Ulimwengu wa FTA Satellite TVs


Mbona umerudi gear Arselona nini kimekuku mkuu uko wapi.
 
Last edited by a moderator:
njuwa pole sana maana unapata local 2 tu.karibia mwezi mmoja tunainjoi na package yenye chanel zote za continental kupitia amos5 mkuu.hizi hapa freq zake 10972 v 29999 ma nyingine zaidi zikiwemo ting na nyinginezo fuatilia link hii Amos 5 at 17.0°E - LyngSat
 

Hivi zaidi ya eutulsat7@7e na Amos 5@17e nisatellite gani nyingine naweza kupata kwenye dishi la ft6 ? Msaada wenu wanajamii.
 
Msimu uliopita tulikuwa tunapata epl game 2@wiki kwa chanel ya rdv fta. Je msimu huu wapo hewan tena kutupa game 2 kla wikiend? Pia kwa utafti wang mdogo nmeona ligi la liga haipo fta hata mechi 1 kwa wiki.je ni kwel hakna chanel ya fta inayorusha game hata 1? Wakuu msaada katka haya tafadhar.asanten.
 
Mkuu mimi nina dish na receiver ya zuku,nina anzia wapi ili niweze kupata channel zote za DSTV?Nijulishe kwa kina na lugha nyepesi mkuu.
 
Kama kuna aliefanikiwa fut6 sat eutelsat7e,amos5@17e, na Zingine au zaidi ya LNB 1(ku na cband) atufanyie atachememt za dish likiwa na mzigo ili wafuasi wa fta tuhangaikie tukiwa na picha kichwani ndanda masasi.
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna aliefanikiwa fut6 kupata sat eutelsat7e,amos5@17e, na Zingine au zaidi ya LNB 1(ku au cband) atufanyie atachememt za dish likiwa na mzigo ili wafuasi wa fta tuhangaikie tukiwa na picha kichwani. ndanda masasi.
 
Last edited by a moderator:
Aksante nitajaribu baadae kaka.

Nimeipata arabsat ndo kuna irib tvs ila sijafanikiwa kupata za KU band ipi yenye channel nzuri na frequency zake kaka. Nilipata Ku band Mona ina pay TVs FTA ilikuwa Chanel za CCTV pekee. Sasa kutoka pale naelekea pande gani?
 
Nimeipata arabsat ndo kuna irib tvs ila sijafanikiwa kupata za KU band ipi yenye channel nzuri na frequency zake kaka. Nilipata Ku band Mona ina pay TVs FTA ilikuwa Chanel za CCTV pekee. Sasa kutoka pale naelekea pande gani?

Charles
Hbr
Kata holder cband nyuma ya dish weka KU hapo ipo Amos@17e na 16e tp 10972/29999v na 10804/30000h ukimaliza taongelea kupata engo ya Azam7e
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…