Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
TBC kama shirika la habari la umma wa waTanzania, litaendelea kufanya majukumu yake ya kuuhabarisha umma wa waTanzania kuhusu mambo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za utangazaji bila kujali porojo, chuki, mihemko, makasiriko au shinikizo kutoka kwa wanasiasa au wanaharakati waliopoteza uelekeo wa kisiasa na taasisi zao nchini 🐒Mwanahabari mkongwe, Jenerali Ulimwengu, ameitaka Serikali kuipa nafasi zaidi TBC kufanya kazi kama Shirika la Utangazaji la Taifa badala ya kuonekana kama chombo cha Serikali. Ulimwengu amesema hayo leo, Septemba 28, 2026, katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, yaliyoandaliwa na Mtandao wa Wadau wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI).
"Najiuliza, hivi TBC ni Shirika la Utangazaji la Taifa au Shirika la Utangazaji la Serikali? Kwa muda mrefu shirika hilo limekuwa si mnyama si ndege, linajinasibisha kuwa la Taifa lakini nikiliangalia naliona ni la Serikali. Kumbuka linaendeshwa kwa kodi za Wananchi lakini kama kitu hakiipendezi Serikali hukioni kwenye TBC.
"Mfano nadhani kilichotokea Oktoba 29, 2025 chochote ambacho kilitokea hakikuipendeza Serikali hakikuweza kupelekwa hewani, mwisho wa siku Shirika linakuwa la CCM. Nadhani CCM iiachie TBC ifanye kazi kama Shirika la Taifa."
na hayupo wa kulazimisha kuskiza au kutazama TBC gentleman,Mm sisikilizi Wala kuangalia matakataka ya TBC. Bora nizime tv.
Wale ni machawa kuliko hata radio uhuru.
alafu atatokea AYUBU RIOBA kupingaMwanahabari mkongwe, Jenerali Ulimwengu, ameitaka Serikali kuipa nafasi zaidi TBC kufanya kazi kama Shirika la Utangazaji la Taifa badala ya kuonekana kama chombo cha Serikali. Ulimwengu amesema hayo leo, Septemba 28, 2026, katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, yaliyoandaliwa na Mtandao wa Wadau wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI).
"Najiuliza, hivi TBC ni Shirika la Utangazaji la Taifa au Shirika la Utangazaji la Serikali? Kwa muda mrefu shirika hilo limekuwa si mnyama si ndege, linajinasibisha kuwa la Taifa lakini nikiliangalia naliona ni la Serikali. Kumbuka linaendeshwa kwa kodi za Wananchi lakini kama kitu hakiipendezi Serikali hukioni kwenye TBC.
"Mfano nadhani kilichotokea Oktoba 29, 2025 chochote ambacho kilitokea hakikuipendeza Serikali hakikuweza kupelekwa hewani, mwisho wa siku Shirika linakuwa la CCM. Nadhani CCM iiachie TBC ifanye kazi kama Shirika la Taifa."
Fuatilia hapa >>> Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, 28/09/2026