bila shaka unataka biss key edit menu. Jaribu 1510. Aidha rcv yako inaweza kusapoti dongle adaptor
mambo vp kaka arselona, niko dsm natumia strong receiver SRT 4622X II niliinunua 2009, nikaacha kuitumia 2011 sasa nimeiconnect tena na dish dogo kwa satellite eutelsat W4 and NSS 7/ku, baada ya kusearch FTA channels nimepata channel 9 (cctv4,silvb,loveworldplus,cctvd,ebru,k24,cctvn,ortc na dish channel ya dstv) hazina movie,series na music. nitapataje channel za movie,series na music ktk satellite hizo mbili, kama una frequency za ziada naomba ziandike apa nijaribu kusearch. au kama haiwezekani nielekeze satellite zingine na direction zake pamoja na frequency
kwa mwelekeo huu huwezi pata movies na musics. Tafuta rcva ya mpeg4 hd na ubadilishe mweleo. Ukipata rcva nijulishe
mkuu arselona ni kweli ina kadi ya abu dhabi sports japo sitegemei kuwa nailipia mara itakapokata! naomba kujua je nawezaje kupata fta za sports hasa epl na za muvies? na je kutokuwa na uwezo wa ku patch itanifanya nikose channels zipi?
mkuu vipi? Tena mbona kimya sasa wanafunzi tushafika kwa darasan mda mrefu tukikusubiri tuendelee na somo letu.
kwa mwelekeo huu huwezi pata movies na musics. Tafuta rcva ya mpeg4 hd na ubadilishe mweleo. Ukipata rcva nijulishe
kusema tu rcva ya mpeg4 hd haitosha, kama hutojali tutajie brand na model ya rcva yako. Asante.
Asante kaka Arselona ni Arisat Ar600 mpeg4 hd kuna fundi kanifungia na dish la ft3 kwenye Eutelsat W4/7W dish limegeukia magharibu napata chanel za fta 13 tu, itv, tbc, star tv, ebru, setanta, nk ila bado nina dish la ft6 cjalifunga, msaada wako kaka.