Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

KTN,K24,FAMILY TV,EBRU AFRICA,GBS KENYA na nyingine chanel ya Kihindi zipo nyuma ya local chanels KU-BAND
 
Nielekeze namna ya kuifunga hy ku band kwa ajili ya kupata hz channel nisaidie kama ikiwrzekana naomba kabsa na picha.
 
hivi katika hali ya kawaida receiver zenye uwezo wa kuedit key ni zipi maana wengine tunatumia vimeo vya Wiztech 8010 Hd classic clone
kuna wizitech za 70,000/= mpaka 90,000/= zina edit keys
Emu ichunguze yako hiyo hata kama ni clone

Au basi tafuta Ibox 3030,4040 kama unayo Qsat au Azsky G6,Hawk HD 3G,HD Premium,Openbox,Skybox,Dreambox

Zote hizo zinapatikana katika soko la Tanzania kwa bei rahisi na zina edit keys
 
nitajaribu ila ilishakataa!
 
Mkuu niko arusha unaweza jua zinapopatikana. Au dar mitaa gani?
 
Swali la kizushi kwenu Wadau wa Uzi huu hivi kwenu wenye receiver zenye uwezo wa kuedit keys je hivi hata hizi channel za home ambazo zipo scramble nazo mnafanyia kazi na kuziona kama kawaida?
 
Channel za Ndani unamaanisha Startimes,Azam na Continental etc?

Azam kafunga channel kwa Nagra3 with advanced chipset pairing

Startimes amefunga channel kwa Conax ,Conax imeuzwa kwa Kudelski/Nagra group

Hizo njia za kufunga channel huwezi kuzichakachua kwa ku edit keys katika receiver maana Keys zinabadilika kila <30sec
 
nimekuelewa Mzazi!!
 
wapendwa habari za wikiend!natumaini mpo poa!kwangu Mimi ambaye mchanga katika iliswala fta nimezoea kuona madish mengi yakielekezwa west,east na nouth uko kwa Dstv ila sijawai kuona south ila hivi majuzi nikaona dish lililo elekezwa south,sasa wataalam uko south kunapatikana satellite ipi?
 
Wadau Ku nzuri kwa ajili ya fringe satellite kama nilesat au 7W na 7E European beam inapatikana wapi dar na kwa being gani na aina gani?
 
kwa uzoefu wangu najua kama mbili,kuna stargold ya fuji na samson kwa Dar sijui zinapo patikana maana Mimi nipo Arusha mzazi!
 
Back
Top Bottom