Ulimwengu umebadilika? Kwanini nyakati hizi watawala wanawake wanaonesha ukatili wa kiwango cha ajabu?

Alipo wambia mtanikumbuka. Mkaona ana bwabwaja. Rest easy my President.
 
Tangu mwanzo wa kuumbwa kwa ulimwengu Mwanamke ni katili,ni mbinafsi,mchoyo na asiyejali maisha ya watu wengine kama siyo wa familia yake.
Kuna movie moja nimewahi kucheki,.. Huyo Starring alikuwa anasema slogan moja kuwa anamwogopa zaidi mwanamke aliyeshika bastola.
 
Joyce Banda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…