Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Mbona ukiangalia footprint au beam ya azam TV inaonyesha ni KA band mkuu,

kuna makosa yamefanyika au kwa makusudi au bahati mbaya. Cheki hata freqwensi walizoweka kwenye lyngsat.com ni zauhongo
 
Jamani kuna aliyewapata Ting huko walipokimbilia? na kama umewapata wako free kama awali?
 
azam tv inapatikana kwa ku band pale degree 7 ilipokuwa gtv zamani. Ka band ni latest sana.kwa afrika bado sana kwa sasa inafanya kazi usa tena sio kote .ili kupata chanel chanel za ka tembelea lyngsat.com

Mkuu inapatikana kama fta au pay tv? Je inapatikana kwa kutumia receiver yao tu,au hata hii strong str 4950 niliyonayo nitapata?
 
Mkuu east au west

Ipo east angalia mwelekeo mpya wa zuku,ila dish linyanyuke kidogo sana kuelekea angani kuanzia pale ilipo zuku.Kama dish lako ni kubwa kidogo (dstv size) unaweza kupata 16E na 17E kwa pamoja,hivo bac utapata channel nyingine kama oromia tv na nyingine toka 17E pia rdv,lcf,stv2,boom tv na nyingine nyiiingi kupitia freq.12562 H 30000 mpeg2
 
Majanga haya nilikuwa natumia dish la Zuku na receiver ya Eazytech 999 upepo umetikisa sasa channel zote zandani zimesepa nimejalibu kuseti tena sijapata naombeni msaada npo Biharamulo
 
Mkuu inapatikana kama fta au pay tv? Je inapatikana kwa kutumia receiver yao tu,au hata hii strong str 4950 niliyonayo nitapata?

kama fta kwa sasa wanafanya test kuna wakati uwezi kuwapata. Wakati wa mechi wanapatikana vizuri jaribu wakati huo. Tumia mp4 hd yoyote utapata mkuu
 
Katika degree 7 hiyo hiyo nimeona kuna FTA za uturuki kuna mtu kazipata?? Mi nimeona Lyngsat tu! ..sija jaribu naomba kujuzwaa juu ya hilo!
 
Katika degree 7 hiyo hiyo nimeona kuna FTA za uturuki kuna mtu kazipata?? Mi nimeona Lyngsat tu! ..sija jaribu naomba kujuzwaa juu ya hilo!

tv za uturuki zipo digree 4.9 kama dish ukitega vizuri utapata degree 4.9 na 7 kwa pamoja. Zipo chanel kibao
 
Natumia Zuku dish na rcver ya eazytech 999 nilikuwa napata chanel zatanzania emmanuel nanyingine jana upepo ulivuma ukakurupusha chanel zandan ya tanznia hakuna hata moja nahitaji ushauri wenu wakubwa kuzpata tena.
 
uzi umeng`araaaa
baada ya hawa walokole kukimbia na furushi lao pale W4 east sasa local ch leo kwny G6 kaaz kwel
 
Natumia Zuku dish na rcver ya eazytech 999 nilikuwa napata chanel zatanzania emmanuel nanyingine jana upepo ulivuma ukakurupusha chanel zandan ya tanznia hakuna hata moja nahitaji ushauri wenu wakubwa kuzpata tena.

Jaribu kufafanua kidogo,ulikuwa unazipata channel za nyuzi ngapi au package ipi?
 
Back
Top Bottom