Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

ila zote utakazo leta zina seheme za kuweka smart card kama str 4940 au zipo tofauti mbona nki gugo coni walipoandika smartcard mkuu
ndiyo.zote zina shimo la smartcard. Huoni kwa 7bu smartcard slot imefichwa kama ya g6
 
srt 4920/4922,4940 au srt 4950 series
nataka nijue ipi nikubwa kuliko yote apo mkuu
 
NTV Kenya,QTV,KTN,Family TV1, Family TV2,Kass TV ni FTA katika satellite ya NSS12( 57E) ilipokuwa kbc tp 11025H11429 receiver lazima iwe MPEG4.
 
Mkuu ufafanuzi kidogo hapo kwenye g6 na smart card .Mimi nilijaribu abudhabi sport smart card haikusomwa kabisa je tatizo lilikuwa nn labda?

Kwamimi navyo fahamu kuna kadi zilizo olewa na ambazo Azijaolewa iyo ya abudhabi imeolea n kwaajili ya dkoda yake 2 ya humax co kwingine Aljazeeraspot ndo haijaolewa
 
NTV Kenya,QTV,KTN,Family TV1, Family TV2,Kass TV ni FTA katika satellite ya NSS12( 57E) ilipokuwa kbc tp 11025H11429 receiver lazima iwe MPEG4.

kwa wujibu wa flaysat inaonekana MPEG2
 
sio 15 tu ni zaidi ya 40 kama unatumia dish la cm 90

Katika pitapta zangu hum ndan ya jf nimekutana na we ukielezea juu ya Zuku.Swali langu ni kujua hizo channel ni kwa recver ya Zuku yenyewe au recver tofauti? tupe maujanja hayo mkubwa.
 
NTV Kenya,QTV,KTN,Family TV1, Family TV2,Kass TV ni FTA katika satellite ya NSS12( 57E) ilipokuwa kbc tp 11025H11429 receiver lazima iwe MPEG4.

Pia unaweza ongeza hapohapo 11557 H 3300 kupata K24,nayo ni mpeg4.
 
Katika pitapta zangu hum ndan ya jf nimekutana na we ukielezea juu ya Zuku.Swali langu ni kujua hizo channel ni kwa recver ya Zuku yenyewe au recver tofauti? tupe maujanja hayo mkubwa.

reciva tofauti
 
Wakuu, ni receiver gani nzuri kati ya Strong 4922A, na Astrovox SVR 9000 HP premier.
 
Hello Kyenju
Nafikiri strong srt 4922A ni nzuri zaidi ya vsr 9000hd. Mtaalam Arselona atakuja kufafanua zaidi.
 
Jaman....naomba mtu anayeweza kuset dish na mm nikawa nazipata hizo channels nipi kinondoni b..nina receiver ya MPG4 please naomba
 
Hello Kyenju
Nafikiri strong srt 4922A ni nzuri zaidi ya vsr 9000hd. Mtaalam Arselona atakuja kufafanua zaidi.

strong bwana ni zaidi. Tafuta strong not just by name. Sasa ninazo tena srt4922.
 
Kwaiyo kaka arseloa Kt ya Strong
srt4922A,4950H na 4950 series. Ipi
kubwa kuliko zote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…