Unajua maana ya christ kwanza nianzie hapo maana unasema christ hakuwepo wakati huo utafikiri ni mtu [emoji28][emoji28]
Nijibu hili na kwakuwa unajua biblia bhasi tutaenda sawia sana ili nikueleweshe vizuri
Roho ni nishati kuna nishati za aina mbili nishatiMkuu hapo juu kuna mahali umeweka link kuhusu ROHO
Nimekwenda nikakuta umeelezea sifa za roho na inachoweza kufanya
Lakini huja dadafua roho ni nini haswa
Hapa unasema ni nishati hai...... bado ni msamiati
Kwa jinsi mnavyoeleza kuhusu ROHO ni kama ni kitu fulani muhimu sana hivyo kitakuwa wazi
Binafsi nahakika sina ROHO mnayoitaja kila siku ila maisha yangu yanasongo
Inawezekana ninayo ila sijui
Hebu kwa lugha rahisi ROHO ni nini mkuu
Dadafua
Ok bhasi ngoja nikuongezee kitu ambacho unachanganya....Jesus Christ
Ni cheo cha Yesu
Ok bhasi ngoja nikuongezee kitu ambacho unachanganya....
Neno christ limetokna na neno la Kigiriki χριστός (chrīstós) linalomaanisha Mpakwa mafuta (The anointed one to do some activities) hapa sijui umeelewa..
au kwa lugha ya Kihebrania מָשִׁיחַ (Mašíaḥ, messiah),
kwahiyo Christ/kristo/kristu ni sawa na kusema Masihi kwa kihebrania
Unaweza ukasoma Yohana 1:41-42 kupata refference zaidi ya kibiblia ukitaka..
View attachment 2795296
Sasa turudi tuangalia kina nani waliwahi kuwa masihi ama kristo...
Masihi hakuwahi kuwa mtu bali ni cheo cha watu...
Zaburi 105:14-15
"Hakumwacha mtu awaonee,
Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao. Akisema, Msiwaguse masihi wangu, Wala msiwadhuru nabii zangu.."
Ntakutajia Masihi wachache u kama wanne hivi au watano!
Sauli ,Daudi, Samweli, Isaya Na wengi walikuwa masihi wa bwana ( yaani sauli alikuwa kristo) soma zaburi 2:2, zaburi 45:7, Isaya 61:1
1 Samweli 24:6-7
[6]Akawaambia watu wake, Hasha! Nisimtendee bwana wangu, masihi wa BWANA, neno hili, kuunyosha mkono wangu juu yake, kwa maana yeye ni masihi wa BWANA.
[7]Basi Daudi akawazuia watu wake kwa maneno hayo, asiwaache kumwondokea Sauli. Kisha Sauli akatoka pangoni, akaenda zake.
Kwanza mimi sio mkristo na kingine Usishupaze shingo kubishana na Ukweli Nahisi ungepaswa kujibu hoja zilizpo mezani kwako zilizowasilishwa kaa njia ya kitabu chako unachokiamini...Mkuu usitake ku complicate mambo
Wewe ni Mkristo kwasababu unafuata mafundisho ya Kristo
Kristo ni Yesu..... PERIOD
Hakuna Daudi Christo waka Sauli Christo
Hapana!Mkuu usitake ku complicate mambo
Wewe ni Mkristo kwasababu unafuata mafundisho ya Kristo
Kristo ni Yesu..... PERIOD
Hakuna Daudi Kristo waka Sauli Kristo
Kuna YESU KRISTO TU
Unapotaja neno Kristo moja kwa moja tunamaanisha Yesu na sio wapakwamafuta akina Sauli
Samahani kaka mshana ,nilisha wahi kuja inbox kwakoo ukanisaidia kuhusiana na nyota,,,Nina shida naomba unielekeze kama ni tatizo au laa,, kila navoo endaa kazini asubuhi huwà natumia pkpk ,,napita kwenye pori na Kuna ndegee anae fanana na njiwa pori ,,yule amekaa kama amelembwa na mzuri sanaa jina lake halisi silijui,,huwaa anapita mbele yangu kwa kukatizaa kila nikifika eneo hilo anapita mbele yanguu kiasi ningekua na shida ya kumkamata nawezaa usawaa kabisa na kichwaa changu kwa mwendo wa taratibu ,,huwà inanistua na kunifikirisha kua ni mikosi au bahati ,,nikiwaa kwenye pkpk naweza kunshika na bila kuteteleka ,,naomba kujua kama ni ishara mbaya au kawaida ni Zaid ya mara nne .
Hapana!
Jitahidi ukubali kuelimika...
Na Emmanuel ni nani??
Kwanza mimi sio mkristo na kingine Usishupaze shingo kubishana na Ukweli Nahisi ungepaswa kujibu hoja zilizpo mezani kwako zilizowasilishwa kaa njia ya kitabu chako unachokiamini...
Vinginevyo ukizipinga nitaamini kwamba wewe pia unafata mkumbo kanisani na pia biblia Unaifundisha na sio biblia ikufundishe wewe...
Wakati Mwingine iache Biblia iwe Mwongozo wako na sio wewe uwe Mwongozo wa Biblia....
Hakuna Daudi Kristo [emoji28][emoji28]
Ila kuna Daudi masihi...
Hakuna sauli kristo ila kuna sauli masihi...
Kwanza unatakiwa ujue Kuhusu Tafsiri ya Biblia ukijua ndo uje kuenga hoja ...
NB: Hakuna sehemu nilipocomplicate mambo ila nachosema Ni kile kitu kilichopo Siku zote kuna ukweli Mmoja tu..
Ila ukilazimisha upate ukweli Wako ndani ya ukweli mwingine hapo Utaona kama kila kitu kina complicate...
Asante ilikuwa vizuri kujadiliana na Wewe....
Nilikua Mkristo, kwasasa sina imani yoyote
Kuna asili ya neno na kuna matumizi ya neno
Maneno yanabadilika matumizi kila uchwao kwasababu ya muda, tafsiri kutoka lugha moja hadi nyingine, imani nk nk
Ni kweli limetoholewa kwenye tafsiri ulio itoa lakini linavyo tumika sasa kulingana na IMANI kunautofauti na asili yake
Complication itakuja pale utakapo taka tumia maana ya asili ya neno dhidi ya maana inayotumika sasa
Ndio nikakwambia kuna Yesu kristo tu hakuna Daudi kristo
Nikitaka kulazimisha maana ya asili naweza kuita Daudi kristo pia
Unapo taja Christ kwa matumizi ya dunia ya leo unamaanisha YESU na ndio chanzo cha CHRISTIANITY yaani ufuasi wa Yesu
Ulitakiwa upinge hoja yangu kwa hoja na sio kunishambulia NAKOMAZA SHINGO
Lakini pia wakati mwingine sio swala la ukweli au uongo..... its just a matter of opinions
Lini matumizi hayo Yalibadilika Maana nimekupa Fungu
Yohana 1:41-42
Lipitie halafu nipe maana yake....
Tatizo kubwa wanalofanya Wachungaji wa Sasa ni kuuficha ukweli..Hawafundishi kuhusu Church history...
Kipindi cha Agano la kale hakukuwa na neno linaloitwa Kristo hata kidogo na hata kipindi cha Yesu Pia...
Yesu alikuwa Myahudi Anayeongea KiAramaic na hakuwahi kuongea Kiyunani (Kigiriki) kwahyo hakuna sehemu aliwahi kujiita kristo ila alijiita masihi...
Kwanza hata jina lake ni yehoshua..
Ila wajanja walitaka kumfanya Special na kumtofautisha na Yeshoshua bin Nun na Pia masihi wengine ndo wakatohoa lugha ...
Biblia ilibadilishwa kwa lugha ya Kigiriki ndo mwanzo wa kutajwa neno kristo kipindi hicho.....
KAMA UNAFAHAMU KUHUSU HISTORY YA BIBLE TRANSLATION IN SEPTUAGANT"
NINAONGEA KWA MLENGO WA KUJUA NINACHOKISEMA
Nimejua mlengo wako and you POVMkuu kwa muktadha wa maelezo yako unakubaliana na mimi kuwa maneno yanakwenda na kubadilika maana kulingana na tafsiri, uptoshaji, imani nk nk
Neno KRISTO dunia ya leo linamaanisha YESU.
Ama limeoptoshwa au lina maana zaidi ya hiyo lakini maana inayotumika sasa ni YESU
Hakuna namna unaweza kutaja Kristo na usiwe unamaanisha YESU
YH 1:41-42 inasema kuhusu Yesu mpakwa mafuta na ikasisitiziwa kwenye mabano yaani Christo
Ni kweli mpakwa mafuta ndio christo
Na ndio wakristo wanatumia kristo kumaanisha cheo cha Yesu tu
Kwani maana ya Christianity ni nini?
Si ni wafuasi wa Yesu?
Mpakwa mafuta ipo palepale lakini Kristo refer to only Jesus
Nimejua mlengo wako and you POV
Ni christ Consiousness Means ufahamu wa kristo..Turudi kwenye mada
Mleta mada aliposema “UFAHAMU WA KRISTO” alimaanisha nini?
Kwa kuhitimisha Hata ndo maana nilikuuliza kama una ufahamu wowote kuhusu Zaburi 23...Ni christ Consiousness Means ufahamu wa kristo..
Ni maelezo marefu sana ila ntafupisha kwamba kila mwanadamu aliumbwa kuja Duniani Kupitia Experience fulani (Kipekee) na kufanya kazi aliyopangiwa kuifanya (Kipekee)..
Ramani na makubaliano ya kazi hiyo huwa tayari imeandikwa...
Na binadamu ni yule tu atakayeweza kuamsha Ufahamu wa Kiroho na kufikia Usawa au level ya ufahamu wa Christ (Christ consiousness) ndiye hutambua Hasa kwa nini kaja na lengo ls kuja duniani...
Na ndo maana Watu wote walioamsha hizo level huwa na Mafundisho Aidha yaliyosawa au Yanayofanana...
Krishna (Kma ulibahatika kusoma Bhaghavad Gita) ana ufanano wa mafundisho Kwa asilimia 80 na Yesu wa kwenye biblia vivo hivyo Horus ,Isis Na wengineo...
Mtume paulo baada ya Kuamsha Hiyo Nguvu alitamani Wayahudi wote kipindi hicho waone anachoona yeye...
Maana alikuwa anaamini kwa njia ya chini sana....
Ukisoma 1 Wakorintho 13:9-12
"Kwa maana tunafahamu kwa sehemu; na tunafanya unabii kwa sehemu; lakini ijapo ile iliyo kamili, iliyo kwa sehemu itabatilika. Nilipokuwa mtoto mchanga, nalisema kama mtoto mchanga, nalifahamu kama mtoto mchanga, nalifikiri kama mtoto mchanga; tokea hapo nilipokuwa mtu mzima, nimeyabatilisha mambo ya kitoto. Maana wakati wa sasa tunaona kwa kioo kwa jinsi ya fumbo; wakati ule tutaona uso kwa uso; wakati wa sasa nafahamu kwa sehemu; wakati ule nitajua sana kama mimi nami ninavyojuliwa sana."
Na ndo maana Kuna wakati alipokuwa akielezea kuhus Maswala ya Melkizedeki Watu hawakumwelewa kwa sababu aliongea vitu vilivyo nje ya ufahamu wa kawaida (Normal Consiousness) na yey aligundua na ndo maana aliwajibu..
Waebrania 5:11
"Ambaye tuna maneno mengi ya kunena katika habari zake; na ni shida kuyaeleza kwa kuwa mmekuwa wavivu wa kusikia.Kwa maana, iwapasapo kuwa waalimu, (maana wakati mwingi umepita), mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu.Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga.
Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa kupambanua mema na mabaya."
Kwa kuhitimisha Hata ndo maana nilikuuliza kama una ufahamu wowote kuhusu Zaburi 23...
Hiyo ndo ina siri kubwa hasa kuhusu umasihi (Christ Consiousnesz)
Kaa kifupi ni kwamba ni hatua ya Juu ya utambuzi inayowekwa kama hatua ya Ukombozi wa kifikra Ya mwanadamu...
Ni christ Consiousness Means ufahamu wa kristo..

😂 Mkaushie man.. mwenyewe nimesoma nimekausha.. just potezea coz kasema hagusi diniKwanza unathibitishaje huo ufahamu wa kristo upo?
Na umejuaje ufahamu huo wa kristo uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu?
kama ufahamu huo wa kristo uko juu zaidi ya ufahamu wetu na utambuzi wetu, Aliyesema ufahamu huo wa kristo upo yeye alifahamu vipi?
Alitumia ufahamu gani?
@DR Mambo AMP na Mayu nyote Mna Elimu BORA KABISA!Ni christ Consiousness Means ufahamu wa kristo..
Ni maelezo marefu sana ila ntafupisha kwamba kila mwanadamu aliumbwa kuja Duniani Kupitia Experience fulani (Kipekee) na kufanya kazi aliyopangiwa kuifanya (Kipekee)..
Ramani na makubaliano ya kazi hiyo huwa tayari imeandikwa...
Na binadamu ni yule tu atakayeweza kuamsha Ufahamu wa Kiroho na kufikia Usawa au level ya ufahamu wa Christ (Christ consiousness) ndiye hutambua Hasa kwa nini kaja na lengo ls kuja duniani...
Na ndo maana Watu wote walioamsha hizo level huwa na Mafundisho Aidha yaliyosawa au Yanayofanana...
Krishna (Kma ulibahatika kusoma Bhaghavad Gita) ana ufanano wa mafundisho Kwa asilimia 80 na Yesu wa kwenye biblia vivo hivyo Horus ,Isis Na wengineo...
Mtume paulo baada ya Kuamsha Hiyo Nguvu alitamani Wayahudi wote kipindi hicho waone anachoona yeye...
Maana alikuwa anaamini kwa njia ya chini sana....
Ukisoma 1 Wakorintho 13:9-12
"Kwa maana tunafahamu kwa sehemu; na tunafanya unabii kwa sehemu; lakini ijapo ile iliyo kamili, iliyo kwa sehemu itabatilika. Nilipokuwa mtoto mchanga, nalisema kama mtoto mchanga, nalifahamu kama mtoto mchanga, nalifikiri kama mtoto mchanga; tokea hapo nilipokuwa mtu mzima, nimeyabatilisha mambo ya kitoto. Maana wakati wa sasa tunaona kwa kioo kwa jinsi ya fumbo; wakati ule tutaona uso kwa uso; wakati wa sasa nafahamu kwa sehemu; wakati ule nitajua sana kama mimi nami ninavyojuliwa sana."
Na ndo maana Kuna wakati alipokuwa akielezea kuhus Maswala ya Melkizedeki Watu hawakumwelewa kwa sababu aliongea vitu vilivyo nje ya ufahamu wa kawaida (Normal Consiousness) na yey aligundua na ndo maana aliwajibu..
Waebrania 5:11
"Ambaye tuna maneno mengi ya kunena katika habari zake; na ni shida kuyaeleza kwa kuwa mmekuwa wavivu wa kusikia.Kwa maana, iwapasapo kuwa waalimu, (maana wakati mwingi umepita), mnahitaji kufundishwa na mtu mafundisho ya kwanza ya maneno ya Mungu; nanyi mmekuwa mnahitaji maziwa wala si chakula kigumu.Kwa maana kila mtu atumiaye maziwa hajui sana neno la haki, kwa kuwa ni mtoto mchanga.
Lakini chakula kigumu ni cha watu wazima, ambao akili zao, kwa kutumiwa, zimezoezwa kupambanua mema na mabaya."
Kwa kuhitimisha Hata ndo maana nilikuuliza kama una ufahamu wowote kuhusu Zaburi 23...
Hiyo ndo ina siri kubwa hasa kuhusu umasihi (Christ Consiousnesz)
Kaa kifupi ni kwamba ni hatua ya Juu ya utambuzi inayowekwa kama hatua ya Ukombozi wa kifikra Ya mwanadamu...
Mkuu Hii nimeipenda Saana@DR Mambo AMP na Mayo nyote Mna Elimu BORA KABISA!
Ufahamu huu imesababisha GIZA kabisaa katika maisha ya WANADAMU!
Hili giza limesababisha MAMBO MAKUBWA KUSHINDWA KUTOKEA!
CHRIST CONSCIOUSNESS ni ile ambayo LEO HII MTU WA NAMNA HIYO HASHINDWI KUMUELEZEA NABII IBRAHIM licha ya kwamba ni uzao wa kizazi cha leo!
WAKO watu wako kwenye level hiyo hata sasa na haimaanishi ni wa Dini gani!
REMEMBERING...RE-member...become a MEMBER again...as you were a Member before...REMEMBERING..AWARENESS.. ALL THESE ARE the qualities of CHRIST CONSCIOUSNESS.
ELIMU na iendelee!