Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Hapa zipo satellite 2,na tofauti ya longitude degree ni 1 tu, je naweza kupata zote kwa lnb moja? Au nitakuwa sipat signal bora?

naona anazozisema ni Eutelsat 16A @ 16e na Amos 5 @ 17e. Jibu ni ndio unaweza kuzipata kwa kutumia dish moja la cm90 na lnb moja.
 
ndio inawezekana ila quality itakua chini san a suluhisho funga lnb tofauti
 

Inaonesha nawe ni mtaalamu lakini mwenye uchoyo wa technology, kimsingi hutaki watu wajue utaalamu wa madishi kwa sababu unazozijua mwenyewe, Ila umesimama kuwabeza wenzako wanaojaribu kuwajuza watu . japokuwa kweli umesema kuna maeneo hajaelezea vizuri ,nadhani imetokana na wide varieties za tools zinazotumika ,hawezi kujua kila kitu , na nina uhakika hata wewe mwenyewe hujui kila kitu. ARSELONA amejitahidi sana kufafanua ,Lets give credit where credit is due!
 
hapo unapomaanisha ni wapi? Pataje. Na satellite zipi? Zitaje.
Namaanisha Eutelsat 16 na Amos 5. Hizi zipo ktk mwelekeo mmoja na tofaut ya degree ni 1 tu,16 E na 17 E.
 
jamani wandugu,nataka kupata paksat ir @ 38e,je dish saiz gan yatakiwa?je, dish yaelekea karibu na angle ya dstv au?na amos 5 @ 17e nayo dish saiz gan yatakiwa na dish yake kuset ipo karibu na angle gani,kama yawezekana,naomba picha ya setup za dish zote mbili,msaada jamani
 
kwa kweli kuna watu wengi wamefanikiwa kupata zote kwa kutumia ungo wa offset dish 3ft na kuendelea. Mwombe Mavella atakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kaka. Huu jamaa anatakiwa aelewe kuwa mtu hatakiwi kuwa na vitu vingi ndipo amsaidie mwenzake.Nimetoa kidogo nilichonacho kwa mwenzangu, nikipata kikubwa nitatoa zaidi
 
kaka natumia dish la ft 8 nimejarib kutafuta badr 4/5/6 nimekosa je ni2mie lnb gan il nizipate
 
cna uhakika kama ar600 ina key edit. Tembelea hapa kupata keys donglesat.com/biss.htm

bro natumia dish la futi 8 nataka nipate chanel za sattelite ya badri1/2/3/4 ntazipataze na lnb ip inafaa hapo
 
Kwa anayepata Amos 5,je active frequencies kwa sasa ni zipi? Na ni chnls gani/zipi za maana zinapatikana? Hasa kwa wale waliopo Dar. Tafadhali. Na pia ipi bora kwa chnls kati ya Amos 5 na Eutelsat 16A. Kama unashika Eutelsat 16A pia nijuze active frequencies zilizopo kwa sasa. Na offset dish ya zaidi ya cm 90 si ndiyo bora zaidi?
 
Bila shaka maisha yanaendelea ingawa uzi we2 tumeususia kidogo, hii inatokana na kubanwa na shughuli mbalimbali za ujenzi wa taifa. Leo nina ofa ya kuwapa na nataraji mtaipenda. Baada ya wiki mbili kuanzia leo nitakuwa na ricva za strong srt 4922 na astrovox vsr ambazo ntaziuza kwa gharama ya kawaida kabisa. Kwa waishio moro town nitawapa ofa ya kuwafungia madish yao bure kama watapenda ku2mia kwa kuangalia boli. Anayependa kuikaribisha burudan sebulen kwake anaweza kunipm au kupitia 0786617617 kwan ndiko nilikohamia siku hizi.
 

pesa ya kununua kwa sasa sina ila ni vizuri tukaonana mkuu aiwezekani nikae moro na wewe ukae moro alafu atujuani hiyo ngumu. Unapatikana mtaa gani ?au kama ulivyosema mwaka jana mzumbe ?
 
pesa ya kununua kwa sasa sina ila ni vizuri tukaonana mkuu aiwezekani nikae moro na wewe ukae moro alafu atujuani hiyo ngumu. Unapatikana mtaa gani ?au kama ulivyosema mwaka jana mzumbe ?
Ni kweli bro haiingii akilin kabisa. Bado napatikana mzumbe na natamani sana kuonana na wana jf. Nafikiria kuandaa tamasha la sat hunting mjin moro mwezi july kama itawezekana.
 
Ni kweli bro haiingii akilin kabisa. Bado napatikana mzumbe na natamani sana kuonana na wana jf. Nafikiria kuandaa tamasha la sat hunting mjin moro mwezi july kama itawezekana.

hilo wazo zuri nitakusaidia kutafuta wadau kwani kwa hapa moro mafundi karibu wote tuko pamoja
 
Ni kweli bro haiingii akilin kabisa. Bado napatikana mzumbe na natamani sana kuonana na wana jf. Nafikiria kuandaa tamasha la sat hunting mjin moro mwezi july kama itawezekana.

sawa kabisa mimi nitafanya kampeni mkuu kwa mafundi wa hapa mjini wengi nawajua
 

cheki 12216 v 27500
12335 v 27500
unaweza kupata AMOS 5 na 16A kwa dish 1 la cm90 na LNB 1. Kama utakuwa na MPEG 4 utapata chaneli zaidi ya 100.
 
cheki 12216 v 27500
12335 v 27500
unaweza kupata AMOS 5 na 16A kwa dish 1 la cm90 na LNB 1. Kama utakuwa na MPEG 4 utapata chaneli zaidi ya 100.

Mkuu! naomba maelekezo jinsi ya kupata satelite hizo mbili kwa lnb moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…