Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Kwangu naona inakuwa ngumu kupata kwani wewe uko mkoa gani.?astra

Nipo biharamulo kagera

Beam ya Astra 2F inapatikana Tanzania Maghabiri, kwa maana ya mikoa ya Mbeya, Rukwa, Tabora, Kigoma, Kagera nadhani na sehemu kidogo za Shinyanga na Mwanza. Sie wa Dar ni shida sana. Mie nilijaribu kwa dish la futi 8 niliikosa kabisa.
 
Haiwezekani kufanya fringe reception? Niko dar na napata nilesat 201, ambayo footprints zake zinaishia southern sudan....
 
Mimi natumia ku cm 165 ambayo kiufanisi ni zaidi ya cband ya futi sita. Nataka kujaribu leo.

Jaribu kk na km umeamua kutumia ku dish basi kwa urahisi anza kutrack hii Astra2f@28°E ni karibu na pale kwa Amos5 ili upate mult tv alimaarufu km Joy sport na tv3 ukisha ipata pitia hapo kuipata irib maana zimekaribiana sana
 
Inakuaje kak unaedit vip?

kaka ktk wiztech 999 unaweza kuenable bisskey kwa kubonyeza 999 ktk remorte yako.kisha ukienda kwenye menu upande wa chanel manager utakuta bisskey kama inavyoonyesha ktk picha hapo chini
 
Attachments

  • 1408081732197.jpg
    60.3 KB · Views: 128
  • 1408081762394.jpg
    47.5 KB · Views: 114
  • 1408081791239.jpg
    61.5 KB · Views: 112
kaka ktk wiztech 999 unaweza kuenable bisskey kwa kubonyeza 999 ktk remorte yako.kisha ukienda kwenye menu upande wa chanel manager utakuta bisskey kama inavyoonyesha ktk picha hapo chini

Yaani unamaanisha nikiwasha chanel inaonyesha ndo nabonyeza 999 au naipeleka kwenye chanel manager kwanza ndo nabonyeza 999?
 
Yaani unamaanisha nikiwasha chanel inaonyesha ndo nabonyeza 999 au naipeleka kwenye chanel manager kwanza ndo nabonyeza 999?

Bonyeza kwanza hiyo namba ukiwa umeweka channel unayotaka kuifungua then utapata menu ya biss key then bonyeza option ya add key nafiri hivo maana sina hiyo decoda ila kwa uzoefu tu
 
Satellite nyingine ni km SES5 nayo iko pale pa Amos5
NO. Hapo bold maelezo sio sahihi. Amos 5 iko 17[SUP]0 [/SUP]E na SES 5 iko 5[SUP]0[/SUP] E (ndipo walipo Zuku na Startimes). Kwa hiyo hizo satellite ziko sehemu mbili tofauti kabisa na madish yana uelekeo tofauti kabisa.

Haiwezekani kufanya fringe reception? Niko dar na napata nilesat 201, ambayo footprints zake zinaishia southern sudan....
Nadhani inawezekana kabisa. Nitajaribu kusoma maelezo mbalimbali ya wataalamu wengine, kwa sababu nilijitahidi kama siku tatu tofauti kutafuta Astra kwa dish la futi 8 bila mafanikio kwa Dar.
 
Km upo dar yupo mtahalam ukimuhitaji nakupatia no yake
 
NO. Hapo bold maelezo sio sahihi. Amos 5 iko 17[SUP]0 [/SUP]E na SES 5 iko 5[SUP]0[/SUP] E (ndipo walipo Zuku na Startimes). Kwa hiyo hizo satellite ziko sehemu mbili tofauti kabisa na madish yana uelekeo tofauti kabisa.

Mkuu ziko pamoja hizo satelite moja juu moja chini, wakati mwingine uelekeo hutofautiana na hali halisi, mfano tu eutelsat 36e iko uelekeo tofauti kabisa na 7e , japo zote ni "east"
 
l.

Thanx mkuu!!!
Nataka mtu wa kuthibitisha tu, kama yuko Dar ,na kaipata hiyo sat, the rest nitafanya mwenyewe

Dar wapo waliokwisha pata kabisa ngoja nikutumie picha ingine
 
Attachments

  • 1408092101284.jpg
    55.3 KB · Views: 216
  • 1408092190641.jpg
    48.5 KB · Views: 137
Mkuu ziko pamoja hizo satelite moja juu moja chini, wakati mwingine uelekeo hutofautiana na hali halisi, mfano tu eutelsat 36e iko uelekeo tofauti kabisa na 7e , japo zote ni "east"

Ndugu t blj,
Nimekuelewa. Kama umesoma maelezo yangu vizuri, angalia tarakimu zilizo katika maandishi yangu. Sijasema moja iko EAST na nyingine WEST. Zote ziko EAST, hata Eutelsat 7b (7[SUP]0 [/SUP]E) waliko Azam iko EAST. Ishu ni hizo degree (YYY[SUP]0[/SUP]). Hapo ulipoandika 'moja juu' na 'moja chini' ndio utofauti wenyewe wa degree hizo. Tuko pamoja.
 
Last edited by a moderator:

Pamoja!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…