sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,291
hivi kuna waliowahi kutumia app ya andoid satellite director kuset dish na kufanikiwa?...just curios..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani tangu juzi chanell za ITV,EATV,na CAPITAL zimepotea..ni kwangu tu? natumia dish la futi 6.
ni kweli ila ukitaka kupunguza usumbufu lazima ukubali gharama. BURE GHALI.
mkuu channel za aljazeera sports leo zimekata,unataarifa ni kwa nini?
Nafikiri waliopiga pressure kubwa jsc kubadili frequency sio hawa wezi wa bondeni, bali ni premier league wenyewe wa uk. jsc card na signal zilikuwa inafika uk, kwa hiyo watu wa uk wakawa wanatumia jsc kuona mechi zote za epl pamoja na zile za jumamosi muda wa 3.00pm uk time ambazo kule huwa haziruhusiwi kuoneshwa. jsc walipewa sharti la kurekebisha mambo yao ili channels zao zisifile uk na ndo maana hivi karibuni jsc walikuwa wanaonesha mechi moja tu ya epl muda ule wa 3.00 pm uk time siku ya jmosi. nataka kuamini kuwa if wataalamu wetu wa satellite wakifanya utafiti tunaweza kuzipata tena ajsc.Ulizuka ugomvi kati ya wezi wa bondeni na matajiri wa catar. Hao wa kwanza waliwashtaki matajiri kwa huruhusu signals zao kuingia ndani ya eneo lao. Kilichofanyika ni kwamba aljazeera wamebadilisha frequency ambayo sasa haifiki tena maeneo makubwa ya sub-sahara .
Nafikiri waliopiga pressure kubwa jsc kubadili frequency sio hawa wezi wa bondeni, bali ni premier league wenyewe wa uk. jsc card na signal zilikuwa inafika uk, kwa hiyo watu wa uk wakawa wanatumia jsc kuona mechi zote za epl pamoja na zile za jumamosi muda wa 3.00pm uk time ambazo kule huwa haziruhusiwi kuoneshwa. jsc walipewa sharti la kurekebisha mambo yao ili channels zao zisifile uk na ndo maana hivi karibuni jsc walikuwa wanaonesha mechi moja tu ya epl muda ule wa 3.00 pm uk time siku ya jmosi. nataka kuamini kuwa if wataalamu wetu wa satellite wakifanya utafiti tunaweza kuzipata tena ajsc.
kwa sasa suluhisho ambalo naona lina tija kwa wapenzi wa boli ni kupata package ya irib. ukweli hawa jamaa wamepita matarajio ya wengi kwani huwezi kosa mezi za muhimu zinazochezwa uropa.
kuna mkoa nimeona watu wanaangalia epl kwa kutumia canal spot je hii inapatikana vipi? Ni ya kulipia?
Guys help ME!Mimi nina SAMSUNG SERIES 4 LED DIGITAL TV inashika CHANNEL 16 bila kutumia KING'AMUZI wala DECODER.Nisaidieni nipate hayo Madishi na Decoder ili na Mimi niwe naangalia CHANNEL ZA MIPIRA! Nipo Dom!
Thanks Mkuu ila unaweza kunipa maujanja ili niweze kuangalia TV nyingi zaidi coz niki SEARCH zina kuja CHANNEL kama 130 ila zinazo funguka ni 16 zingine inakuwa SCRAMBLED or WEAK SIGNALtv yako imetengenezwa tayari na decoder ndani yake.( inbuilt decoder)
tv yako imetengenezwa tayari na decoder ndani yake.( inbuilt decoder)
kuna chnl 2 irib tv3 na irib varzesh. Hizo chnl ni balaa. JSC kwa sasa is gone kwa nilesa201 ingawa kwenye badr6 bado inapatikana.
Hizo za Irib zinapatikana kwa kutumia decoder aina gani? Na miye nipo dodoma ntazipata bila shida?