongea huwezi kuhisi hawaamini katika yale wanayoyasema.

Shida za dunia, kuanzia vita kuu, iwe ya kwanza, ya pili au hata ya tatu...ukomunisti...ubepari na elite life zisizojari uwepo wa wanadamu wengine....biashara ambazo mara nyingine ikibidi hata kupoteza mamilioni ili ifanyike...the list goes on and on.

Hivi wananufaika na nini? Mbona wote tunaenda huko chini kama tulivyokuja?
Inanikumbusha maisha yetu yalivyo na huwa tunaishiaje kwa zaburi hiyo hapo chini

Zaburi ya 49:6-14

6. Watu waovu hutegemea mali zao, hujisifia wingi wa utajiri wao.
7. Lakini binadamu hawezi kamwe kujikomboa mwenyewe; hawezi kumlipa Mungu bei ya maisha yake,
8. maana fidia ya maisha ni kubwa mno. Hawezi kutoa kitu chochote kinachotosha,
9. kimwezeshe aendelee kuishi daima, asipate kuonja kaburi.
10. Yeye afahamu kuwa hata wenye hekima hufa, wapumbavu hali kadhalika na watu wajinga. Wote hao huwaachia wengine mali zao.
11. Makaburi ni makao yao hata milele; ni makao yao vizazi hata vizazi, ingawa hapo awali walimiliki ardhi.
12. Binadamu hatadumu katika fahari yake; atakufa tu kama mnyama.
13. Hayo ndiyo yawapatao wanaojiamini kipumbavu, ndio mwisho wa wale wanaojivunia mali zao.
14. Wataongozwa kama kondoo hadi kuzimu, kifo kitakuwa mchungaji wao. Watashuka moja kwa moja kaburini.
Miili yao itaozea huko, Kuzimu kutakuwa makao yao.
 
Kaka mshana
kuna uhusiano wowote kati ya freemansons (illuminant) na wale wajanja walioficha taarifa sahihi kumhusu muumba?
We kilaza sana. Unauliza swali la kuonesha ulivyo kilaza. Mshana anajua nini katika hayo mambo?
 
Kanisa katoliki kuanzia miaka ya 1600/1700 au kabla ya hapo, waliiona hatari. Na waliweka wazi, mtu yeyote anayejiunga na hizi secret societies, automatically anakuwa excommunicated.

Hivi mnajua hata ndani ya kanisa Tanzania kuna baadhi ya wakubwa ni members? Na ukiona wanaongea huwezi kuhisi hawaamini katika yale wanayoyasema.πŸ™‡πŸΏβ€β™‚πŸ™‡πŸΏβ€β™‚πŸ™‡πŸΏβ€β™‚
 
Hawa jamaa hawaamini katika uwepo wa Mwenyezi Mungu, ingawa wanaenda kwenye nyumba za ibada na kufuata yale dini zao zinasema. Ni mababa na mafundi wa ghiriba zote za wazi au za kificho duniani.

Kwa sababu ya kuogopa influence ya ukristu, hasa ukatoliki, wao ndio waanzilishi wa huu ukristu wa mwendo kasi. Nia yao ni moja tu, kuhakikisha hakuna kitu kinaitwa dini fulani. Sisi wote tuwe na dini yao moja, waliyoiunda wao.πŸ₯Ί
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…