mjusi kafiri
Member
- Oct 8, 2010
- 67
- 52
Habari wana JF,
Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya Sat tvs na jinsi wtu wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze kuwafahamisheni kidogo ninachoelewa kuhusu masuala ya sat tv.
Kwa uzi huu utajishughulisha zaidi na sattelites gani zinapatikana maeneo yetu, jinsi ya kuweka sat dishes na sizes zake.
mkuu naomba msaada wako nataka nione kombe la dunia nina dish la ft 8 na rcv DREAM BOX 800 niko dsm