Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa wengine inaweza ikawa marudio lkn nimeona ni jema kupitia humu ndani niwaeleze kinachoendelea kutokea kwangu. Kwa kupitia rcva yangu ya srt4922A nimefanikiwa kupata dstv kwa ku2mia cccam ac .kwa kweli server ipo stable sn.unahitaji net ya 3g na modem ya huawei (mi na2mia huawei e303
Ting wishes to annouce that they
have switched their satellite from
Eutelsat to AMOS 5.
For all users of AAL 3 decoders,
please re-tune your decoder and
antennas to the following:
Satellite: Amos 5
Frequency: 12417Mhz
Symbol Rate: 30Msps
Modulation: 8 PSK
FEC : 2/3
Pilots On
Right now only 14 channels are
available, 40 channels will be
available from 2nd November.
2nd November Eutelsat will be
switched off..
Mkuu Atsona salama? Hiyo receiver ya Strong sr 4922a zinauwezo wa kufungua channel zilizofungwa?
ndiyo kama imewekwa account au imeungwa na iks adaptor. Binafsi naitumia kufungua d..v kwa ku2mia cccam. Ukijaribu utagundua kuwa ulifanya makosa kuchelewa kuifahamu strong srt4922. Srt4922 haina antena kwa hiyo inakupunguzia presha ya kui2nza kwa ukiwa mbali na nyumbani hutakuwa na wacwac hata kama una watoto wa2ndu. Hata mtoto wangu wa miaka mi5 anaweza kuoperate, ni kuchomeka modem tu na kuchagua chnls basi. Kama hauna tamaa unaweza kuitumia srt4922 kwa miaka mingi kwani c rahc kupitwa na wakati, ina modulation hadi 32apsk. Ni rcva ambayo ina sw updates nyingi kuliko rcva zote unazofahamu.
Adaptor nayo itakuwa na umuimu au inakazi yake kwenye kupitia strong maana c strong ina cccam

hello wadau
mimi pia nimefanikiwa kuzipata IPTV channels kutokana na kuitumia
receiver ya strong srt 4922 niliyoinunua kutoka kwa mtaalam arselona.
pia naangalia live football kutoka ligi mbalimbali za dunia huko free
kupitia IRIB kwa kutumia srt 4922.
Kwa wengine inaweza ikawa
marudio lkn nimeona ni jema kupitia humu ndani niwaeleze kinachoendelea
kutokea kwangu. Kwa kupitia rcva yangu ya srt4922A nimefanikiwa kupata
dstv kwa ku2mia cccam ac .kwa kweli server ipo stable sn.unahitaji net
ya 3g na modem ya huawei (mi na2mia huawei e303
adapta namaanisha v2 kama g1 g1+ A+ nk. Kwa kawaida rcva za strong zinapotoka kiwandani hazitoki na sw yoyote icpokuwa default sw. Kwa sw zote huwekwa huko nje. Kwa maneno mengine hata cccam haiji kama default. Ila huwezi nunua rcva za strong kama huna ugonjwa wa ASAS(Acute Satellite Addiction Syndrome). Ukiwa na ugonjwa huo huwezi ridhika hata cku moja ukiwa na rcva kama wiz, astrovox g6 na ndugu zake nk. Waulize wagonjwa kama kungu1 Kibukila Mavella lagat mtuko2 @ mirjanji RankSat @rejement jey Monkey023 @ na wengine wengi watakueleza ninachomaanisha
yan apo cjakuelewa kabixa mkuu kwenye ugonjwa
Kaka kwanza tujikinge tusiugue huo ugonjwa.. hope maelezo ya kina ya dalili zake tutaelezwa.