kwa uzoefu wangu najua kama mbili,kuna stargold ya fuji na samson kwa Dar sijui zinapo patikana maana Mimi nipo Arusha mzazi!
kwa uzoefu wangu najua kama mbili,kuna stargold ya fuji na samson kwa Dar sijui zinapo patikana maana Mimi nipo Arusha mzazi!
Mie niko Arusha unaweza jua zinapopatikana duka gani? Ili nami nijipatie moja
Mkubwa arusha zinapatikana kwa bei gani na Duka gani?
Kuanzia tarehe 25/4/2015 channel ten wanahamia mfumo wa mpeg4 ila satellite itabaki ile ile kwa hiyo kinachotakiwa ni kununua receiver ya mpeg4 ili uendelee kuipata.Hii inawahusu wale wanaoitumia madish kuipata bila kutumia vingamuzi vya kulipia.
Kwa hyo kiongoz tusio na hzo mpeg4 hatutaweza kuipata kabisa au inakuaje.
Hutaweza kuipata mpaka utumie receiver ya mpeg4.
Kuanzia tarehe 25/4/2015 channel ten wanahamia mfumo wa mpeg4 ila satellite itabaki ile ile kwa hiyo kinachotakiwa ni kununua receiver ya mpeg4 ili uendelee kuipata.Hii inawahusu wale wanaoitumia madish kuipata bila kutumia vingamuzi vya kulipia.
ukienda pale Coin electronic au Duka la jirani pale pale coin utapata pia hata kwa mambo leo unaweza pata Mzazi!
Nimepita leo mambo leo na coin wanasema hawana. Sehemu nyingine unayoijua ni ipi?
Kwa Morogoro hizi receiver zinazoedit bisskey zinapatikana wapi?
Unatumia ISP gani?kwangu mimi ni afadhali kua na Internet nyumbani na kufanya streaming ya channels za nje km nahitaji kuliko kuhangaika na madish haya yasiokua na elimu ya kutosha, if I want to watch games I buy a monthly bundle and start streaming to a big tv, end of story, nakua nyumbani kwangu hata mechi itezwe saa 9 ucku ni kuamka tu na kuanza fanya mambo yote online.
kwangu mimi ni afadhali kua na Internet nyumbani na kufanya streaming ya channels za nje km nahitaji kuliko kuhangaika na madish haya yasiokua na elimu ya kutosha, if I want to watch games I buy a monthly bundle and start streaming to a big tv, end of story, nakua nyumbani kwangu hata mechi itezwe saa 9 ucku ni kuamka tu na kuanza fanya mambo yote online.
Inategemea unatumia Njia ipi ku stream brother...Streaming?! Quality ya picha mara nyingi inakuwaga chini, na ikiwa HD itakaa ina-buffer kila baada ya muda kidogo. Ukishindwa kucheza na madishi na unapenda sports ni heri ujisalimishe dstv.
Inategemea unatumia Njia ipi ku stream brother...
Kama unatumia viweb vya kishamba mtandaoni hauwezi pata Quality nzuri na huwa hazina Buffer kama unavyosema wewe...Labda tu uchaguzi mbaya wa ISP na Kifaa unachotumia(modem)
Anyways hapa FTA TV hii ni kama by the way ila Digital Video broadcasting ndo mpango mzima