dkashombo2013
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 539
- 119
Unatumia dish la ukubwa gani kuipata astrac28e ?, nimeangalia channel line up lyngsat, naona kama zinanivutia , nipo Dar..
Mi nipo Kagera natumia dish ft6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia dish la ukubwa gani kuipata astrac28e ?, nimeangalia channel line up lyngsat, naona kama zinanivutia , nipo Dar..
Kwangu naona inakuwa ngumu kupata kwani wewe uko mkoa gani.?astra
Nipo biharamulo kagera
Hivi tofauti na amos5 at 17, ni sat ipi ingine naweza pata fta(local) za hapa bongo kupitia dish dogo??
Beam ya Astra 2F inapatikana Tanzania Maghabiri, kwa maana ya mikoa ya Mbeya, Rukwa, Tabora, Kigoma, Kagera nadhani na sehemu kidogo za Shinyanga na Mwanza. Sie wa Dar ni shida sana. Mie nilijaribu kwa dish la futi 8 niliikosa kabisa.
Mimi natumia ku cm 165 ambayo kiufanisi ni zaidi ya cband ya futi sita. Nataka kujaribu leo.Mi nipo Kagera natumia dish ft6
Mimi natumia ku cm 165 ambayo kiufanisi ni zaidi ya cband ya futi sita. Nataka kujaribu leo.
Inakuaje kak unaedit vip?
kaka ktk wiztech 999 unaweza kuenable bisskey kwa kubonyeza 999 ktk remorte yako.kisha ukienda kwenye menu upande wa chanel manager utakuta bisskey kama inavyoonyesha ktk picha hapo chini
Yaani unamaanisha nikiwasha chanel inaonyesha ndo nabonyeza 999 au naipeleka kwenye chanel manager kwanza ndo nabonyeza 999?
Yaani unamaanisha nikiwasha chanel inaonyesha ndo nabonyeza 999 au naipeleka kwenye chanel manager kwanza ndo nabonyeza 999?
Ikigoma kufungua pale video PID weka 0000
NO. Hapo bold maelezo sio sahihi. Amos 5 iko 17[SUP]0 [/SUP]E na SES 5 iko 5[SUP]0[/SUP] E (ndipo walipo Zuku na Startimes). Kwa hiyo hizo satellite ziko sehemu mbili tofauti kabisa na madish yana uelekeo tofauti kabisa.Satellite nyingine ni km SES5 nayo iko pale pa Amos5
Nadhani inawezekana kabisa. Nitajaribu kusoma maelezo mbalimbali ya wataalamu wengine, kwa sababu nilijitahidi kama siku tatu tofauti kutafuta Astra kwa dish la futi 8 bila mafanikio kwa Dar.Haiwezekani kufanya fringe reception? Niko dar na napata nilesat 201, ambayo footprints zake zinaishia southern sudan....
NO. Hapo bold maelezo sio sahihi. Amos 5 iko 17[SUP]0 [/SUP]E na SES 5 iko 5[SUP]0[/SUP] E (ndipo walipo Zuku na Startimes). Kwa hiyo hizo satellite ziko sehemu mbili tofauti kabisa na madish yana uelekeo tofauti kabisa.
Nadhani inawezekana kabisa. Nitajaribu kusoma maelezo mbalimbali ya wataalamu wengine, kwa sababu nilijitahidi kama siku tatu tofauti kutafuta Astra kwa dish la futi 8 bila mafanikio kwa Dar.
NO. Hapo bold maelezo sio sahihi. Amos 5 iko 17[SUP]0 [/SUP]E na SES 5 iko 5[SUP]0[/SUP] E (ndipo walipo Zuku na Startimes). Kwa hiyo hizo satellite ziko sehemu mbili tofauti kabisa na madish yana uelekeo tofauti kabisa.
l.Km upo dar yupo mtahalam ukimuhitaji nakupatia no yake
Nashukuru kwamsaada wenu wadau labda hii recver yangu nitofauti. Nikibonyeza hiyo 999 inaandika chanel uliyochagua haipo.
l.
Thanx mkuu!!!
Nataka mtu wa kuthibitisha tu, kama yuko Dar ,na kaipata hiyo sat, the rest nitafanya mwenyewe
Mkuu ziko pamoja hizo satelite moja juu moja chini, wakati mwingine uelekeo hutofautiana na hali halisi, mfano tu eutelsat 36e iko uelekeo tofauti kabisa na 7e , japo zote ni "east"
Ndugu t blj,
Nimekuelewa. Kama umesoma maelezo yangu vizuri, angalia tarakimu zilizo katika maandishi yangu. Sijasema moja iko EAST na nyingine WEST. Zote ziko EAST, hata Eutelsat 7b (7[SUP]0 [/SUP]E) waliko Azam iko EAST. Ishu ni hizo degree (YYY[SUP]0[/SUP]). Hapo ulipoandika 'moja juu' na 'moja chini' ndio utofauti wenyewe wa degree hizo. Tuko pamoja.
Dar wapo waliokwisha pata kabisa ngoja nikutumie picha ingine