Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

hivi wadau dish la dstv linalogeukia kaskazini huwa nikatika satellite gani?
Mmmhh!! Navyo fahamu hamna satellite kaskazini maana satellite zipo mstari wa Ikweta Mashariki kwenda Magharibi tu!
 
hivi wadau dish la dstv linalogeukia kaskazini huwa nikatika satellite gani?
Nikweli kwa macho ya kawaida inaelekea kaskazini،lakini ukwelia ni kwamba
ipo digrii 36.0e.
 
nimeweza kupata eut 36,nss12 c and ku,intelsat 902,904,906, intelsat 68.5 c and ku, apstar na thaicom je kwa upande huu wa mashariki imebaki ipi inayoweza kupotikana upande wa mashariki?
 
Wakuu naombeni msaada nafuta Yahsat 1A @52°E...vp ni dish lipi linafaa??
 
nina dish la futi 6 nimefunga lnb ya fuji starex nimeeunga nss 57e kumbe nikishusha kidogo tu napata yahyasat?na zile mbc zote zitaonyesha??
 
bonykaaya. unaweza kuzipata mbc, fanya hilo zoezi la kuisaka yahsat then utujuze wadau
 
Jaman mtaalamu aliyeko online anibip nimpigie yahsat inanizingua tangu asubuhi plz 0754366124
 
Wazee mimi nimeamua kutundika daluga baada ya kuitafuta Yahyasat na Nilesat bila matumaini kwa takriban wiki sasa......
 
Wazee mimi nimeamua kutundika daluga baada ya kuitafuta Yahyasat na Nilesat bila matumaini kwa takriban wiki sasa......

Mbona unakata tamaa kirahisi hivo??? Wiki mbili tu manyanga chini !!! Mwenzio nilispend karibu miezi 3 kuipata nilesat ,sometimes unaweza ukawa unatumia wrong tools ku hunt ...
By the way weka.location yako nijue......
 
Samahani ebu weka basi hata picha ya dish linavyokaa.
 
HAWA WAARABU BWANA WANA CHANNEL NZURI SANA LAKINI WAMEBANA COVERAGE ,,,,,

EBU WATAALAMU ANGALIENI HII LINK AFU MTUPATIE HABARI KAMA TWAWEZA KUZIPATA HIZI CHANNELS Yahsat 1A at 52.5°E - LyngSat
ZINAONEKANA NI NZURI SANA
 
Amos 5 uzi umeng’aaaaaaab.Wakubwa!!!!ni sat gan naweza kuipata NatGeo for free?receiver ni ile ile Astrovox Mpge4
Wadau mbona kimya?

sijui ni astrovox gani ulio nayo ila kama ni strong utaipata east pale kwa local channels ziangalie sky au west ila west unahitaji dish kubwa mtuko2@gmail.com +254721217408
 
Sijakupata unaposema pale unaposema unapopata local! Unaweka ku au, na ni bure au unalipia? nielekeze vizuri ikiwezekana naomba freq na symborate nizitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…