Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Maana yake nini, yaani umebadilisha setting ya dish lako,ama unazipataje hizo?
Hello Mgjd
IPTV channels nazipata bila kutumia dish lolote. kuna software ya strong srt 4922 inasupport kupata channels za iptv kwa kutumia Internet.
 
Itafute madukan huenda unaweza ipata. Lah ni pm ninaweza kukupatia?
Maarko
Mimi binafsi niliitafuta srt 4922 kwenye maduka ya dar nikaikosa. hata wakala wa strong kwa tanzania hana hiyo rcva dukani kwake. Nimefanikiwa kuipata srt 4922 original kutoka kwa mtaalam arselona.
 
Katika tafuta tafuta leo nimekumbana na str strong 4940, ila bei yake kidogo imesimama. Naomba wakuu mnijuze kuhusu utendaji kazi wa hii device.
 
Katika tafuta tafuta leo nimekumbana na str strong 4940, ila bei yake kidogo imesimama. Naomba wakuu mnijuze kuhusu utendaji kazi wa hii device.

bila shaka umeambiwa kati za tsh300000 na 320000. Hiyo ni hususani kwa mytva ingawa unaweza kuitumia kwa fta. Haitii mguu hata kidogo kwa 4922 na ndugu zake. Niamini, utapoteza hela yako kama utaamua kuinunua.
 
Mkuu nasiki siku izi channel za JSC unaweza ku change sauti kutoka kiarab kwenda English Ukiwa na dikoda yenye option ya kuchange sauti ni kweli?kama kweli srt 4922A ina option kama iyo
 
Nimekupata mkuu, kitu kilisimama 295,000.
 
ila mbona hizi risiva srt 4922 tanzania ni bei sana ukilinganisha na kenya, mana kenya ni kama 7000k ambayo ukichenchi kwa hela yetu ni kama150,000 hivi alafu zimekuwa zikipatikana tu kwa wingi ukilinganisha na hapa tz imekuwa ni kama kubaatisha
 
the law of supply and demand theory that determines the price. Unaweza kupata huko dubai kwa 55usd tu. Kazi kwako kuona wapi rahic kwa uzingatia muda na pesa.
 
Mkuu nasiki siku izi channel za JSC unaweza ku change sauti kutoka kiarab kwenda English Ukiwa na dikoda yenye option ya kuchange sauti ni kweli?kama kweli srt 4922A ina option kama iyo

ndiyo inayo hiyo option ila cna aljazeera kwa ss kwani kadi yangu bado iko mfukoni.
 
the law of supply and
demand theory that determines the price. Unaweza kupata huko dubai kwa
55usd tu. Kazi kwako kuona wapi rahic kwa uzingatia muda na
pesa.

Mkuu srt 4922A ni bei gani?
 
Huu uzi kuzidi kuweka matangazo ya biashara umesha haribika. Umepoteza ile tafsiri yake ya fta (yani free to air) na imekua biznegs to air, hebu turudini kwenye uasili wa huu uzi
 
Huu uzi kuzidi kuweka matangazo ya biashara umesha haribika. Umepoteza ile tafsiri yake ya fta (yani free to air) na imekua biznegs to air, hebu turudini kwenye uasili wa huu uzi

Huwezi tenganisha fta na fta gadgets. Hatuwezi zungumzia zungumzia fta wakati wa2 bado hawana vifaa vya kupata hizo fta. Wenye haraka ya kufahamu wamejisajili kwa Flavius kupata elimu hiyo. Aidha kila m2 ana haki sawa ya kukuliza au kutoa chochote anachofahamu kuhusu fta. Haya 2ambie uliuliza nn hukujibiwa au unataka tuongee nn ucchokijua unachotaka ukijue? Uvumilivu unahitajika hata kama unaona wanavyohitaji wengine kwako ni ganda la muwa la jana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Arselona Na hizi QSAT Q11G na 13G unazionaje ubora wake Ukilinga nisha na Strong srt 4922 Kwa huakika wa software zake kupatikana na Kwa u stable wake unapo tumia ipi inafunika apo
 
Mkuu Arselona Na hizi QSAT Q11G na 13G unazionaje ubora wake Ukilinga nisha na Strong srt 4922 Kwa huakika wa software zake kupatikana na Kwa u stable wake unapo tumia ipi inafunika apo

ubora wa rcva unalinganishwa na specs. Str4922 is second to none( g6 na q11g). Kwa sw tangu g6 na qsat zimetengenezwa hakuna update. Mana yake nini. Rcva zilizotengenezwa mwanzo pa1 na mapungufu yao ziko vile vile? Hizo sw za kufungua paytvs haziongezi ubora wa rcva. Nikikonect g6 kwenye strong naona nafaidi zaidi kuliko nikii2mia rcva yenyewe 1 kwa 1. Nikichoka kuangalia picha nackili internet radio mpaka za bongo kama radio maria, radio mbao, zilizopendwa, mtwara fm, radio one na nyingine nyingi kibao. Kwa kweli mwenzenu ukitoa avatarcam g6 naiona rcva ya kawaida tu. Mpaka sasa rcva za kichina zenye updates ni openbox na skybox tu.
 
sasa angalia kuna 7bu gan za msingi za kutengeneza G3. Kama g3 ni vle vle kama router na wifi kwa nn wactengeneze sw tu ambayo ingeweza kusapoti 3g ambayo m2 angeidownload na kui install kwenye rcva tu bure? Haya wanasema kuwa g3 ina account ya kufungua paytvs, wamegundua nn kwenye g1 na ndugu zake ambacho kimewafanya watengeneze g3? Kama kuna kitu wamegundua kama mapungufu kwa nn wasifanye improvement huko au waamue kucmamisha productions? Wapo kibiashara zaidi. Wachina nawafananisha na tabia ya ngedere. Wanaporuka kutoka tawi moja hadi lingine hawalaziki kurudi kwenye tawi la mwanzo.ukiona mchina amerudi ku improve product yake ya nyuma mshukuru.G6 itaendelea kubaki hivyo tangu ilipotengenezwa kwa mara ya kwanza. Hayo ni maoni yangu.
 
Habari. Leo nitakuwa Dar na ntakuwepo kwa cku tatu. Nitafurahi kama ntaonana macho kwa macho na ndugu zangu wa JF hususan wawindaji wa satelaiti.
 
Habari. Leo nitakuwa Dar na ntakuwepo kwa cku tatu. Nitafurahi kama ntaonana macho kwa macho na ndugu zangu wa JF hususan wawindaji wa satelaiti.

Mkuu shida yangu nataka kupata aljazeera HD channels kwenye Nilesat 201 napata tu +6 hadi +10. sijui unaweza kunisaidiaje?
 
Back
Top Bottom