Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

itafika time mtu unakuwa na madish kama 6 nyumbani,maana kila TV inaking'anzi chake

hapa nilipo tayari ninazo manne na sijawai kufikiria kulipia kuona Tv kwangu na ikifika siku sioni Tv mpaka nilipie basi ndyo mwanzo wangu kutokuwa na Tv tena!!
 
Ila Mimi naizimia Mbc action tu zingine kapuni!

Kwa sasa naona Continetal wapo mbioni kutuacha sisi wa Fta!!!

hapo ndo nawaza mpaka nachoka,hv ni kuanzia lini

nasikiasikia tetesi ni mwezi watatu mzazi

hapa nilipo tayari ninazo manne na sijawai kufikiria kulipia kuona Tv kwangu na ikifika siku sioni Tv mpaka nilipie basi ndyo mwanzo wangu kutokuwa na Tv tena!!

Wameanza Clouds,BBC,DW,VOA na France 24 tayari zimefungwa.Itapendeza kama hizi za local zitaendelea kuwa FTA.
 
Msaada tafadhali, naomba kufahamu namna ya ku edit biss key katika risiva ya wiz8010
 
mbc zooote sasa ni fta ktk nilesat, kama mtakumbuka vizuri kabla ya ujio wa azam zilikuwa fta lakini azam walipokuja zilitiwa kufuli, juzi azam wanajifanya kupandisha bei eti ili uzipate utalipia 20000.msisumbuke kulipia hicho kifurushi kikubwa kwa ajili ya mbc. itafute nilesat tu kwyshney 10873 v 27500. shikamoo fta
 

Nikiwa Biharamulo na dish la Azam naweza kuwapata hawa MBC kiongozi?
 
Nina uhakika vijana wangu wepesi wa kukopi mkitumia elimu hii mnaweza kuwa mafundi wa satellite dish na kupata kipato.

But msimsahau mwl kumpa asante.
 
.Kama utakuwa na dish dogo la ku lifunge liangalie kaskazini muelekeo wa dstv utapata chaneli kama,

lcf, golfe tv, rdv, ortb, drtv internatinal, love world, ebru tv, tpa (feed) kama una HD Reciever unapata na channel ten. To be cont...[/QUOTE]
Mi natumi futi mbili yan k nataka kujua uwezekanano wa kupat stesheni za local na emanul tv nakama ndio nahitaji kujua satelite na freequency na uelekeo msaada please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…