Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Wadau tuna group la whatsapp la elimu ya Free to air anayependa kujiunga anaweza kuni pm nikamuunganisha..

ahsante!!
 
Wadau tuna group la whatsapp la elimu ya Free to
air anayependa kujiunga anaweza kuni pm
nikamuunganisha..
ahsante!!
 
Wadau asanteni kwa shule nzuri hii, ninapata huduma ya azam TV kwa maana ya dish na kin'gamuzi, sasa nataka kupata na channel za soka hasa EPL je naweza kuzipata bila kupoteza za local, msaada tafadhali.

Ongeza dish.ila kubahatisha no uhakika
 

Ni kweli mkuu wengi wanataka wapate channel nyingi bila kuangalia zina ubora gani.Ulishawahi kutuambia hapa channel ya miereka (WRESTLING)inapatikana kwenye 16e je bado inapatikana hadi leo?na naweza pata wapi channel inayoonyesha miereka tu mwanzo mwisho? ntafurahia ukinijulisha mkuu.
 

Ni kweli unachosema wengi hawaelewi watega dish kwa mazoea tu.mgawanyo wa mashariki na magharibi unafanyikia katika mstari wa greenwich sasa mtu akijua mstari huo umepita wapi haitampa shida kujua kutega.mara nyingi mm hua naitaji kujua digrii iliopo satellite basi.
 
Ndugu nashukuru sana kwa elimu mnayotoa, mimi niko Musoma na natumia dish na king'amuzi cha azam. Uwezo wa kulipa kila mwezi haupo maana Azam hamna channel za bure usipolipa tu hata zile wanaita za bure wanafungia! Naomba kueleweshwa kama naweza tumia king'amuzi hiki nje ya mtandao wa azam na nikapata channel za bure
 

fuatilia post za juu utapata majibu
 

hapo factory default hiyo receiver yako ya azam kisha add sat ingine ipe nyuzi 17 east kisha hama uelekeo wa dish na tafuta signal kwa tp 11138v 30000 hapo zote za continental utazipata bureeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…