twatwatwa
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 2,066
- 419
Mbona ukiangalia footprint au beam ya azam TV inaonyesha ni KA band mkuu,
kuna makosa yamefanyika au kwa makusudi au bahati mbaya. Cheki hata freqwensi walizoweka kwenye lyngsat.com ni zauhongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ukiangalia footprint au beam ya azam TV inaonyesha ni KA band mkuu,
azam tv inapatikana kwa ku band pale degree 7 ilipokuwa gtv zamani. Ka band ni latest sana.kwa afrika bado sana kwa sasa inafanya kazi usa tena sio kote .ili kupata chanel chanel za ka tembelea lyngsat.com
wapo free kama kawa nimeshawakamata. 17E AMOS 5 freq 12416 H symb 29997Jamani kuna aliyewapata Ting huko walipokimbilia? na kama umewapata wako free kama awali?
wapo free kama kawa nimeshawakamata. 17E AMOS 5 freq 12416 H symb 29997
wapo free kama kawa nimeshawakamata. 17E AMOS 5 freq 12416 H symb 29997
rcv ipi MPEG 4 au zote
Mkuu east au west
kuna makosa yamefanyika au kwa makusudi au bahati mbaya. Cheki hata freqwensi walizoweka kwenye lyngsat.com ni zauhongo
Mkuu inapatikana kama fta au pay tv? Je inapatikana kwa kutumia receiver yao tu,au hata hii strong str 4950 niliyonayo nitapata?
Katika degree 7 hiyo hiyo nimeona kuna FTA za uturuki kuna mtu kazipata?? Mi nimeona Lyngsat tu! ..sija jaribu naomba kujuzwaa juu ya hilo!
rcv ipi MPEG 4 au zote
Mkuu east au west
Natumia Zuku dish na rcver ya eazytech 999 nilikuwa napata chanel zatanzania emmanuel nanyingine jana upepo ulivuma ukakurupusha chanel zandan ya tanznia hakuna hata moja nahitaji ushauri wenu wakubwa kuzpata tena.