Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hello MgjdMaana yake nini, yaani umebadilisha setting ya dish lako,ama unazipataje hizo?
MaarkoItafute madukan huenda unaweza ipata. Lah ni pm ninaweza kukupatia?
Maarko
Mimi binafsi niliitafuta srt 4922 kwenye maduka ya dar nikaikosa. hata wakala wa strong kwa tanzania hana hiyo rcva dukani kwake. Nimefanikiwa kuipata srt 4922 original kutoka kwa mtaalam arselona.
Katika tafuta tafuta leo nimekumbana na str strong 4940, ila bei yake kidogo imesimama. Naomba wakuu mnijuze kuhusu utendaji kazi wa hii device.
bila shaka umeambiwa kati za tsh300000 na 320000. Hiyo ni hususani kwa mytva ingawa unaweza kuitumia kwa fta. Haitii mguu hata kidogo kwa 4922 na ndugu zake. Niamini, utapoteza hela yako kama utaamua kuinunua.
the law of supply and demand theory that determines the price. Unaweza kupata huko dubai kwa 55usd tu. Kazi kwako kuona wapi rahic kwa uzingatia muda na pesa.ila mbona hizi risiva srt 4922 tanzania ni bei sana ukilinganisha na kenya, mana kenya ni kama 7000k ambayo ukichenchi kwa hela yetu ni kama150,000 hivi alafu zimekuwa zikipatikana tu kwa wingi ukilinganisha na hapa tz imekuwa ni kama kubaatisha
Mkuu nasiki siku izi channel za JSC unaweza ku change sauti kutoka kiarab kwenda English Ukiwa na dikoda yenye option ya kuchange sauti ni kweli?kama kweli srt 4922A ina option kama iyo
the law of supply and
demand theory that determines the price. Unaweza kupata huko dubai kwa
55usd tu. Kazi kwako kuona wapi rahic kwa uzingatia muda na
pesa.
Mkuu srt 4922A ni bei gani?
Huu uzi kuzidi kuweka matangazo ya biashara umesha haribika. Umepoteza ile tafsiri yake ya fta (yani free to air) na imekua biznegs to air, hebu turudini kwenye uasili wa huu uzi
Mkuu Arselona Na hizi QSAT Q11G na 13G unazionaje ubora wake Ukilinga nisha na Strong srt 4922 Kwa huakika wa software zake kupatikana na Kwa u stable wake unapo tumia ipi inafunika apo
Habari. Leo nitakuwa Dar na ntakuwepo kwa cku tatu. Nitafurahi kama ntaonana macho kwa macho na ndugu zangu wa JF hususan wawindaji wa satelaiti.