Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

hello wadau
mimi pia nimefanikiwa kuzipata IPTV channels kutokana na kuitumia receiver ya strong srt 4922 niliyoinunua kutoka kwa mtaalam arselona. pia naangalia live football kutoka ligi mbalimbali za dunia huko free kupitia IRIB kwa kutumia srt 4922.
 

Vp hyo cccam ac. unayo unauza? navp 2G inakubali kwa hyo receiver!
 
Ting wishes to annouce that they
have switched their satellite from
Eutelsat to AMOS 5.
For all users of AAL 3 decoders,
please re-tune your decoder and
antennas to the following:
Satellite: Amos 5
Frequency: 12417Mhz
Symbol Rate: 30Msps
Modulation: 8 PSK
FEC : 2/3
Pilots On
Right now only 14 channels are
available, 40 channels will be
available from 2nd November.
2nd November Eutelsat will be
switched off..
 

asante kwa taarifa
 
hiv wadau hii satellite ya yahsat inafika hapa tanzania especially dar, mana naona ina channel nzuri
 
Flavius kamata fursa twenzetu! ha! ha! ha!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Atsona salama? Hiyo receiver ya Strong sr 4922a zinauwezo wa kufungua channel zilizofungwa?
 
Mkuu Atsona salama? Hiyo receiver ya Strong sr 4922a zinauwezo wa kufungua channel zilizofungwa?

ndiyo kama imewekwa account au imeungwa na iks adaptor. Binafsi naitumia kufungua d..v kwa ku2mia cccam. Ukijaribu utagundua kuwa ulifanya makosa kuchelewa kuifahamu strong srt4922. Srt4922 haina antena kwa hiyo inakupunguzia presha ya kui2nza kwa ukiwa mbali na nyumbani hutakuwa na wacwac hata kama una watoto wa2ndu. Hata mtoto wangu wa miaka mi5 anaweza kuoperate, ni kuchomeka modem tu na kuchagua chnls basi. Kama hauna tamaa unaweza kuitumia srt4922 kwa miaka mingi kwani c rahc kupitwa na wakati, ina modulation hadi 32apsk. Ni rcva ambayo ina sw updates nyingi kuliko rcva zote unazofahamu.
 

Adaptor nayo itakuwa na umuimu au inakazi yake kwenye kupitia strong maana c strong ina cccam
 
Adaptor nayo itakuwa na umuimu au inakazi yake kwenye kupitia strong maana c strong ina cccam

adapta namaanisha v2 kama g1 g1+ A+ nk. Kwa kawaida rcva za strong zinapotoka kiwandani hazitoki na sw yoyote icpokuwa default sw. Kwa sw zote huwekwa huko nje. Kwa maneno mengine hata cccam haiji kama default. Ila huwezi nunua rcva za strong kama huna ugonjwa wa ASAS(Acute Satellite Addiction Syndrome). Ukiwa na ugonjwa huo huwezi ridhika hata cku moja ukiwa na rcva kama wiz, astrovox g6 na ndugu zake nk. Waulize wagonjwa kama kungu1 Kibukila Mavella lagat mtuko2 @ mirjangi RankSat @regement jey Katkilo freddygas na wengine wengi watakueleza ninachomaanisha
 
Last edited by a moderator:
Adaptor nayo itakuwa na umuimu au inakazi yake kwenye kupitia strong maana c strong ina cccam

adapta namaanisha v2 kama g1 g1+ A+ nk. Kwa kawaida rcva za strong zinapotoka kiwandani hazitoki na sw yoyote icpokuwa default sw. Kwa sw zote huwekwa huko nje. Kwa maneno mengine hata cccam haiji kama default. Ila huwezi nunua rcva za strong kama huna ugonjwa wa ASAS(Acute Satellite Addiction Syndrome). Ukiwa na ugonjwa huo huwezi ridhika hata cku moja ukiwa na rcva kama wiz, astrovox g6 na ndugu zake nk. Waulize wagonjwa kama kungu1 Kibukila Mavella lagat mtuko2 @ mirjanji RankSat @rejement jey Monkey023 @ na wengine wengi watakueleza ninachomaanisha
 
Last edited by a moderator:

hapa sasa hizi local ztakuepo tena?
 

Naitaji hiyo receiver naweza nikaipata wapi?
 

Maana yake nini, yaani umebadilisha setting ya dish lako,ama unazipataje hizo?
 

Vipi srt 4930HD ikiwa updated inaweza kufanya hayo mambo kwa mordem?
 

yan apo cjakuelewa kabixa mkuu kwenye ugonjwa
 
Last edited by a moderator:
Kaka kwanza tujikinge tusiugue huo ugonjwa.. hope maelezo ya kina ya dalili zake tutaelezwa.

mpaka sasa hata ww huu ugonjwa unao. DALILI: Huachi kuachi kupitia Jf kuona Arselona na wengine wanasema nn kuhusu chnls, huachi kufanya blindscand ukitegemea kupata chnl mpya, unafikiria kuuza rcva yako kupata nzuri zaidi, huachi kutembelea kwenye maduka kuulizia madish na rcva, huachi kugeuza geuza mwelekeo wa dish lako, ukiwa sebuleni na wengine wewe unashika remote muda wote, cku ukipata chnls za bure unakuwa wa kwanza kuwaambia na wengine, chnl zikihama sat unakuwa wa kwanza kwenda kwenye mitandao ya kijamii na kulalamika. Kama c ugonjwa ni nn?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…