Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

hivi kuna waliowahi kutumia app ya andoid satellite director kuset dish na kufanikiwa?...just curios..
 
Sasa nauza dish langu la 90cm, nataka kubaki na 120cm, kwa anayehitaji nijulishe,bei ndogo tu, Tsh.35000 tu. Nipo Dar maeneo ya Yombo Makangarawe,Wilayani Temeke.
 
mkuu channel za aljazeera sports leo zimekata,unataarifa ni kwa nini?

Ulizuka ugomvi kati ya wezi wa bondeni na matajiri wa catar. Hao wa kwanza waliwashtaki matajiri kwa huruhusu signals zao kuingia ndani ya eneo lao. Kilichofanyika ni kwamba aljazeera wamebadilisha frequency ambayo sasa haifiki tena maeneo makubwa ya sub-sahara .
 
inamaana una2 2mia d..v ya modem?

hapana. kwa sasa minamiliki decoder yao. ila nikiwa maeneo ya 3G huwa nawapata kwa kutumia rcva yangu iliyounganishwa na modem.(Huawei E303)
 
Ulizuka ugomvi kati ya wezi wa bondeni na matajiri wa catar. Hao wa kwanza waliwashtaki matajiri kwa huruhusu signals zao kuingia ndani ya eneo lao. Kilichofanyika ni kwamba aljazeera wamebadilisha frequency ambayo sasa haifiki tena maeneo makubwa ya sub-sahara .
Nafikiri waliopiga pressure kubwa jsc kubadili frequency sio hawa wezi wa bondeni, bali ni premier league wenyewe wa uk. jsc card na signal zilikuwa inafika uk, kwa hiyo watu wa uk wakawa wanatumia jsc kuona mechi zote za epl pamoja na zile za jumamosi muda wa 3.00pm uk time ambazo kule huwa haziruhusiwi kuoneshwa. jsc walipewa sharti la kurekebisha mambo yao ili channels zao zisifile uk na ndo maana hivi karibuni jsc walikuwa wanaonesha mechi moja tu ya epl muda ule wa 3.00 pm uk time siku ya jmosi. nataka kuamini kuwa if wataalamu wetu wa satellite wakifanya utafiti tunaweza kuzipata tena ajsc.
 
hiyo ndio haiwezekan coz jamaa washachenji frequency zao ambazo nw signal zao hazifiki huku kwetu
 
kwa sasa suluhisho ambalo naona lina tija kwa wapenzi wa boli ni kupata package ya irib. ukweli hawa jamaa wamepita matarajio ya wengi kwani huwezi kosa mezi za muhimu zinazochezwa uropa.
 
Kwaiyo jsc Ndo kwaheri kabisa? Na irib pack zinakuwaga ch ngap za mpira?
 
kuna chnl 2 irib tv3 na irib varzesh. Hizo chnl ni balaa. JSC kwa sasa is gone kwa nilesa201 ingawa kwenye badr6 bado inapatikana.
 
kuna mkoa nimeona watu wanaangalia epl kwa kutumia canal spot je hii inapatikana vipi? Ni ya kulipia?
 
Guys help ME!Mimi nina SAMSUNG SERIES 4 LED DIGITAL TV inashika CHANNEL 16 bila kutumia KING'AMUZI wala DECODER.Nisaidieni nipate hayo Madishi na Decoder ili na Mimi niwe naangalia CHANNEL ZA MIPIRA! Nipo Dom!
 
tv yako imetengenezwa tayari na decoder ndani yake.( inbuilt decoder)
 
Thanks Mkuu ila unaweza kunipa maujanja ili niweze kuangalia TV nyingi zaidi coz niki SEARCH zina kuja CHANNEL kama 130 ila zinazo funguka ni 16 zingine inakuwa SCRAMBLED or WEAK SIGNAL
 
kuna chnl 2 irib tv3 na irib varzesh. Hizo chnl ni balaa. JSC kwa sasa is gone kwa nilesa201 ingawa kwenye badr6 bado inapatikana.

Hivi hiyo badr6 huku kanda ya kati Dodoma inashika? jsc walikua ni wazuri sana.
 
Hizo za Irib zinapatikana kwa kutumia decoder aina gani? Na miye nipo dodoma ntazipata bila shida?

si dodoma tu, ni africa nzima.ila unahitaji rcva yenye uwezo wa uandika funguo. Ukihitaji srt 4922 naweza kukupatia. wasiliana nami kupata bei yako.
 
Back
Top Bottom