kingdavidtheone
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 247
- 28
Sio kweli hiyo Mediacom yako ngapi ngapi na ina edit key?!?
pengine jamani ni kweli anapata ila ni bein sport news ndiyo anayo ipata na siyo bein sport!!maana hata Mimi napata bein sport news pale Nilesat
KTN,K24,FAMILY TV,EBRU AFRICA,GBS KENYA na nyingine chanel ya Kihindi zipo nyuma ya local chanels KU-BAND
Nyuma ndio wapi Mkuu, eleza ibapatikana nyuzi ngapi na kwa fr gani.
KTN,K24,FAMILY TV,EBRU AFRICA,GBS KENYA na nyingine chanel ya Kihindi zipo nyuma ya local chanels KU-BAND
Je hizi channels ni MPEG 2 au MPEG 4? Tafadhali Naomba jibu.KTN,K24,FAMILY TV,EBRU AFRICA,GBS KENYA na nyingine chanel ya Kihindi zipo nyuma ya local chanels KU-BAND
Je hizi channels ni MPEG 2 au MPEG 4? Tafadhali Naomba jibu.
Me nilijua anapata hizi ambazo za kufungua na key basi sawa
hivi katika hali
ya kawaida receiver zenye uwezo wa kuedit key ni zipi maana wengine
tunatumia vimeo vya Wiztech 8010 Hd classic clone
kuna wizitech za 70,000/= mpaka 90,000/= zina edit keyshivi katika hali ya kawaida receiver zenye uwezo wa kuedit key ni zipi maana wengine tunatumia vimeo vya Wiztech 8010 Hd classic clone
nitajaribu ila ilishakataa!kuna wizitech za 70,000/= mpaka 90,000/= zina edit keys
Emu ichunguze yako hiyo hata kama ni clone
Au basi tafuta Ibox 3030,4040 kama unayo Qsat au Azsky G6,Hawk HD 3G,HD Premium,Openbox,Skybox,Dreambox
Zote hizo zinapatikana katika soko la Tanzania kwa bei rahisi na zina edit keys
kuna wizitech za 70,000/= mpaka 90,000/= zina edit keys
Emu ichunguze yako hiyo hata kama ni clone
Au basi tafuta Ibox 3030,4040 kama unayo Qsat au Azsky G6,Hawk HD 3G,HD Premium,Openbox,Skybox,Dreambox
Zote hizo zinapatikana katika soko la Tanzania kwa bei rahisi na zina edit keys
Channel za Ndani unamaanisha Startimes,Azam na Continental etc?Swali la kizushi kwenu Wadau wa Uzi huu hivi kwenu wenye receiver zenye uwezo wa kuedit keys je hivi hata hizi channel za home ambazo zipo scramble nazo mnafanyia kazi na kuziona kama kawaida?
Nimeku PM namba za Mmasy Electronics yuko pale K/Koo jengo la SimbaMkuu niko arusha unaweza jua zinapopatikana. Au dar mitaa gani?
Channel za Ndani unamaanisha Startimes,Azam na Continental etc?
Azam kafunga channel kwa Nagra3 with advanced chipset pairing
Startimes amefunga channel kwa Conax ,Conax imeuzwa kwa Kudelski/Nagra group
Hizo njia za kufunga channel huwezi kuzichakachua kwa ku edit keys katika receiver maana Keys zinabadilika kila <30sec
Wadau Ku nzuri kwa ajili ya fringe satellite kama nilesat au 7W na 7E European beam inapatikana wapi dar na kwa being gani na aina gani?