Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

wakuu mi nimgeni kwenye mambo aya ilanaumia decoda ya eurostar es 9200 gold+ na inakamata satellite mbili tu zenye channels ambazo ni PAS 7/10 C ya local channls na Pansat7_10Ku apo ni za dini.ila inaonyesha satellite kama badr4,amos1,eutelsat36B.satw3,satw1 na nyingine sema aioneshi tp frequency wala symbol rate yani 0000.sasa apo naweza fanyaje na izo freq nizipate nipo dar naombeni msaada wenu wakuu
 
huyo mayu angekuwa mstaarabu asingepost ujinga wa matusi me mwenyewe mtoto wa uswazi matusi nayajua vilevile so kikubwa kuheshimiana hapa tupo kuelimishana siyo matusi ila kwakuwa yeye ndo kaanza ile kauli mbiu ya akuanzae mmalize ndo nimetumia hapa. sooo naenda brazili huyu MAYU na matusi yake namuacha hapa aendelee kutukana. thats hip hop ni kumchana live bila uwoga ndo falsafa yangu. im done its dax mpalestina.
We ------ mimi na wewe nani kaanza kumtukana mwenzake
Kama unaparamiwa mi sio basha katafute wangese wenzako huko uswazi wakukune
nilim quote mleta mada ukarukia treni kwa mbele na kauli zako za kishoga
Bwabwa utalijua tu
 
Kulikuwapo na sababu ya wewe kuandika matusi haya?
Hii ni kauli ya kiungwana hata kama hatukubaliani mawazo?
mayu tumia akili acha utoto bila risiva huwez pata fta chanel hii ni biashara hata ww ruksa kutangaza bidhaa hapa au una hisa sehem fulani au g6 ni kikwazo katika shughuli zako fikiri kabla hujacomment nyama we!!!!!!
 
wakuu mi nimgeni kwenye mambo aya ilanaumia decoda ya eurostar es 9200 gold+ na inakamata satellite mbili tu zenye channels ambazo ni PAS 7/10 C ya local channls na Pansat7_10Ku apo ni za dini.ila inaonyesha satellite kama badr4,amos1,eutelsat36B.satw3,satw1 na nyingine sema aioneshi tp frequency wala symbol rate yani 0000.sasa apo naweza fanyaje na izo freq nizipate nipo dar naombeni msaada wenu wakuu

ukipitia kurasa zote utapata hayo na mengine ucyoyajua bado
 
Hii ni kauli ya kiungwana hata kama hatukubaliani mawazo?

Ndiyo maana nikawambia kuwa tuache matusi, tufanye mijadala ya kistarabu. Mwenzako tayari amesema ameacha matusi, maana hii topic ikijaa matusi itapoteza maana ukizingati hili jukwaa siyo rafiki na matusi.
 
Safi ushari mzuri kila MTU ana Uhuru wamawazo yake nkuvumiliana na kumshauri kistarabu ili tusonge mbele.
 
ukipitia kurasa zote utapata hayo na mengine ucyoyajua bado

mkuu nimepitia baadhi ya kurasa zilizopita ila cjaona walipo zielezea izo freq za pas 7/10c na pansat7_10ku sasa unaweza kunisaidia kujua izo ndo channls za ku-band na c-band naomba unieleze kidogo ili nipate fahamu nielewe zaidi kwa ninavyo soma zaidi
 
wanajamvi...kwa ajili ya world cup,nataka ninunue dish na receiver,kwani kwa sasa natumia Startimes na nilipo ni bondeni basi ni shida.
Nishaurini size ya dish pamoja na receiver, pia azam tv wana channel itakayoonesha world cup? Dstv siitaki coz it's very costful ktk packages zao.
 
Ndugu uko mitaa gani? Natamani sana kujua pa kuzipata hizo software
 
wanajamvi...kwa ajili ya world cup,nataka ninunue dish na receiver,kwani kwa sasa natumia Startimes na nilipo ni bondeni basi ni shida.
Nishaurini size ya dish pamoja na receiver, pia azam tv wana channel itakayoonesha world cup? Dstv siitaki coz it's very costful ktk packages zao.

TBC1 inaonyesha kwenye Azam TBC imo ndio
 
Huko bondeni uliko wanzako wanatumia vsambusi ngani jarbu kuangalia wanzio ukonao karbu .Ushauri tumia Azam mpira ambao hautarushwa tbc1 wao watarusha kwa channel zngine kwa mujbu walivyonielekeza huduma kwa wateja azamtv
 
Yes nimetonywa hivyo pia.....mechi ambazo hazitaoneshwa na TBC1 Azam tv wamepanga kuonesha kupitia Channel zingine.
 
Back
Top Bottom