Ulimwengu unatufundisha kitu tusichokielewa

Hahaaaaa, hongera mchawi mstaafu. Unajua Nguvu na Mamlaka ya mwana wa mmiliki wewe maana ulishajaribu na kupitia ule ufalme mwingine wakati wa ulozi. Big up kwako.
 
Unabwabwaja na kuhororoja kijinga jinga tu. Huna moja la maana uliloliandika.
 
Masihi ni mpaka mafuta wa Bwana. Walipakwa mafuta kwa jinsi ya mwili wakimaanisha ni kivuki cha nje cha ujzao wa Roho Mwema, Roho wa Hekima, Roho wa Bwana, Roho wa Yesu Kristo ila.baada ya kuja na kufunulowa kwake Masihi na Mchungaji Mkuu. Sasa Masihi na ufahamu unapatikana kwake Yeye aliye mwana wa Mmiliki yaani ufahamu wa kiungu katika Yesu Kristo Mkuu. Nimelielewa na kuielewa comment yako ya Ufahamu wa Kristo.
 
Sijazungumzia Yesu...
Yesu mwenyewe alikuwa Katika Christ consiousness ndo cheo chake kilipopatikana na kama unafahamu alikipata cheo hicho akiwa na umri wa miaka 30
 
Sijazungumzia Yesu...
Yesu mwenyewe alikuwa Katika Christ consiousness ndo cheo chake kilipopatikana na kama unafahamu alikipata cheo hicho akiwa na umri wa miaka 30
Kuwa alikiwa Christ akiwa na miaka 30 unapotosha japo comment yako ni nzuri. Endelea na comments zako ila usipotoshe.
 
Kuwa alikiwa Christ akiwa na miaka 30 unapotosha japo comment yako ni nzuri. Endelea na comments zako ila usipotoshe.
Alikuwa christ lini Hebu niambie 🤣🤣
Unajua hata maana ya Christ 🤣🤣🤣
Usifananishe Kutabiriwa na kuwa christ
 
Ni kweli masihi ni cheo na kama kilivyo cheo katika kila fani kuna aliye mkuu katika hiyo fani.
Mfano washiriki katika jeshi wote ni wana jeshi ila mkuu wao ana cheo cha generali.
Kwa upande wa ufalme wa Mungu washiriki wake wote ni masihi japo wanatofautiana katika madaraja ya ngazi kiwajibu.
Manabii wa agano la kale ni masihi na kundi lote la wanafunzi wa Yesu ni masihi ila kuna MASIHI ALIYE MKUU YAANI YESU MWENYEWE.
jaribu kufuatilia andiko hili na Danieli na ujue kuwa linamlenga Yesu.
Danieli 9:25
[25]Basi ujue na kufahamu, ya kuwa tangu kuwekwa amri ya kutengeneza na kuujenga upya Yerusalemu hata zamani zake masihi aliye mkuu; kutakuwa na majuma saba; na katika majuma sitini na mawili utajengwa tena pamoja na njia kuu zake na handaki, naam, katika nyakati za taabu.
Know therefore and understand, that from the going forth of the commandment to restore and to build Jerusalem unto the Messiah the Prince shall be seven weeks, and threescore and two weeks: the street shall be built again, and the wall, even in troublous times.

Ukienda na hii kalenda ya kibiblia ya wakati na nyakati utamkuta huyu masihi aliye mkuu kwa wakati na majira aliyokuja ni Bwana Yesu Kristo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeangea vyema sana ila umekuja kuharibu sehemu moja tu Kusema Wanafunzi wa Yesu ni masihi japo kwa maelezo kuhusu Cheo uko sawa na niseme tu umeongea vyema Sana...
Kwamba Yesu ndo Alifanikiwa kufika Level ya juu sana ya Christ consiousness kuliko wote na Ndo Mkuu kuliko wote kwa level ya masihi lakini...
 
Hapa kuna sega la asali, ngoja nisogeze kiti baada ya kuagiza pop corn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafahamu kile unachowaza kuhusu wanafunzi wa Yesu.
Na mimi sizungumzii dini ya ukristo kwa madhehebu yake la; maana kimsingi hakuna dhehebu hata moja chini ya mbingu lililowahi kuwa la Mungu bali baadhi ya watu kutoka katika hayo madhehebu wamefanyika masihi wa Mungu.
Waliojaaliwa kutoka nje ya matamanio na tamaa za anasa za mwili na mifumo ya akili za binasamu na kuongozwa na roho wa Mungu(ile iliyo kuu na chanzo cha uzima) wote ni masihi wa Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo chanya. Zaidi kupata ufahamu huu pitia The Kybalion: A Study of the Hermetic Philosophy of Ancient Egypt and Greece.
 
Wewe unadanganywa na unaubeba uongo bila kujielewa unakuja kufundisha engine ujinga.

Huyo kajaribu kuielezea falsafa ya "epistemology" lakini kashindwa kuielezea kabisa kwa Kiswahili. imebidi azuge zuge tu.

Kama unaelewa Kingereza nenda kajisomee kwenye "academic papers" ni nini falsafa ya "epistemology" au ukitaka raha zaidi kasome kuhusu "weltanschauung" (hilo ni neno la Kijerumani).

Nayaweka yote hayo kwa sababu kuna vijana watataka waelewe zaidi, nafahamu hayo mambo kwa uelewa wako utajionea majegajega tu, yapo "way above your capacity".

Usiwe unakimbilia kuyaleta mambo usiyoyaelewa JF, ukiulizwa maswali utashindwa kutetea hoja yako utaanza kurusha matusi na kubweka hovyo.
 
Mawazo chanya. Zaidi kupata ufahamu huu pitia The Kybalion: A Study of the Hermetic Philosophy of Ancient Egypt and Greece.
Huyo hapo umemwacha njia panda, anajionea majegajega tu, lakini umefanya la maana tutaipitia wengine.
 
Faizafix jipige kifua chako kisha ujiambie mimi ni mpuuzi na mpumbavu... Kuna kitu kimoja kinanishangaza sana kwanini unahangaika mno na mimi? Shida ninini? Au ni kwavile niliikuumbua uongo wako kwamba haupo Canada bali uko hapo Lumumba umehifadhiwa?

Sitaki kuvunja taratibu za JF hasa kwenye name calling lakini ikinilazimu nitafanya hivyo nguruwe wewe!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…