Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
haya kwa wale wagonjwa wa kansa ya sat (asas) kama mimi sasa mnaweza pata mpeg4 hd rcva strong srt4950 series. Jionee tofauti.
naomba uniwekee receiver moja nitakuja moro tarehe 8-11-2013, halafu mkuu uwe unapokea simu.
Natanguliza shukrani zangu kwenu kwa mjukum mazuri mnayo yatekeleza.Nikiwa miongoni mwawanafunzi wenu nimefanikiwa kufunga LNB tatu (3) ile ya al jezira inachanel 3 tatu tu nyingine nimefunga juu yake inashika channel nyingi zadin.Msaada naohitaji nikama kuna frequency zakuweka ilikupata channel za Kenya au Uganda naombeni.Natumia media com 930 rcver nawakilisha.
Nishawah tumia gulf box,hiyo rcver itakuwa imekufa polarity peleka kwa fund...kwa gulf jitahd unapounganisha pin kwenye lnb,rcver au swich zima rcver kwanza vinginevyo inaungua tofaut na box nyingine.NB..Am a new member, Nawashukuru member wote kwan kupitia uz huu nimejifunza mengi sana
kaka kwa rcva uliyonayo huwezi pata chnl unazotaka. Unaweza kuzipata ukiwa na rcva ya dvb-s2. Ukipata nijulishe.
kaka kwa rcva uliyonayo huwezi pata chnl unazotaka. Unaweza kuzipata ukiwa na rcva ya dvb-s2. Ukipata nijulishe.
Asante kaka pamoja sana.Ila ninaswari mi hiyo MPG4 siijui hata rangi hasa kuna mfanyabiashara mmoja kasema nimpe150000 aniletee hiyo rcver inawezekana akaipata orijijno kwa bei hiyo?Aksante
Kaka Kikoti unaweza pata mpeg4 kwa bei hiyo ila itakosa vitu vingi vya ziada,hata mm natumia mpeg4 napata channel lakn sio za ziada nataka kufanya utaratibu wakupata rcva kwa Arselona ili ikidhi mahitaji yangu yote ya fta.
Ni kweli bro. Unawezapata
rcva za mpeg4 hata ukiwa na kilo tu. Il swali litabaki pale pale kwamba
je itatimiza haja zako? Kwa m2 mwenze budgeti finyu anaweza nunua g6
lakini kwa m2 mwenye budget ya kutosha nionavyo mimi ni bora ananunue
srt 4920/4922 au srt 4950 series na any adaptor ya azsky(g1, g1+ na g1+
super) kwa sasa unaweza unganisha 3g modem yako kwenye rcva yako na
kustream bila shida.kwa 7bu ìyo unaweza weka pia cccam ac na kupata
paytvs. Jaribu ujionee.

Nimekupata bro ila minahitati ile ambayo nitapata channels za tanzania na kenya zaidi sio za mpira kama wengi wanavyotaka minataka ile ambayo itanipa matokeo mazuri zaidi kwa LNB mbili za C-band na mbili za KU-band