mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
mimi naipata nilesat, hizo mbc zoote zipo ila ni scrambled
Unapata channel gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi naipata nilesat, hizo mbc zoote zipo ila ni scrambled
Mbc walishaondoka pale
Ila Mimi naizimia Mbc action tu zingine kapuni!Mbc wapo eutelsat21B@21.5e
Ila Mimi naizimia Mbc action tu zingine kapuni!
Kwa sasa naona Continetal wapo mbioni kutuacha sisi wa Fta!!!
hapo ndo nawaza mpaka nachoka,hv ni kuanzia lini
nasikiasikia tetesi ni mwezi watatu mzazi
itafika time mtu unakuwa na madish kama 6 nyumbani,maana kila TV inaking'anzi chake
hapo ndo nawaza mpaka nachoka,hv ni kuanzia lini
Dah! Nimenunua dish la FTA ili nipata Star tv nayo ndo inasepa tena! Ah!
Ila Mimi naizimia Mbc action tu zingine kapuni!
Kwa sasa naona Continetal wapo mbioni kutuacha sisi wa Fta!!!
hapo ndo nawaza mpaka nachoka,hv ni kuanzia lini
nasikiasikia tetesi ni mwezi watatu mzazi
hapa nilipo tayari ninazo manne na sijawai kufikiria kulipia kuona Tv kwangu na ikifika siku sioni Tv mpaka nilipie basi ndyo mwanzo wangu kutokuwa na Tv tena!!
mbc zooote sasa ni fta ktk nilesat, kama mtakumbuka vizuri kabla ya ujio wa azam zilikuwa fta lakini azam walipokuja zilitiwa kufuli, juzi azam wanajifanya kupandisha bei eti ili uzipate utalipia 20000.msisumbuke kulipia hicho kifurushi kikubwa kwa ajili ya mbc. itafute nilesat tu kwyshney 10873 v 27500. shikamoo fta
Nikiwa Biharamulo na dish la Azam naweza kuwapata hawa MBC kiongozi?