Maarko. AJSC +1 to +5 tunazipata dar ktk satellite ya Badr @ 26 E kwa dish la 240cm.Mkuu Arselona،channel za Aljazeera sport plus one to five zinapatikana vipi? Nitashukuru kwa muongozo wako.
Maarko. AJSC +1 to +5 tunazipata dar ktk satellite ya Badr @ 26 E kwa dish la 240cm.
mpaka sasa sijasikia wala kuona mtu anayepata AJS HDs channels kwa hapa Dar. kama yupo atujuze.ukitaka zote 1 adi 10 + za hd 1 adi 6 unatakiwa uwe na dish la ukubwa gan?
Maarko. AJSC +1 to +5 tunazipata dar ktk satellite ya Badr @ 26 E kwa dish la 240cm.
mpaka sasa sijasikia wala kuona mtu anayepata AJS HDs channels kwa hapa Dar. kama yupo atujuze.
kwa kweli sina interest na jsc. 7bu hii imenifanya nisijishughulishe nayo.
unatakiwa tu unielewe. sioni 7bu ya kutufuta JSC wakati nina d**t premium package. Kutafuta 'jsc ni gharama kwangu ingawa ninamiliki smartcard yao.
Hata kwangu pia hizo channels zimepoteaJamani tangu juzi chanell za ITV,EATV,na CAPITAL zimepotea..ni kwangu tu? natumia dish la futi 6.
ni kweli ila ukitaka kupunguza usumbufu lazima ukubali gharama. BURE GHALI.