Mavella
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 459
- 76
Now TBC2 AVAILABLE ON SES 5 ON FREQUENCY 11784V25700.
scramble
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now TBC2 AVAILABLE ON SES 5 ON FREQUENCY 11784V25700.
Naomba
pics za lnb
arrangement unavyopata yahsat wakati intelsat 906 ikiwa primary.Nataka
kujaribu Yahsat Kigoma kwa kutumia ft8 bila kubadilisha uelekea wa
zilipo za local.LNB ya stargold tayari nimepata Mwanza.
Zile LNB kali za Stargold Fuji zinapatikana Mwanza bei ni kama ifuatavyo;
Single elfu 35,double elfu 40 na Quad (Njia nne) ni elfu 65 pia zinapatikana zile za Inverto Flange.
[h=1][/h]
Zile LNB kali za Stargold Fuji zinapatikana Mwanza bei ni kama ifuatavyo;
Single elfu 35,double elfu 40 na Quad (Njia nne) ni elfu 65 pia zinapatikana zile za Inverto Flange.
[h=1][/h]
Je receiver za STR mfano str 4922 zinapatikana?. Nakama zinapatikana ni sh ngapi?
Star Tv is back with a very promising powerful signal. 60%
It is strong enough kwangu signal ni 63 ila TBC sasa na channel TEN majanga tupu.
naomba frequency za star tv.
Mkuu naomba unielekeze lilipo duka nikajichukulie moja kesho
Habari JF. Shughuli za kila siku zimenifanya nipotee humo ndani kwani mrefu kidogo. Kupotea kwangu kumenifanya nijirundikie pms nyingi sana. Nyingi ya hizo jumbe zinahusu receivers. Kuhusu rcvas napenda kuwajulisha kuwa AZSKY G6 @TSH200,000 XMAN G8 @TSH220,000 NA STRONG SRT 250,000.
TBC1 is back enjoy bunge time.
Ndg zangu wana FTA satellite mm nipo Kondoa nina dish la futi 6 na lnb moja locol chanel napata Tbc 1, Itv, Chnl 10, eatv, capital, Tim, Tvm2 tu. Je, nawezaje pata star tv citizen ntv ubc n.k? ahsante sana kama mtanisaidia
Unaweza kupata Star tv na CITZEN tu ndizo zilizo rudi kwasasa.