- Namwomba Mwenye ujuzi na Astra 2F Atusaidie ujuzi wa kuinasa!!!ikiwezekana atupie picha ya dish linaloitajika na mwelekeo wake na size ya dish,Natokea Arusha Mjini
- Namwomba Mwenye ujuzi na Astra 2F Atusaidie ujuzi wa kuinasa!!!ikiwezekana atupie picha ya dish linaloitajika na mwelekeo wake na size ya dish,Natokea Arusha Mjini
mkuu nicheki whatsapp nikutumie picha ya dish la ft 6nililofunga astra
Baaado nasubiria Msaaada wenu wadau kuhusu Astra 2f nimeshapata maekekezi japo haijajitoshekeza hivyo haikuwa msaada kuweza kuipata hii sat!
Za bongo kwel hapo unazipata mkuu @dkashombo20
Za Bongo zipo nyingi Mzazi pale Amos 5!utakutana na Continetal pia Ting na zingine nyingi za nje!!
nielekeze bas namna ya kulipa mwelekeo na je receiver inakuwaje maana mm ninatumia hii ya wiz tech ya kawaida.
Hii km unatumia ungo wa ft6 utaipata vizuri channels maarufu hapo ni mult tv maarufu tv 3 Ghana mf mimi nina ungo ft6 nimefunga lnb4 pamoja main ikiwa ni irib iliyopo arabsat ktk cband,Continental iliyoko Amos5,movie combo za ses5 pamoja na hiyo mult tv iliyoko Astra2f@28 nakuwekea picha ya dish langu