Huyu jamaa ameanzisha somo ambalo kamwe wanafunzi hawawezi kufaulu mtihani.,kwa vigezo vifuatavyo.
1.Kuna aina nyingi za madish na ufungaji wake,kuna mwanafunzi anaweza kushindwa hata kuunganisha dish tu.
2.Kuna aina nyingi sana za Satellate Receiver na kila receiver ina installation zake,kwamfano:MEDIA COM na aina zake ni tofauti na SAMSUNG,HAWK,STRONG,NOKIA,WIZTECH,AIRSTAR,ARISAT,MEGABOX,EUROBOX,na nyingine nyingi.
3.Kuna aina nyingi sana za LNBF na kila moja ina uelekeo tofauti na mwenzake,unavyofunga GULFSTAR ni tofauti na EUROSTAR,au DIPLOSAT.kwa ujumla kuna aina za lnbf kama 20 hivi.
4.Lazima uwe unafahamu frq na syimborate za kila chanel
Sasa huyu jamaa anaanzisha mjadara ambao hakuna atakae faulu labda kwa ambaye ni fundi hawali.Hebu fikiria yeye mpaka amekuwa fundi wa kuweza kufunga imemchukua mda gani? Hapa mimim ni fundi(installer)mpaka hivi sasa na mafundi wengineo watkubali kuwa mziki wa kufunga dish ulivyo mkubwa mpaka unaomba ushauri.Ushauri wangu afungue chuo kabisa manake ili somo linahitaji na practical sio theory tu. Ndugu utaulizwa maswali hadi utakimbia,labda kama huna shughuli nyingine wewe na JF labda ni mwanahisa.NAWAKILISHA KWA DARASA.