Ulimwengu unatufundisha kitu tusichokielewa

[emoji2539]UFAHAMU WA KRISTO
Huu Ni ufahamu wa kiroho ambao uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu, huu Ni ufahamu wa kweli ambao ufahamu huu Ni true idea ndiyo zinazalishwa hapa, huu ndiyo ufahamu ambao manabii au watu walio kiroho zaidi huutumia

Ulimwengu wa roho ni timilifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaa, hongera mchawi mstaafu. Unajua Nguvu na Mamlaka ya mwana wa mmiliki wewe maana ulishajaribu na kupitia ule ufalme mwingine wakati wa ulozi. Big up kwako.
 
[emoji2788]Katika utangulizi wa somo letu hili tulijaribu kuwekana sawa kidogo kuhusu Mambo haya ambayo tunawafundisha.
katika masomo yetu Wala hayaangalii wewe Ni Dini gani kwa sababu masuala ya kiroho hayahitaji Dini husika ili kuyafikia Bali Ni kujitoa kwako kwa uaminifu tu.

UFAHAMU
[emoji3578]Ufahamu Ni lile tendo la kujua Kama unajua, kutambua vile ambavyo vinatuzunguka kwenye uwepo wetu, MAHUSIANO hayo tunayaita mazingira.

[emoji2788]Mazingira yanatengenezwa na zile idea ambazo zinaumbwa katika akili zetu, Na hizi idea ambazo zinatengenezwa katika akili zetu ndiyo msingi mkuu wa ufahamu wote.

[emoji1696]Kiasili hizi ideas juu ya ufahamu wetu ndiyo zinatengeneza tabia husika

[emoji3578]Matendo yasiyo ya hiyari : Katika ufahamu au consciousness tunaanza kukutana na huu ufahamu, huu Ni ufahamu unaohusu matendo yote yasiyo ya hiyari, mfano kupumua, kupiga chafya, Kwikwi, Kupaliwa, Nk.

[emoji2788]Haya Ni matendo ambayo yanamtokea mtu au kiumbe pasipo yeye mwenyewe kujiandaa, yaani utake usitake yatakutokea tu. Yapo mengi Ila nimeyaweka hayo machache, mengine mtayaongezea.

[emoji3578]Katika masomo haya inabidi uelewe kwamba as within so out side, yaani jinsi ambacho kipo Cha ndani ndiyo Cha nje pia kipo hivyo hivyo, na pia as above so below na jinsi ambacho kilivyo cha juu ndivyo kilivyo cha chini. hii pia unaikuta katika baadhi ya maandiko huku ikisema kwamba matendo yako yatimizwe huku duniani Kama ilivyo huko mbinguni, Ni Sheria tu hii ya as above so below.

[emoji120]Kabla hatujaingia ndani Sana kwenye kanuni yetu ya 3=2 na 2=1 inabidi tufuanguane hapa ili huko tunakoenda kusiwe na kuntofahamu.

[emoji2788]Hapa kwenye matendo yasiyo ya hiyali ndiyo matendo yote ambayo yamebebwa katika original thinking ndiyo yanafanyika Hapa kwenye matendo yasiyo ya hiyali, hapa ndipo kwenye nguvu ya now au Sasa au wakati uliopo.

[emoji2539]MATENDO YA HIYARI (subconscious)
Matendo ya hiyari Ni matendo yanayofanyika kwa matakwa ya binadamu au kiumbe husika, kwa Nini haya hayanafanyika kwa matakwa au kwa kutaka tofauti na yake yasiyo ya hiyali.

[emoji3578]Matendo ya hiyari Ni mkusanyiko wa mafikilio yote yaliyopita kwenye ubongo wa mwanadamu au kiumbe husika, yanaweza kuwa mawazo au matendo.

[emoji2788]Na hapa ndiyo panapotunzwa kumbukumbu zote za nyuma, au tunaweza kuita memory.

[emoji3578]Yote yanayofanyika kuwazwa na kuongelewa huwa yanaingia katika kipengele hiki Cha subconscious na kuhifadhiwa, Katika kuhifadhiwa huko hakuna hata kimoja kinachopotea, Ni mfano wa computer ambayo imehifadhiwa mafaili mengi Sana na hakuna hata faili moja lililopotea kitendo Cha kutokukumbuka faili lako umelisave wapi haimaanishi kwamba faili halipo.

[emoji2788]Lakini wakati mwingine huu ufahamu wa subconscious unafanya kazi zake separate na conscious mind kivipi, mfano umelala na ukawa unaota matukio yaliyopita lakini wakati huo huo mwili unaendelea na zoezi la upumuaji ambalo liko nje kabisa na ule ufahamu wa matendo ya hiyari. Hivyo hapa tunaona kwamba huu ufahamu wa subconscious hauna nguvu kabisa juu ya ufahamu wa conscious.

[emoji3578]Yale yote ambayo yanatokea na kufanyika kwenye ufahamu wa subconscious Ni matokeo ya kile tulichojifunza na kukivuna kutoka kwenye ufahamu wa conscious/super-conscious ambayo ndiyo yanakuja kutengeneza tabia au mazoea yetu.

[emoji2539]UFAHAMU WA KRISTO
Huu Ni ufahamu wa kiroho ambao uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu, huu Ni ufahamu wa kweli ambao ufahamu huu Ni true idea ndiyo zinazalishwa hapa, huu ndiyo ufahamu ambao manabii au watu walio kiroho zaidi huutumia.

[emoji849]Kama ukiwa na uwezo wa kuutumia ufahamu huu Basi wewe utaonekana uko tofauti na watu wengine.

[emoji1721]UFAHAMU BINAFSI ( personal consciousness)

[emoji2788]Huu Ni ufahamu ambao una mipaka, yaani Ni ufahamu ulio kibinfsi Sana, nafikili hapo kwenu wapo watu ambao Ni wavinafsi mpaka inafikia hatua ya kujiuliza huu uchoyo wameutolea wapi, na kwenye ufahamu huu ndiyo inapatikana egos.

[emoji87]Sense consciousness

[emoji3578]Huu Ni ufahamu ambao unaundwa kwa kuamini na kutenda kupitia hisia, huu ndiyo ufahamu wa nyoka, ambao unaongozwa na kufikilia zaidi. Mtu anapoambatana na mawazo yake ndiyo anaunda hii sense consciousness, na kinachotokea Ni kufanya mawazo yake yasiwe kiroho, na hapa ndiyo mtu anapopoteza MAHUSIANO yake na Chanzo chake.

[emoji2788]Lakini IPO Njia yaa kurudi kwenye Chanzo ambacho tutakielezea kwenye muendelezo wetu. Kama ilivyoandikwa kwamba nitafufuka na kwenda kwa baba yangu.

[emoji44]MATERIAL CONSCIOUSNESS
Ufahamu huu hauna tofauti na ule ufahamu wa ubinafsi na ule wa sense. Huu Ni ufahamu ambao umeumbwa kwa kuamini uhalisia na materiality, Ni ufahamu ambao unajali vitu zaidi. Huu Ni ufahamu ambao Ni mgumu kuamini kuwa Mungu yupo kote na Hana ukomo.

[emoji3578]Na ufahamu huu ndiyo ufahamu unaoabudiwa zaidi sehemu mbalimbali za kiimani huku ukiaminika kuwa ndiyo wenyewe.

Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko View attachment 2794570

Sent using Jamii Forums mobile app
Unabwabwaja na kuhororoja kijinga jinga tu. Huna moja la maana uliloliandika.
 
Ok bhasi ngoja nikuongezee kitu ambacho unachanganya....

Neno christ limetokna na neno la Kigiriki χριστός (chrīstós) linalomaanisha Mpakwa mafuta (The anointed one to do some activities) hapa sijui umeelewa..

au kwa lugha ya Kihebrania מָשִׁיחַ (Mašíaḥ, messiah),
kwahiyo Christ/kristo/kristu ni sawa na kusema Masihi kwa kihebrania

Unaweza ukasoma Yohana 1:41-42 kupata refference zaidi ya kibiblia ukitaka..
View attachment 2795296

Sasa turudi tuangalia kina nani waliwahi kuwa masihi ama kristo...
Masihi hakuwahi kuwa mtu bali ni cheo cha watu...

Zaburi 105:14-15
"Hakumwacha mtu awaonee,
Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao. Akisema, Msiwaguse masihi wangu, Wala msiwadhuru nabii zangu.."

Ntakutajia Masihi wachache u kama wanne hivi au watano!

Sauli ,Daudi, Samweli, Isaya Na wengi walikuwa masihi wa bwana ( yaani sauli alikuwa kristo) soma zaburi 2:2, zaburi 45:7, Isaya 61:1

1 Samweli 24:6-7

[6]Akawaambia watu wake, Hasha! Nisimtendee bwana wangu, masihi wa BWANA, neno hili, kuunyosha mkono wangu juu yake, kwa maana yeye ni masihi wa BWANA.

[7]Basi Daudi akawazuia watu wake kwa maneno hayo, asiwaache kumwondokea Sauli. Kisha Sauli akatoka pangoni, akaenda zake.
Masihi ni mpaka mafuta wa Bwana. Walipakwa mafuta kwa jinsi ya mwili wakimaanisha ni kivuki cha nje cha ujzao wa Roho Mwema, Roho wa Hekima, Roho wa Bwana, Roho wa Yesu Kristo ila.baada ya kuja na kufunulowa kwake Masihi na Mchungaji Mkuu. Sasa Masihi na ufahamu unapatikana kwake Yeye aliye mwana wa Mmiliki yaani ufahamu wa kiungu katika Yesu Kristo Mkuu. Nimelielewa na kuielewa comment yako ya Ufahamu wa Kristo.
 
Sijazungumzia Yesu...
Yesu mwenyewe alikuwa Katika Christ consiousness ndo cheo chake kilipopatikana na kama unafahamu alikipata cheo hicho akiwa na umri wa miaka 30
 
Kuwa alikiwa Christ akiwa na miaka 30 unapotosha japo comment yako ni nzuri. Endelea na comments zako ila usipotoshe.
 
Alikuwa christ lini Hebu niambie 🤣🤣
Unajua hata maana ya Christ 🤣🤣🤣
Usifananishe Kutabiriwa na kuwa christ
 
Ok bhasi ngoja nikuongezee kitu ambacho unachanganya....

Neno christ limetokna na neno la Kigiriki χριστός (chrīstós) linalomaanisha Mpakwa mafuta (The anointed one to do some activities) hapa sijui umeelewa..

au kwa lugha ya Kihebrania מָשִׁיחַ (Mašíaḥ, messiah),
kwahiyo Christ/kristo/kristu ni sawa na kusema Masihi kwa kihebrania

Unaweza ukasoma Yohana 1:41-42 kupata refference zaidi ya kibiblia ukitaka..
View attachment 2795296

Sasa turudi tuangalia kina nani waliwahi kuwa masihi ama kristo...
Masihi hakuwahi kuwa mtu bali ni cheo cha watu...

Zaburi 105:14-15
"Hakumwacha mtu awaonee,
Hata wafalme aliwakemea kwa ajili yao. Akisema, Msiwaguse masihi wangu, Wala msiwadhuru nabii zangu.."

Ntakutajia Masihi wachache u kama wanne hivi au watano!

Sauli ,Daudi, Samweli, Isaya Na wengi walikuwa masihi wa bwana ( yaani sauli alikuwa kristo) soma zaburi 2:2, zaburi 45:7, Isaya 61:1

1 Samweli 24:6-7

[6]Akawaambia watu wake, Hasha! Nisimtendee bwana wangu, masihi wa BWANA, neno hili, kuunyosha mkono wangu juu yake, kwa maana yeye ni masihi wa BWANA.

[7]Basi Daudi akawazuia watu wake kwa maneno hayo, asiwaache kumwondokea Sauli. Kisha Sauli akatoka pangoni, akaenda zake.
Ni kweli masihi ni cheo na kama kilivyo cheo katika kila fani kuna aliye mkuu katika hiyo fani.
Mfano washiriki katika jeshi wote ni wana jeshi ila mkuu wao ana cheo cha generali.
Kwa upande wa ufalme wa Mungu washiriki wake wote ni masihi japo wanatofautiana katika madaraja ya ngazi kiwajibu.
Manabii wa agano la kale ni masihi na kundi lote la wanafunzi wa Yesu ni masihi ila kuna MASIHI ALIYE MKUU YAANI YESU MWENYEWE.
jaribu kufuatilia andiko hili na Danieli na ujue kuwa linamlenga Yesu.
Danieli 9:25
[25]Basi ujue na kufahamu, ya kuwa tangu kuwekwa amri ya kutengeneza na kuujenga upya Yerusalemu hata zamani zake masihi aliye mkuu; kutakuwa na majuma saba; na katika majuma sitini na mawili utajengwa tena pamoja na njia kuu zake na handaki, naam, katika nyakati za taabu.
Know therefore and understand, that from the going forth of the commandment to restore and to build Jerusalem unto the Messiah the Prince shall be seven weeks, and threescore and two weeks: the street shall be built again, and the wall, even in troublous times.

Ukienda na hii kalenda ya kibiblia ya wakati na nyakati utamkuta huyu masihi aliye mkuu kwa wakati na majira aliyokuja ni Bwana Yesu Kristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli masihi ni cheo na kama kilivyo cheo katika kila fani kuna aliye mkuu katika hiyo fani.
Mfano washiriki katika jeshi wote ni wana jeshi ila mkuu wao ana cheo cha generali.
Kwa upande wa ufalme wa Mungu washiriki wake wote ni masihi japo wanatofautiana katika madaraja ya ngazi kiwajibu.
Manabii wa agano la kale ni masihi na kundi lote la wanafunzi wa Yesu ni masihi ila kuna MASIHI ALIYE MKUU YAANI YESU MWENYEWE.
jaribu kufuatilia andiko hili na Danieli na ujue kuwa linamlenga Yesu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeangea vyema sana ila umekuja kuharibu sehemu moja tu Kusema Wanafunzi wa Yesu ni masihi japo kwa maelezo kuhusu Cheo uko sawa na niseme tu umeongea vyema Sana...
Kwamba Yesu ndo Alifanikiwa kufika Level ya juu sana ya Christ consiousness kuliko wote na Ndo Mkuu kuliko wote kwa level ya masihi lakini...
 
[emoji2788]Katika utangulizi wa somo letu hili tulijaribu kuwekana sawa kidogo kuhusu Mambo haya ambayo tunawafundisha.
katika masomo yetu Wala hayaangalii wewe Ni Dini gani kwa sababu masuala ya kiroho hayahitaji Dini husika ili kuyafikia Bali Ni kujitoa kwako kwa uaminifu tu.

UFAHAMU
[emoji3578]Ufahamu Ni lile tendo la kujua Kama unajua, kutambua vile ambavyo vinatuzunguka kwenye uwepo wetu, MAHUSIANO hayo tunayaita mazingira.

[emoji2788]Mazingira yanatengenezwa na zile idea ambazo zinaumbwa katika akili zetu, Na hizi idea ambazo zinatengenezwa katika akili zetu ndiyo msingi mkuu wa ufahamu wote.

[emoji1696]Kiasili hizi ideas juu ya ufahamu wetu ndiyo zinatengeneza tabia husika

[emoji3578]Matendo yasiyo ya hiyari : Katika ufahamu au consciousness tunaanza kukutana na huu ufahamu, huu Ni ufahamu unaohusu matendo yote yasiyo ya hiyari, mfano kupumua, kupiga chafya, Kwikwi, Kupaliwa, Nk.

[emoji2788]Haya Ni matendo ambayo yanamtokea mtu au kiumbe pasipo yeye mwenyewe kujiandaa, yaani utake usitake yatakutokea tu. Yapo mengi Ila nimeyaweka hayo machache, mengine mtayaongezea.

[emoji3578]Katika masomo haya inabidi uelewe kwamba as within so out side, yaani jinsi ambacho kipo Cha ndani ndiyo Cha nje pia kipo hivyo hivyo, na pia as above so below na jinsi ambacho kilivyo cha juu ndivyo kilivyo cha chini. hii pia unaikuta katika baadhi ya maandiko huku ikisema kwamba matendo yako yatimizwe huku duniani Kama ilivyo huko mbinguni, Ni Sheria tu hii ya as above so below.

[emoji120]Kabla hatujaingia ndani Sana kwenye kanuni yetu ya 3=2 na 2=1 inabidi tufuanguane hapa ili huko tunakoenda kusiwe na kuntofahamu.

[emoji2788]Hapa kwenye matendo yasiyo ya hiyali ndiyo matendo yote ambayo yamebebwa katika original thinking ndiyo yanafanyika Hapa kwenye matendo yasiyo ya hiyali, hapa ndipo kwenye nguvu ya now au Sasa au wakati uliopo.

[emoji2539]MATENDO YA HIYARI (subconscious)
Matendo ya hiyari Ni matendo yanayofanyika kwa matakwa ya binadamu au kiumbe husika, kwa Nini haya hayanafanyika kwa matakwa au kwa kutaka tofauti na yake yasiyo ya hiyali.

[emoji3578]Matendo ya hiyari Ni mkusanyiko wa mafikilio yote yaliyopita kwenye ubongo wa mwanadamu au kiumbe husika, yanaweza kuwa mawazo au matendo.

[emoji2788]Na hapa ndiyo panapotunzwa kumbukumbu zote za nyuma, au tunaweza kuita memory.

[emoji3578]Yote yanayofanyika kuwazwa na kuongelewa huwa yanaingia katika kipengele hiki Cha subconscious na kuhifadhiwa, Katika kuhifadhiwa huko hakuna hata kimoja kinachopotea, Ni mfano wa computer ambayo imehifadhiwa mafaili mengi Sana na hakuna hata faili moja lililopotea kitendo Cha kutokukumbuka faili lako umelisave wapi haimaanishi kwamba faili halipo.

[emoji2788]Lakini wakati mwingine huu ufahamu wa subconscious unafanya kazi zake separate na conscious mind kivipi, mfano umelala na ukawa unaota matukio yaliyopita lakini wakati huo huo mwili unaendelea na zoezi la upumuaji ambalo liko nje kabisa na ule ufahamu wa matendo ya hiyari. Hivyo hapa tunaona kwamba huu ufahamu wa subconscious hauna nguvu kabisa juu ya ufahamu wa conscious.

[emoji3578]Yale yote ambayo yanatokea na kufanyika kwenye ufahamu wa subconscious Ni matokeo ya kile tulichojifunza na kukivuna kutoka kwenye ufahamu wa conscious/super-conscious ambayo ndiyo yanakuja kutengeneza tabia au mazoea yetu.

[emoji2539]UFAHAMU WA KRISTO
Huu Ni ufahamu wa kiroho ambao uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu, huu Ni ufahamu wa kweli ambao ufahamu huu Ni true idea ndiyo zinazalishwa hapa, huu ndiyo ufahamu ambao manabii au watu walio kiroho zaidi huutumia.

[emoji849]Kama ukiwa na uwezo wa kuutumia ufahamu huu Basi wewe utaonekana uko tofauti na watu wengine.

[emoji1721]UFAHAMU BINAFSI ( personal consciousness)

[emoji2788]Huu Ni ufahamu ambao una mipaka, yaani Ni ufahamu ulio kibinfsi Sana, nafikili hapo kwenu wapo watu ambao Ni wavinafsi mpaka inafikia hatua ya kujiuliza huu uchoyo wameutolea wapi, na kwenye ufahamu huu ndiyo inapatikana egos.

[emoji87]Sense consciousness

[emoji3578]Huu Ni ufahamu ambao unaundwa kwa kuamini na kutenda kupitia hisia, huu ndiyo ufahamu wa nyoka, ambao unaongozwa na kufikilia zaidi. Mtu anapoambatana na mawazo yake ndiyo anaunda hii sense consciousness, na kinachotokea Ni kufanya mawazo yake yasiwe kiroho, na hapa ndiyo mtu anapopoteza MAHUSIANO yake na Chanzo chake.

[emoji2788]Lakini IPO Njia yaa kurudi kwenye Chanzo ambacho tutakielezea kwenye muendelezo wetu. Kama ilivyoandikwa kwamba nitafufuka na kwenda kwa baba yangu.

[emoji44]MATERIAL CONSCIOUSNESS
Ufahamu huu hauna tofauti na ule ufahamu wa ubinafsi na ule wa sense. Huu Ni ufahamu ambao umeumbwa kwa kuamini uhalisia na materiality, Ni ufahamu ambao unajali vitu zaidi. Huu Ni ufahamu ambao Ni mgumu kuamini kuwa Mungu yupo kote na Hana ukomo.

[emoji3578]Na ufahamu huu ndiyo ufahamu unaoabudiwa zaidi sehemu mbalimbali za kiimani huku ukiaminika kuwa ndiyo wenyewe.

Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko View attachment 2794570

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna sega la asali, ngoja nisogeze kiti baada ya kuagiza pop corn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeangea vyema sana ila umekuja kuharibu sehemu moja tu Kusema Wanafunzi wa Yesu ni masihi japo kwa maelezo kuhusu Cheo uko sawa na niseme tu umeongea vyema Sana...
Kwamba Yesu ndo Alifanikiwa kufika Level ya juu sana ya Christ consiousness kuliko wote na Ndo Mkuu kuliko wote kwa level ya masihi lakini...
Nafahamu kile unachowaza kuhusu wanafunzi wa Yesu.
Na mimi sizungumzii dini ya ukristo kwa madhehebu yake la; maana kimsingi hakuna dhehebu hata moja chini ya mbingu lililowahi kuwa la Mungu bali baadhi ya watu kutoka katika hayo madhehebu wamefanyika masihi wa Mungu.
Waliojaaliwa kutoka nje ya matamanio na tamaa za anasa za mwili na mifumo ya akili za binasamu na kuongozwa na roho wa Mungu(ile iliyo kuu na chanzo cha uzima) wote ni masihi wa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2788]Katika utangulizi wa somo letu hili tulijaribu kuwekana sawa kidogo kuhusu Mambo haya ambayo tunawafundisha.
katika masomo yetu Wala hayaangalii wewe Ni Dini gani kwa sababu masuala ya kiroho hayahitaji Dini husika ili kuyafikia Bali Ni kujitoa kwako kwa uaminifu tu.

UFAHAMU
[emoji3578]Ufahamu Ni lile tendo la kujua Kama unajua, kutambua vile ambavyo vinatuzunguka kwenye uwepo wetu, MAHUSIANO hayo tunayaita mazingira.

[emoji2788]Mazingira yanatengenezwa na zile idea ambazo zinaumbwa katika akili zetu, Na hizi idea ambazo zinatengenezwa katika akili zetu ndiyo msingi mkuu wa ufahamu wote.

[emoji1696]Kiasili hizi ideas juu ya ufahamu wetu ndiyo zinatengeneza tabia husika

[emoji3578]Matendo yasiyo ya hiyari : Katika ufahamu au consciousness tunaanza kukutana na huu ufahamu, huu Ni ufahamu unaohusu matendo yote yasiyo ya hiyari, mfano kupumua, kupiga chafya, Kwikwi, Kupaliwa, Nk.

[emoji2788]Haya Ni matendo ambayo yanamtokea mtu au kiumbe pasipo yeye mwenyewe kujiandaa, yaani utake usitake yatakutokea tu. Yapo mengi Ila nimeyaweka hayo machache, mengine mtayaongezea.

[emoji3578]Katika masomo haya inabidi uelewe kwamba as within so out side, yaani jinsi ambacho kipo Cha ndani ndiyo Cha nje pia kipo hivyo hivyo, na pia as above so below na jinsi ambacho kilivyo cha juu ndivyo kilivyo cha chini. hii pia unaikuta katika baadhi ya maandiko huku ikisema kwamba matendo yako yatimizwe huku duniani Kama ilivyo huko mbinguni, Ni Sheria tu hii ya as above so below.

[emoji120]Kabla hatujaingia ndani Sana kwenye kanuni yetu ya 3=2 na 2=1 inabidi tufuanguane hapa ili huko tunakoenda kusiwe na kuntofahamu.

[emoji2788]Hapa kwenye matendo yasiyo ya hiyali ndiyo matendo yote ambayo yamebebwa katika original thinking ndiyo yanafanyika Hapa kwenye matendo yasiyo ya hiyali, hapa ndipo kwenye nguvu ya now au Sasa au wakati uliopo.

[emoji2539]MATENDO YA HIYARI (subconscious)
Matendo ya hiyari Ni matendo yanayofanyika kwa matakwa ya binadamu au kiumbe husika, kwa Nini haya hayanafanyika kwa matakwa au kwa kutaka tofauti na yake yasiyo ya hiyali.

[emoji3578]Matendo ya hiyari Ni mkusanyiko wa mafikilio yote yaliyopita kwenye ubongo wa mwanadamu au kiumbe husika, yanaweza kuwa mawazo au matendo.

[emoji2788]Na hapa ndiyo panapotunzwa kumbukumbu zote za nyuma, au tunaweza kuita memory.

[emoji3578]Yote yanayofanyika kuwazwa na kuongelewa huwa yanaingia katika kipengele hiki Cha subconscious na kuhifadhiwa, Katika kuhifadhiwa huko hakuna hata kimoja kinachopotea, Ni mfano wa computer ambayo imehifadhiwa mafaili mengi Sana na hakuna hata faili moja lililopotea kitendo Cha kutokukumbuka faili lako umelisave wapi haimaanishi kwamba faili halipo.

[emoji2788]Lakini wakati mwingine huu ufahamu wa subconscious unafanya kazi zake separate na conscious mind kivipi, mfano umelala na ukawa unaota matukio yaliyopita lakini wakati huo huo mwili unaendelea na zoezi la upumuaji ambalo liko nje kabisa na ule ufahamu wa matendo ya hiyari. Hivyo hapa tunaona kwamba huu ufahamu wa subconscious hauna nguvu kabisa juu ya ufahamu wa conscious.

[emoji3578]Yale yote ambayo yanatokea na kufanyika kwenye ufahamu wa subconscious Ni matokeo ya kile tulichojifunza na kukivuna kutoka kwenye ufahamu wa conscious/super-conscious ambayo ndiyo yanakuja kutengeneza tabia au mazoea yetu.

[emoji2539]UFAHAMU WA KRISTO
Huu Ni ufahamu wa kiroho ambao uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu, huu Ni ufahamu wa kweli ambao ufahamu huu Ni true idea ndiyo zinazalishwa hapa, huu ndiyo ufahamu ambao manabii au watu walio kiroho zaidi huutumia.

[emoji849]Kama ukiwa na uwezo wa kuutumia ufahamu huu Basi wewe utaonekana uko tofauti na watu wengine.

[emoji1721]UFAHAMU BINAFSI ( personal consciousness)

[emoji2788]Huu Ni ufahamu ambao una mipaka, yaani Ni ufahamu ulio kibinfsi Sana, nafikili hapo kwenu wapo watu ambao Ni wavinafsi mpaka inafikia hatua ya kujiuliza huu uchoyo wameutolea wapi, na kwenye ufahamu huu ndiyo inapatikana egos.

[emoji87]Sense consciousness

[emoji3578]Huu Ni ufahamu ambao unaundwa kwa kuamini na kutenda kupitia hisia, huu ndiyo ufahamu wa nyoka, ambao unaongozwa na kufikilia zaidi. Mtu anapoambatana na mawazo yake ndiyo anaunda hii sense consciousness, na kinachotokea Ni kufanya mawazo yake yasiwe kiroho, na hapa ndiyo mtu anapopoteza MAHUSIANO yake na Chanzo chake.

[emoji2788]Lakini IPO Njia yaa kurudi kwenye Chanzo ambacho tutakielezea kwenye muendelezo wetu. Kama ilivyoandikwa kwamba nitafufuka na kwenda kwa baba yangu.

[emoji44]MATERIAL CONSCIOUSNESS
Ufahamu huu hauna tofauti na ule ufahamu wa ubinafsi na ule wa sense. Huu Ni ufahamu ambao umeumbwa kwa kuamini uhalisia na materiality, Ni ufahamu ambao unajali vitu zaidi. Huu Ni ufahamu ambao Ni mgumu kuamini kuwa Mungu yupo kote na Hana ukomo.

[emoji3578]Na ufahamu huu ndiyo ufahamu unaoabudiwa zaidi sehemu mbalimbali za kiimani huku ukiaminika kuwa ndiyo wenyewe.

Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko View attachment 2794570

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo chanya. Zaidi kupata ufahamu huu pitia The Kybalion: A Study of the Hermetic Philosophy of Ancient Egypt and Greece.
 
Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unadanganywa na unaubeba uongo bila kujielewa unakuja kufundisha engine ujinga.

Huyo kajaribu kuielezea falsafa ya "epistemology" lakini kashindwa kuielezea kabisa kwa Kiswahili. imebidi azuge zuge tu.

Kama unaelewa Kingereza nenda kajisomee kwenye "academic papers" ni nini falsafa ya "epistemology" au ukitaka raha zaidi kasome kuhusu "weltanschauung" (hilo ni neno la Kijerumani).

Nayaweka yote hayo kwa sababu kuna vijana watataka waelewe zaidi, nafahamu hayo mambo kwa uelewa wako utajionea majegajega tu, yapo "way above your capacity".

Usiwe unakimbilia kuyaleta mambo usiyoyaelewa JF, ukiulizwa maswali utashindwa kutetea hoja yako utaanza kurusha matusi na kubweka hovyo.
 
Mawazo chanya. Zaidi kupata ufahamu huu pitia The Kybalion: A Study of the Hermetic Philosophy of Ancient Egypt and Greece.
Huyo hapo umemwacha njia panda, anajionea majegajega tu, lakini umefanya la maana tutaipitia wengine.
 
Wewe unadanganywa na unaubeba uongo bila kujielewa unakuja kufundisha engine ujinga.

Huyo kajaribu kuielezea falsafa ya "epistemology" lakini kashindwa kuielezea kabisa kwa Kiswahili. imebidi azuge zuge tu.

Kama unaelewa Kingereza nenda kajisomee kwenye "academic papers" ni nini falsafa ya "epistemology" au ukitaka raha zaidi kasome kuhusu "weltanschauung" (hilo ni neno la Kijerumani).

Nayaweka yote hayo kwa sababu kuna vijana watataka waelewe zaidi, nafahamu hayo mambo kwa uelewa wako utajionea majegajega tu, yapo "way above your capacity".

Usiwe unakimbilia kuyaleta mambo usiyoyaelewa JF, ukiulizwa maswali utashindwa kutetea hoja yako utaanza kurusha matusi na kubweka hovyo.
Faizafix jipige kifua chako kisha ujiambie mimi ni mpuuzi na mpumbavu... Kuna kitu kimoja kinanishangaza sana kwanini unahangaika mno na mimi? Shida ninini? Au ni kwavile niliikuumbua uongo wako kwamba haupo Canada bali uko hapo Lumumba umehifadhiwa?

Sitaki kuvunja taratibu za JF hasa kwenye name calling lakini ikinilazimu nitafanya hivyo nguruwe wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom