Kimazoe, mwanadamu wa jinsia ya kike, kwa kiasi kikubwa alionekana ni mtu mwema zaidi, mnyenyekevu zaidi, msikivu zaidi, asiye mdhulumaji. Ilikuwa siyo kawaida kumpata mwanamke akiwa jambazi.
Lakini siku zinavyoenda mambo yamebadilika sana. Wanawake wa sasa, wengi wao, hasa waliopata nafasi za madaraka wamekuwa makatili, tena kwa viwango ambavyo ni wanaume wachache sana waliowahi kuvifikia.
Wafikirie wanawake wafuatao:
1. Shekh Hasina
Huyu alikuwa Waziri mkuu wa Bangladesh mwaka 1996 mpaka 2001. Akarudi tena na kuchukua madaraka, na kisha kukaa kwa muda mrefu kinyume na katiba, mwaka 2009 mpaka 2024, alipoondoshwa kwa nguvu, na sasa anaishi uhamishoni India.
Hasina anatajwa ni kiongozi dikteta aliyegandamiza uhuru wa maoni wa raia wake, na kutenda vitendo vya ajabu na hatari kabisa dhidi ya ubinadamu ili kubakia madarakani. Huku akijibakiza madarakani kwa kukiuka taratibu za kidemokrasia ndani ya chama chake na ndani ya nchi yake.
Umoja wa mataifa unasema Hasina aliua watu wapatao 650 wakati wa utawala wake.
"She has been widely accused of being an authoritarian, a dictator even, oppressing the freedom of speech while committing serious human rights violence and holding onto the power through anti-democratic practices"
Wataalam wa siasa na historia wanasema, tofauti na viongozi madikteta wanaume, viongozi madikteta wanawake, huzipata nafasi za uongozi kupitia connections.
"There’s a pretty obvious pattern here: all the female “dictators” listed above gained power through family connections"
Hakuna mwanamke aliyewahi kupindua Serikali kisha akaupata uongozi.
Watawala wengine wanawake madikteta ni pamoja na
Imelda Marcos

wa Phillipines;
Elena Ceaușescu wa Romania.
Huyu hakuwa Rais bali alikuwa mke wa Ceaușescu, lakini alikuwa na nguvu za ajabu kwenye maamuzi ya nchi. Yeye na mume wake waliuawa baada ya wananchi kuwachoka kwa udikteta.
'Elena Ceaușescu was the wife of Romanian Communist dictator Nicolae Ceaușescu"
Jiang Qing

Jiang Qing
Huyu alikuwa mke wa nne wa Rais Mao Zedong. Huyu alichukua madaraka baada ya kifo cha mumewe. Alikuwa katili , na aliwaua hata viongozi wenzake. Alipoondolewamadarakani, na yeye aliuawa.
'She generally took a hard-line stance on policy, opposing for instance economic reforms and determinedly prosecuting her political opponents.'
JE KWETU KUPOJE?
Mtazame Tulia. Kiongozi wa Bunge aliyeonekana kutothamani kabisa uhai wa binadamu wenzake. Alizuia Bunge na wabunge wote, wakiwemo wanaume kujadili utekaji na mauaji yaliyokuwa yakiendelea nchini.
Huko Mahakamani nako mmeisikia hukumu ya jaji mwanamke ambayo kwa vyovyote vile, hata kwa asiyejua sheria, unajua kabisa hukumu hiyo imelenga kudhulumu haki ya Tundu Lisu.
Ni wanawake gani wengine nchini Tanzania wanadhihirisha ukatili wa hali ya juu?
Kwa nini hali hii?
Je, shetani huweka makao yake ya kudumu kwa baadhi ya wanawake mara wakiyapata madaraka?
Ni dhahiri sasa, kuna haja ya kuwa makini sana mnapoamua kumpa madaraka mwanamama, maana hawatabiriki.