Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

  • Namwomba Mwenye ujuzi na Astra 2F Atusaidie ujuzi wa kuinasa!!!ikiwezekana atupie picha ya dish linaloitajika na mwelekeo wake na size ya dish,Natokea Arusha Mjini

Beam yake inaishia baadhi ya maeneo ya mkoa wa Singida.Kuipata Arusha jaribu ungo wa ft6 na lnb yenye nguvu kama stargold fuji.
 
  • Namwomba Mwenye ujuzi na Astra 2F Atusaidie ujuzi wa kuinasa!!!ikiwezekana atupie picha ya dish linaloitajika na mwelekeo wake na size ya dish,Natokea Arusha Mjini

mkuu nicheki whatsapp nikutumie picha ya dish la ft 6nililofunga astra
 
Baaado nasubiria Msaaada wenu wadau kuhusu Astra 2f nimeshapata maekekezi japo haijajitoshekeza hivyo haikuwa msaada kuweza kuipata hii sat!
 
Baaado nasubiria Msaaada wenu wadau kuhusu Astra 2f nimeshapata maekekezi japo haijajitoshekeza hivyo haikuwa msaada kuweza kuipata hii sat!

Hii km unatumia ungo wa ft6 utaipata vizuri channels maarufu hapo ni mult tv maarufu tv 3 Ghana mf mimi nina ungo ft6 nimefunga lnb4 pamoja main ikiwa ni irib iliyopo arabsat ktk cband,Continental iliyoko Amos5,movie combo za ses5 pamoja na hiyo mult tv iliyoko Astra2f@28 nakuwekea picha ya dish langu
 
1419152721209.jpg
 
Ukianzia kulia kwenda kushoto ni Ses5,Amos5,irib na mwisho mult tv ambayo ni Astra2f@28.2°E
 
Mr Dkashombo nashukuru sana umenipa akili maana Mimi nina dish la ft6 nanimeiset Irib 5c ila kuweka hii astra 2f ndiyo sikuwa na ufaham juu yake
 
Habar Wana-JF

Pata MPEG4 SRT 4922A Msimu huu wa Sikukuu ya Chrismas na Mwaka Mpya ufurahie Ulimwengu wa FTA/IPTV/ YouTube/ youpo**/blind Scan and you can add any CCCam Account of your choice.

Wateja 10 wa Mwanzo watapata "LNB-KU ya EuroStar, HD" waweze kukamua Vizuri yaliyomo Amos 5.

Just Tsh: 230,000/- Only.

Call: 0715-240140

Karibu sana.View attachment 212860
 
Hii km unatumia ungo wa ft6 utaipata vizuri channels maarufu hapo ni mult tv maarufu tv 3 Ghana mf mimi nina ungo ft6 nimefunga lnb4 pamoja main ikiwa ni irib iliyopo arabsat ktk cband,Continental iliyoko Amos5,movie combo za ses5 pamoja na hiyo mult tv iliyoko Astra2f@28 nakuwekea picha ya dish langu

Hello
Asante sana kwa kutoa utaalam wako.
Location yako ni ipi? Kwa hapa Dar nimeshindwa kuipata Astra2f@ 28 kwa dish la 6ft na hata 8ft. Kuna mtaalam yeyote aliyefanikiwa kuipata hiyo satellite ya Astra kwa hapa Dar.
 
Back
Top Bottom