Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

habari mkuu. mimi nipo gado ila shughuli zimenibana kweli.
 
Mkuu Arselona،channel za Aljazeera sport plus one to five zinapatikana vipi? Nitashukuru kwa muongozo wako.
 
Mkuu Arselona،channel za Aljazeera sport plus one to five zinapatikana vipi? Nitashukuru kwa muongozo wako.
Maarko. AJSC +1 to +5 tunazipata dar ktk satellite ya Badr @ 26 E kwa dish la 240cm.
 
mpaka sasa sijasikia wala kuona mtu anayepata AJS HDs channels kwa hapa Dar. kama yupo atujuze.

KUNA M2 ALINIAMBI UKITUMIA CABLE YA HDMI NDANI YA CHANNEL 10 SITA ZITA KUWA HD ALINIAMBIA AKUNA CH ZA JSC ZA IDI YA 10 TU DUNIANI IZO HD ILI UPATE NI MPAKA U2MIE HDMI CABLE ni kweli?
 
Jamani naomba uliza mie nipo huku mkoa wa Katavi,Wilaya Mpanda,niliisha wai angaika sana na Nilesat 102 at 7.0°W. Kwa dish kubwa la futi 10 la bati nikitumia receiver ya mpeg2 strong nikafeli,nikashauriwa labdaa kutumia Humax HD nikajaribu nikafeli sasa nauliza nifanye kipi? Au inatumia KU tofauti na hizi za tulizo zoea? Au kunani? Msaada tafadhali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu arselona nakumbuka usha wai kusema ulikuwa kwenye majalibio kutafuta jsc hd 1 adi 6 ulifikia wap?
 
Naomba mnipatie namba za simu mimi nahitaji kijana aje anifungie hilo dish ft 6 ninalo na receiver na ku/c band.
 
mkuu arselona nakumbuka usha wai kusema ulikuwa kwenye majalibio kutafuta jsc hd 1 adi 6 ulifikia wap?

kwa kweli sina interest na jsc. 7bu hii imenifanya nisijishughulishe nayo.
 
sabab gan mkuu mbona cjaekuelewa apo?

unatakiwa tu unielewe. sioni 7bu ya kutufuta JSC wakati nina d**t premium package. Kutafuta 'jsc ni gharama kwangu ingawa ninamiliki smartcard yao.
 
unatakiwa tu unielewe. sioni 7bu ya kutufuta JSC wakati nina d**t premium package. Kutafuta 'jsc ni gharama kwangu ingawa ninamiliki smartcard yao.

d**v co kwamba wana bei ghari kwa kila mwez mkuu
 
Jamani tangu juzi chanell za ITV,EATV,na CAPITAL zimepotea..ni kwangu tu? natumia dish la futi 6.
 
wana jamvi mnisaidie,Azam tv wanapatikana vipi?
 
Back
Top Bottom